Mahusiano, mapenzi, urafiki

Tubadilishane mawazo kuhusu familia, mahusiano, mapenzi, urafiki, n.k na kushauriana

On JF:

Habari za asubuhi mabibi na mabwana, wakubwa na wadogo zangu, I hope kwamba mnaendelea vizuri kabisa na ujenzi wa taifa hili letu la Tanzania, nimemiss sana hili jukwaa, leo nimekuja na kichwa cha...
4 Reactions
128 Replies
9K Views
Hii ni kwa Mujibu wa wataalamu wa afya na kisaikolojia, Kwamba kama mtu alikuwa amejiingiza ktk mahusiano mengi kabla ya ndoa hawezi kumridhisha mwenzi wake au yeye mwenyewe hawezi kuridhishwa na...
1 Reactions
26 Replies
4K Views
Wana MMU naombeni ushauri wenu.Nimekuwa nikiishi na dada mmoja kama mke wangu ambapo tumebahatika kupata watoto wawili.Wakati tunoana alikuwa na mtoto wake ambaye alizaa na mwanaume mwingine...
0 Reactions
29 Replies
4K Views
Leo,mwaka mmoja toka nimeanza kazi na kujitegemea. Shukrani za pekee namrudishia mwenyezi Mungu,nikimuomba pia anisamehe kwa kufanya tofauti na vile ninavo sukumwa toka ndani yangu. Shukrani ni...
2 Reactions
70 Replies
7K Views
Mwana jf naombee mnishauri, Mimi nikijana ambae nilijiunga na Jeshi la JKT kwa upande wa kujitolea. Naingia jeshini, ktk intec yetu tuliunganishwa na vijana wenzetu kwa mujibu wa sheria...
0 Reactions
39 Replies
4K Views
Wana MMU salam sana, Nimekuwa najiuliza kwa muda mrefu kwa nini nashindwa ku-cope sana na watu wa mataifa mengine wanaoishi humu nchini kutokana na saikolojia yao na maisha yao, Ukiachilia mbali...
1 Reactions
6 Replies
1K Views
Mapenzi ya siku hizi yana mtazamo wa tofauti na yale ya zamani. Mapenzi ya zamani mtu alikuwa yuko radhi kufanya lolote kuhakikisha anamuonesha mapenzi ya kweli yule mpenzi wake kwa hali...
0 Reactions
9 Replies
6K Views
nina miaka 27 umbo la kibantu,maji ya kunde nina mtoto mmoja niliachana na mzazi mwenzangu miaka 4 iliyopita nina degree moja nimeajiriwa na serikal pia ni mjasiria mal mwanaume yeyote single...
3 Reactions
19 Replies
3K Views
Habari zenu wanajamii . Hivi karibuni kwenye mwezi wa nane nilienda kwa shangazi yangu Morogoro kumsalimia kwani nimuda mrefu hatujaonana yapata miaka kama mitatu hatujaonana. Nilivyofika...
1 Reactions
67 Replies
8K Views
This is the simplest ways through your death,kindly find the attachment.
1 Reactions
12 Replies
2K Views
I was watching Tyra Banks last week, she had a very good discussion about the pains and dillemmas that most marriageable black (african american) women are facing on the dating scene. she had a...
0 Reactions
8 Replies
3K Views
leo si ajabu kuona mtu mzima na familia yake,hana kiwanja,hana nyumba,hana gari japo kazi na mshahara wake vingemuwezesha kuyafanya hayo yote. SI AJABU PIA kuona mzee anaelekea kustaafu hata...
11 Reactions
31 Replies
3K Views
No fewer than 8,000 women on Thursday [Sept. 26] matched to the Zamfara Hisbah Commission, seeking the state government's assistance to enable them to get married. Led by the Chairperson of...
0 Reactions
18 Replies
2K Views
Haya jamani leo natafuta wa kutoka nae kwenda Miss Tanzania beauty contest. Sijali sanaa jinsia mimi awe jinsia yyte ile, lakini ajilipie tiket mwenyewe na awe na uwezo wa kujihudumia like...
0 Reactions
42 Replies
4K Views
Wadau, kuna dada mdogo hivi wa miaka 21 mke wa mtu ambaye hunisumbua akitaka kampani yangu hata kunitembelea weekend kwa kuwa mimi sijaoa. Mwanzoni alikuja kwangu kuomba ushauri juu ya manyanyaso...
1 Reactions
54 Replies
11K Views
Jaman nauliza..kuna wanawake wengine hujifanya walokole! Tena hujihesabia haki kuwa watakatifu na wacha mungu kweli kweli..cha kushangaz kwa waume zao ni wabishi,wenye hasira na uchungu,wasiotaka...
0 Reactions
11 Replies
2K Views
naombeni mawazo yenu kwahi lililonikuta mimi kuna mwawanamke na mpenda sema nini najitahidi kumuonesha kama nampenda lakini mwenzangu haoneshi kama uko pamoja na mimi hili ninatokana na nini
0 Reactions
21 Replies
6K Views
Nimeishi na Mwanamke huu ni mwaka wa tano, japo haikuwa ndoa rasmi. Baada ya taratibu za mahari tu nilimsogeza japo sijafunga naye ndoa ya kidini wala kiserikali. Miaka minne iliyopita, nikiwa...
3 Reactions
50 Replies
5K Views
kwani kuna ubaya gani kumwomba mwenzako yaani mumeo muende likizo kidogo ya kugegendana kwa mda angalau tu mwezi mmoja
0 Reactions
63 Replies
5K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…