nina miaka 27 nmezaa na dada wa miaka 22 ambaye sikuwa na mpango wa kumuoa na wala cjawahi kufikilia hlo! Kinacho tatiza ni kwamba hyu mzaz mwenzangu anafoc kuishi na mm halaf mm moyo wangu haujamridhia kwani hata yy nilisha mwambia na hyo mimba ilipatikana bila mipango na kwa kweli nilimshaur atoe akagoma na mi nikamkubalia kwa mashart ya kuwa hamna ndoa sasa anashawishi kwa nguvu eti nimuoe tutunze mtoto nifanyeje wadau?