Sangarara
JF-Expert Member
- Sep 29, 2011
- 13,104
- 5,665
Ukifikiria kwa makini sana, utagundua kwamba Mwanaadamu anafanya vizuri kwenye yale mambo aliyofundishwa tu, ama sivyo ni uborongaji uliokithiri.
Lugha-Japo tunajifunza through practice lakini ni wazi kwamba wale wanaofundishwa uongea lugha fasaha zaidi.
Kazi- Hapa JF nikiamini kuna watu wenye taaluma mbalimbali hakuna hata mmoja aliyetoka na taaluma hiyo tumboni kwa mama yake wala nyumbani kwao-wote tumefundishwa tena wale waliofaulu/elewa vizuri ndio wanaofanya vizuri zaidi hata kwenye utendaji wao.
na ujuzi wa mambo mengine hasa yale yanayofundishwa mashuleni na vyuoni, ni wazi wale ambao hawakupita huko wanakuwa hawaelewi kabisa mambo hayo.
Sasa kuna mambo ambayo ni ya msingi sana kwenye maisha na ukiyaangalia vizuri utakuta yanaimpact kubwa sana katika maisha yetu lakini yote tunayafanya kwa uzoefu na hisia, na ni binaadamu wote wanayafanya kitu kinachoongezea wino kwamba, ni mambo ya msingi sana.
Kwa mfano.
1. Kutongoza - hakuna mtu ambaye ataishi asitongoze ama kutongozwa, kwa nini jambo hili halifundishwi, Je ndio sababu ya mahusiano mengi kuwa failure?
2. Ku do - Najua kuna jamii zinawafundisha wanawake na mimi ni shuhuda, wale waliofundishwa ni balaaaaa eneo hili, kwa nini wanaume hawafundishwi hata kwenye jamii zinazofundisha wanawake au ndio kasumba kwamba wao ni kiburudisho, si kweli kama tungefundishwa tungeepuka haya matatizo yote?
Nimesukumwa sana na haya, lakini naamini yako mengi zaidi, kwa nini hayafundishwi?