Mahusiano, mapenzi, urafiki

Tubadilishane mawazo kuhusu familia, mahusiano, mapenzi, urafiki, n.k na kushauriana

On JF:

Hbr zenu wana Jf. Jamani nisaidieni maisha ya kuishi na mume anayekupenda lkn nduguze hawakupendi na maisha ya kupendwa sana na ndugu wa mume lkn mume mnh! Wala haeleweki. Na je ikikutokea upo...
0 Reactions
38 Replies
9K Views
0 Reactions
3 Replies
1K Views
>Warefu zaidi ya 6ft; kutokana na confidence wanaonekana kama wanadharau na mara nyingi hawapendi kuongea na ovyo, hivyo akina dada wengi wanawahofu hata kuwasalimia wanahisi kuwa jamaa ataona...
2 Reactions
26 Replies
6K Views
nina miaka 27 nmezaa na dada wa miaka 22 ambaye sikuwa na mpango wa kumuoa na wala cjawahi kufikilia hlo! Kinacho tatiza ni kwamba hyu mzaz mwenzangu anafoc kuishi na mm halaf mm moyo wangu...
0 Reactions
37 Replies
4K Views
hivi kwanini baadhi ya wadada hapa mjini huwa wanatabia hizi...tabia za kuficha wanaishi wapi...hasa masista duu... 1.utakuta mwanadada ni mpenzi wako...anakwambia naishi masaki lakini...
0 Reactions
8 Replies
2K Views
Ni kawaida sasa na pengine ni fasheni kwa vijana wa kiume kuvaa hereni aidha masikio yote au moja lakini wanajua maana yake kweli? kwa wanapenda kujua au kufahamu ni kuwa 1:kuvaa hereni sikio la...
0 Reactions
39 Replies
12K Views
Pole kwa majukumu ya kila siku wanaJF. Nimejitokeza kwenu kuomba ushaur! Nilikuwa na baba yangu mdogo alienda nje ya nchi kutafuta maisha akawa anaishi nchini Sierra leone amekaa huko kwa kipindi...
0 Reactions
6 Replies
1K Views
Mheshimiwa sana sana fulani, tena wa miaka mingi katika gemu la siasa aliachana na mkewe aliojaaliwa watoto kadhaa wa kike na wakiume...baba akaoa kindururu na mama akavuta ndani chalii au tuseme...
0 Reactions
1 Replies
1K Views
MIEZI michache baada ya mwanaume aliyetambulika kwa jina la Hamad Kipondo kufia gesti akiwa na mke wa mpangaji mwenzake, Latifa Seleman siri imevuja kuwa alimeza dawa za kuongeza nguvu za kiume...
3 Reactions
109 Replies
13K Views
Wakuu nina mpenzi wangu nampenda sana lakini huwa ananicheat na kusex na ex wake ambae wanafanya nae kazi ofisi moja na kila nikimuuliza anakataa na kujifanya kununa hali inayosababisha kila wiki...
0 Reactions
20 Replies
4K Views
Habari zenu wanaMMu Mara nyingi unakuta wanawake, wasichana ama mabinti wanaumizwa na wapenzi wao pale wapenzi wao wanaposhindwa kuwatimizia ahadi walizowaahidi, kimsingi wanapata uchungu sana...
1 Reactions
4 Replies
2K Views
Mimi ni msichana.Nilikuwa na mpenzi wangu tumedumu mda mrefu lakini kwa mipango ya mungu tumeachana.tatizo ni kaomba tuwe kaka na dada.ananipigia simu saa 9 usiku.anantumia ujumbe wa mapenzi...
0 Reactions
34 Replies
4K Views
Hi,uwanja huu ni kati ya viwanja bora EAZ na hu2mika kwa ligi mbalimbali.,na huingiza takribani mashabk 10000,lakni KUANZIA MIDA YA SAA MOJA NA NUSU JIONI ukipita maeneo ya uwanja huu utatamani...
0 Reactions
14 Replies
9K Views
Barua hii imeandikwa na baba kwenda kwa mtoto wake wa kike baada ya mwana mama huyo kumfukuza nyumbani kwake mwanae wa kiume punde baada ya kugundua anajihusisha na mapenzi ya jinsia moja. Katika...
0 Reactions
40 Replies
6K Views
God's always Great!! Baada ya pilika za hapa na pale, leo ni siku muafaka kumshukuru Mungu kwa kumuwezesha my (wife) kujifungua salama mtoto wa kike named EMELYN. Ninawashukuru pia wana JF kwa...
25 Reactions
93 Replies
8K Views
Waungwa poleni kwa kazi na miangaiko ya kutwa nzima hop mungu anawajalia jema kila kukicha... Back kwa topic... Wanaumeee jamani hali ni mbaya sana,sijui tumekosea wapi ktk suala zima la...
0 Reactions
86 Replies
8K Views
nina dada yangu mmoja hajapima lakini anahisi amehathirika, namshauri akapime anaogopa ameachana na mpenzi wake kutokana na kumuacha peke yake mda mrefu kama hana mpenzi hivyo akahisi mpenzi wake...
1 Reactions
24 Replies
5K Views
Kunako mechi za wakubwa ndani ya 6 by 6. Wadada wengi ni waoga ukitaka kuchungulia papuchi yao na wakati mwingine wanazuia. TEGUENI MTEGO HUU,why?????????????????mtu ukimvulia nguo zote kwa nini...
0 Reactions
143 Replies
19K Views
Amani iwe nanyi! ... Nimekua nikifikiria sana kuhusu mchakato mzima wa ndoa, mmh! Nimeona ndoa ni taasisi ambayo kila mmoja wetu ni muhimu kuingia......... Hapa naongelea wale wenye sifa/vigezo...
0 Reactions
21 Replies
3K Views
Wakuu habari , katika masuala ya mahusiano mapenzi ulijisikiaje ulipomtokea au kutokewa na mwenzi wako wa kwanza na kukubaliwa , na mambo gani ulifikiria kumfanyia juu yake. Tupia mawazo yako .
0 Reactions
5 Replies
1K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…