Is this true, men???

Shishi

Shishi

JF-Expert Member
Joined
Feb 11, 2008
Messages
1,244
Likes
8
Points
135
Shishi

Shishi

JF-Expert Member
Joined Feb 11, 2008
1,244 8 135
I was watching Tyra Banks last week, she had a very good discussion about the pains and dillemmas that most marriageable black (african american) women are facing on the dating scene. she had a focus group discussion comprising of young single and married black men and women. it was very interesting to say the least.

some of the issues were:

men preferring women with long wavy hair, thats why we see all these women in weaves and wigs.

they want petite, light skinned black women over real black ones.

one of the guys openly said that a guy may flirt with a fat woman, make her feel hot and sexy when all he wants is sex and nothing else?

hebu the men in JF is this true? is sex all u want? and whats going on your mind when u do this? what really do men want in your g/f or wife?

one of the guys on the show openly talked of how he had the best night of his life with a co-worker on national tv with the wife listening and shamelessly tried to propose on the show!! why do you think u will do such a thing and get away with it??

i guess this is a global issue, smart, independent , beautiful single women are roaming the streeets like lone lionesses!

leteni habari sasa!!
 
Nzokanhyilu

Nzokanhyilu

JF-Expert Member
Joined
Feb 19, 2007
Messages
1,087
Likes
26
Points
0
Nzokanhyilu

Nzokanhyilu

JF-Expert Member
Joined Feb 19, 2007
1,087 26 0
Duh. Mimi nilikuwa na mchumba kutoka caribbean. Kitu kimoja nilichokuwa nampendea alikuwa haweki mawigi wala ku-kalkiti nywele. Alikuwa na mtindo wa kusuka mabutu au mistari. I use to love it. Logic yake ni kwamba amekuwa, amefundishwa kuchukia mambo ya kulainisha nywele kama mzungu, kwasababu inawakumbushia utumwa.

Tatizo wanawake wengine ukiwaambia wasiweke mawigi, makalkiti etc hawakuamini. Wenyewe wanajiona wanapendeza na mafeki hair. Tena tabia hii imejaa kwa wanawake wa kiafrika hadi inaboa, na pamoja na kujichubua.

Personally I like a lovely jabbly booty, now whether she is petite or big, she jus has to be proportioned in the right way.
 
Mbu

Mbu

JF-Expert Member
Joined
Jan 11, 2007
Messages
12,736
Likes
269
Points
180
Mbu

Mbu

JF-Expert Member
Joined Jan 11, 2007
12,736 269 180
I was watching Tyra Banks last week, she had a very good discussion about the pains and dillemmas that most marriageable black (african american) women are facing on the dating scene. she had a focus group discussion comprising of young single and married black men and women. it was very interesting to say the least.

some of the issues were:

men preferring women with long wavy hair, thats why we see all these women in weaves and wigs.

they want petite, light skinned black women over real black ones.

one of the guys openly said that a guy may flirt with a fat woman, make her feel hot and sexy when all he wants is sex and nothing else?

hebu the men in JF is this true? is sex all u want? and whats going on your mind when u do this? what really do men want in your g/f or wife?

one of the guys on the show openly talked of how he had the best night of his life with a co-worker on national tv with the wife listening and shamelessly tried to propose on the show!! why do you think u will do such a thing and get away with it??

i guess this is a global issue, smart, independent , beautiful single women are roaming the streeets like lone lionesses!

leteni habari sasa!!
...shishi, kuna mahala nimesoma wanaume wanakuwa attracted na physical appearance, wakati wanawake, (mwanzo) wanakuwa emotionally attracted.

sijui ukweli wake upo wapi, lakini kama ukiniuliza binafsi, nitakujibu; appearance kwanza ndio kivutio kwangu... sexual attraction inatofautiana baina ya mtu na mtu, kuna wanaopenda wasichana wembamba warefu, na kuna kina mie ninaopenda wa wastani mpaka unene kiasi, (meat on her bones)!...mwanamke nywele, hasa mwenye singa. Kipili pili ni bahati mbaya, isiwe sababu ya kushinda salooni kusuka 'wigi', Sipendelei 'fake hair.'

hayo mengine ya huo utamu wa 'mshikaki', ni ujuzi wako tu jinsi utavyouandaa na kuuchoma!

:D
 
Buswelu

Buswelu

JF-Expert Member
Joined
Aug 16, 2007
Messages
2,002
Likes
69
Points
145
Buswelu

Buswelu

JF-Expert Member
Joined Aug 16, 2007
2,002 69 145
.....Naweza sema ni kweli kwa kiasi flani....kwenye maelezo hapo juu katika show ya dada huyo.
Kwa kweli kwa wanawake wembamba they always best kwa mambo mengi na huwezi wakuta wavivu kwa asilimia kubwa.Some time inatokea kuwa physical appearance ya mdada inakuwa first thing then mambo ya love and emotional yanakuja baadae..ndio maana sex after marriage kwa sasa haifanyi kazi sana.

Kwa mfano unaweza kuna mdada amejaaliwa madilisha na maliwato mwili ukazizima kwa tamaa au physical appearance yake kwa kuwa na butts kubwa sana ukaona lazima niwe nae akiwa hana hizo cover.

Lakini doesnt mean ur emotionally attracted,which kwao mara kwa mara huwa ndio kitu cha kwanza..mara ngapi uku kwa office hasa sie tunaokaa mbali na familia zet tunakuwa na mtu ambaye ukiangalia kwa makini utakuwa tabia,umbile,na matendo tunayo fanya nae uku mbali na familia ni tofauti na wake zetu kabisa.

Tena unakuta ni mke wa mtu na wewe ni mme wa mtu...u get good time...mnacho avoind ni mtoto tu hapo.

Good day
Buswelu
 
Masanja

Masanja

JF-Expert Member
Joined
Aug 1, 2007
Messages
3,944
Likes
4,867
Points
280
Masanja

Masanja

JF-Expert Member
Joined Aug 1, 2007
3,944 4,867 280
To me,Ofcourse reception ni muhimu..hiyo haina mjadala..ila kuna mengine madogo madogo ambayo kiukweli kwangu ni muhimu mno!!! NAPENDA MDADA AMBAYE EITHER ANASUKA MABUTU AU ULE MSUKO WA TWENDE KILIONI..KAMA KAZIDISHA BASI ASUKE RASTA. PERIOD. UKIWEKA KALKITI AU WIGI KWA KWELI HATA KAMA NILITAKA KUANZA MOVE..NAINGIA MITINI. NA KAMA HUJAWEKA RANGI KWENYE KUCHA ZAKO (MIGUU NA VIDOLENI)..YOU EASILY CONCUR ME! I just love a plain woman....
 
B

BABU KIZEE

JF-Expert Member
Joined
May 18, 2013
Messages
452
Likes
6
Points
0
Age
31
B

BABU KIZEE

JF-Expert Member
Joined May 18, 2013
452 6 0
Hii ndo digitali mkuu
 
B

BABU KIZEE

JF-Expert Member
Joined
May 18, 2013
Messages
452
Likes
6
Points
0
Age
31
B

BABU KIZEE

JF-Expert Member
Joined May 18, 2013
452 6 0
Duh. Mimi nilikuwa na mchumba kutoka caribbean. Kitu kimoja nilichokuwa nampendea alikuwa haweki mawigi wala ku-kalkiti nywele. Alikuwa na mtindo wa kusuka mabutu au mistari. I use to love it. Logic yake ni kwamba amekuwa, amefundishwa kuchukia mambo ya kulainisha nywele kama mzungu, kwasababu inawakumbushia utumwa.

Tatizo wanawake wengine ukiwaambia wasiweke mawigi, makalkiti etc hawakuamini. Wenyewe wanajiona wanapendeza na mafeki hair. Tena tabia hii imejaa kwa wanawake wa kiafrika hadi inaboa, na pamoja na kujichubua.

Personally I like a lovely jabbly booty, now whether she is petite or big, she jus has to be proportioned in the right way.
mi napenda wale wanaonyoa vipala
 
kidole007

kidole007

JF-Expert Member
Joined
Dec 22, 2012
Messages
3,085
Likes
920
Points
280
kidole007

kidole007

JF-Expert Member
Joined Dec 22, 2012
3,085 920 280
sometimes all i want is SEX
but not ALL the time
 
Forum statistics

Threads 1,237,880
Members 475,775
Posts 29,304,431