Mahusiano, mapenzi, urafiki

Tubadilishane mawazo kuhusu familia, mahusiano, mapenzi, urafiki, n.k na kushauriana

On JF:

Bwana Mungu akasema si vema mtu huyu awe peke yake, nitamfanyia mwanmke wa kufanana naye....................,Bwana Mungu akaufanya mwanamke............kwa hiyo mwanamume atamwacha baba yake na...
2 Reactions
48 Replies
5K Views
AIBU:- NDOA YASAMBARATIKA KANISANI DAKIKA CHACHE KABLA YA KUIDHINISHWA..... Hili ni tukio la kusikitisha, lakini lenye mafunzo kibao ndani yake.Tukio hilo lilitoke mwanzoni mwa...
1 Reactions
24 Replies
4K Views
1. Asilimia kubwa ya wanawake wa sasa wanahofu kuwa na wavulana wanaovutia kisa wanahofu kuibiwa. 2.wanawake wengi ambao wanawahi kufika kileleni wakati wa sex huwa hawajatulia...
1 Reactions
5 Replies
1K Views
Wana MMU, Dunia yetu kwa sasa imepata mabadiliko makubwa sana, kiasi cha kusababisha tamaduni na desturi zetu kuathiriwa na mabadiliko hayo. Ingawa ni maeneo mengi yameathirika kutokana na...
1 Reactions
40 Replies
9K Views
Habari wana JF. Nimejiuliza sana sana lakini sijapata majibu yauhakika yanayo weza kuleta faraja. Ukiangalia kwa umakini utagundua kuwa ndoa nyingi kwa sasa zina matatizo mengi mno. Hasa ya...
2 Reactions
8 Replies
3K Views
kutokana na wanawake wengi kuamua kutoa mimba hovyo hovyo hata pale ambapo wenye mimba(wanaume) hawataki mimba zitolewe. NASHAURI KUTUNGWA KWA SHERIA itakayotupa nguvu sisi wanaume kupinga...
0 Reactions
6 Replies
2K Views
Sitting here wasted and wounded At this old piano Trying hard to capture The moment this morning I don't know 'Cause a bottle of vodka Is still lodged in my head And some blonde gave me...
7 Reactions
7 Replies
1K Views
natafuta mwanamke asiyezaa ili nimuoe umri kuanzia miaka 24 na kuendele.awe mnene.mwenye kuwa na taarifa ani pm.niko seriously
0 Reactions
14 Replies
3K Views
Ukifikiria kwa makini sana, utagundua kwamba Mwanaadamu anafanya vizuri kwenye yale mambo aliyofundishwa tu, ama sivyo ni uborongaji uliokithiri. Lugha-Japo tunajifunza through practice lakini ni...
1 Reactions
8 Replies
2K Views
Siku zote ukitaka kuishi kwa furaha na mwanamke yeyote mfanyie mambo haya matatu. 1. Mpe chakula anachotaka 2. Hakikisha unamvalisha mavazi mazuri na 3. Mridhishe kunako 6£¿6
2 Reactions
89 Replies
10K Views
Najua kila binadamu ana mapungufu yake jamani...ila katika haya mawili hapana hapana kabisha,huku ni kujisahau kuliko pitiliza jamani... Hizi tabia zinawakera watu wengi sana japo hua awasemi japo...
0 Reactions
18 Replies
3K Views
Ndugu zangu wana MMU. Kuna manzi wa kihaha nimemzimikia sana, napenda kuvuta jiko hili straight a way. Mambo ya kuchezeana chezeana na kuchunguzana mimi sitaki. Nimeplan kuduu nae mpaka ndoa iwe...
0 Reactions
26 Replies
2K Views
Igweeeeeeeeeeeeeeee! Jana nilienda kibotic uchwara ku window shop supraa na midosho ya kitaa! Sasa mule nikawa napigizana kelele na Dulla boy aniahushie bei! Dulla nunda hacheki na kima...
12 Reactions
93 Replies
9K Views
hii topic inahusu wasichana, wanawake, mabinti na hata mabibi! kuna mitazamo juu ya mapenzi tunaikosea sana na sisi tubadilike kwakweli pengine itasaidia kupunguza maumivu ya mapenzi na...
20 Reactions
61 Replies
7K Views
habari wana jf....natumaini mu wazima na weekend mmeianza vema. naombeni michango yenu ya dhati ili niweze kubadilika, mimi huwa nashindwa kujielewa nina matatizo gani nimekuwa na kitabia cha uoga...
0 Reactions
10 Replies
1K Views
Binafsi naamini ndoa imara hujengwa ktk misingi mikuu ifuatayo... Upendo wa dhati toka kwa kila mmoja,akili na kushirikishana ktk mambo mbali mbali yanayo husu ndoa yenu,chaguo sahihi la...
2 Reactions
24 Replies
11K Views
Habari wana MMU. Mimi nina dada yangu ameolewa miaka 9 iliyopita baada ya kumaliza masomo ya sekondari(f6) alifaulu vizuri(dvsn 1) kwa vile familia hatukuwa na uwezo wa kumwendeleza ktk mchakato...
0 Reactions
77 Replies
5K Views
TO THE LADIES! Your man is not perfect. You aren’t either, and the two of you will never be perfect. But if he can make you laugh at least once, admits to being human and making mistakes, hold...
5 Reactions
23 Replies
2K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…