Mahusiano, mapenzi, urafiki

Tubadilishane mawazo kuhusu familia, mahusiano, mapenzi, urafiki, n.k na kushauriana

On JF:

Najiuliza kwanini? Yaani anaweza kuwa mwaminifu mwanzoni, ukampa Kila kitu na bado wanapigwa na watu. KULIKONI?
8 Reactions
109 Replies
11K Views
Hello JF, Asubuhi hii nimejikuta nawaza hili kundi la wanaojiuza miili yao Much emphasize has been put on young people/girls NOT to get involved or engage in Prostitution, But, Little have...
10 Reactions
66 Replies
5K Views
Kuna Wakati mtu anakomaa kwelikweli kusaka ngono Wakati mwingine katika kusaka ngono watu hutumia pesa mingi, mda mwingi au madaraka ili kutimiza tu haja hii Lakini Ukweli ni kwamba ngono siyo...
24 Reactions
46 Replies
7K Views
Unapoona kwenye mahusiano watu wanagombana lakini hawaachani jua hao wanapendana sana na hutimiziana haja zao mubashara kabisa! Hufikishana kileleni!!! Mahusiano mengi yamevunjika kutokana na...
123 Reactions
297 Replies
34K Views
Natumai hamjambo wakuu, japo tupo katika maombelezo ya kitaifa but mambo mengine hayana budi kuendelea. Wakuu sio siri mimi ni mpenzi wa wanawake wenye chura, bt kuna mara chache hujichanganya...
5 Reactions
78 Replies
7K Views
Wajumbe heshima kwenu, let me declare my interest sio mtu wa kupenda totoz za mtandaon juzi kati kuna manzi moja nilikutana nayo mtandaon FB (old is good) ni wa moto sana yaani picha alizokuwa...
1 Reactions
37 Replies
4K Views
Hivi inawezekana ukampenda mtu na usiwasiliane naye? Yaani ikapita siku tatu mpaka week? Inawezekana mwanamke unayempenda usitake kumjulia hali? Naombeni tu mnisaidie hili jibu Mtu anakwambia...
17 Reactions
204 Replies
15K Views
Tafiti zilizofanywa na wanasayansi na wadadisi wa biological and human relationships. Inaonesha kuwa kwa wanaume inakuchukua siku 88 kumpenda mwanamke Wakati kwa wanawake inachukua siku 134...
2 Reactions
67 Replies
6K Views
Utafiti uliofanywa na wataalamu wa masuala ya mahusiano katika Chuo cha Climax nchini Marekani unaonesha uhusiano unaoanzia mtandaoni hudumu. Asilimia 23%ya uhusiano ambao huanzia mtandaoni...
4 Reactions
15 Replies
2K Views
Habari wakuu, Hii kitu naiona kwa upande wangu sijui kwa nyie wenzangu. Yaani upo kwenye mahusiano ya kimapenzi na mtu na mpo karibu lakini kupata penzi ni kwa manati. Hapa naongelea wale ambao...
6 Reactions
175 Replies
14K Views
Wakuu wa idara habari Katika maisha ya mahusiano huwa najitaidi sana ikifika point ya kuachana na mtu nilienae basi huwa naacha nae kwa amani kabisa, yaani bila matusi bila kashfa yoyote na...
12 Reactions
26 Replies
3K Views
Sisi Watibeli Moja ya miiko yetu ni kutokuwa waharibifu. Hatuharibu vitu vizima. Hatuharibu vitu ambavyo ni vyema. Ukiwa mwema Sisi Watibeli hatuwezi kukutendea ubaya. Hiyo ni Kanuni yetu na ipo...
1 Reactions
21 Replies
2K Views
Tunapoelekea mwisho wa mwaka, nikaona nijaribu kuleta kwenu hii hoja ambayo imekua ikiibuka Mara nyingi hasa Kwa wanandoa wanaume. Hapa naongelea Mme ameoa, anaamua kuchepuka anasema hawezifanya...
16 Reactions
104 Replies
5K Views
Habari za weekend wanajamvi! Unawezaje kusamehe kirahisi mwanaume aliyecheat tena kwa kumleta mwanamke mwingine nyumbani mnakoishi!! ???!!! Ni mumeo wa ndoa na mna watoto. Katika harakati za...
20 Reactions
214 Replies
16K Views
Ilikuwa ni jana katika Kipindi kizuri kabisa cha kila Jumapili cha Familia ambacho hurushwa na Kituo cha Super Brand nchini Radio One kuanzia Saa 1 na nusu hadi Saa 4 kamili asubuhi pale ambapo '...
10 Reactions
40 Replies
4K Views
Salaam, Jamani nasumbuliwa na shemeji yenu ndoa hii ina tabu sana nimevumilia mpaka nimeona leo niwashikishe mke huyu anavuta ugoro, pariki, mlevi wa pombe na kikojozi choo kipo ndani yeye...
14 Reactions
311 Replies
21K Views
Hii imekaaje wadau?nimfanyeje?ni mpangaji jinsia yake ni ke tena anamchumba ingawa huyo mchumba wake ndiye aliyempngishia hapa tunapoishi.Mchumba wake huyo inaonekana ana familia na mke ila huyo...
1 Reactions
26 Replies
3K Views
Habari zenu wapendwa, Hapa nilipo niko nje ya bongo kisafari, na safari hiyo niko huku tangu mei mosi, sasa bwana ile nimefika tu hotelini si mnajua mambo yetu yale, nikanasa tundu bovu. Sasa...
9 Reactions
179 Replies
28K Views
Eti vp kwa upande wako ulishawahi kufukuzia mtu ambaye unamtaka kimapenzi na anaishi mbali na wewe hadi ukaamua kumfungia safari hukohuko? hebu niambie ulienda umbali gani kufukuzia mpenzi Mimi...
25 Reactions
302 Replies
22K Views
KIKAO CHA LEO Kinazungumzia Kwanini Hujaoa Na kwanini Huolewi Kikao Kimeanza Karibu Kwa Maoni✍️
10 Reactions
127 Replies
4K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…