Mahusiano, mapenzi, urafiki

Tubadilishane mawazo kuhusu familia, mahusiano, mapenzi, urafiki, n.k na kushauriana

On JF:

jamani naomba mawazo yenu. kweli ni vibaya kumpenda mtu kwa sababu anapesa nyingi?
1 Reactions
72 Replies
6K Views
Lovely night is gonna be, Hello wakuu. Muda kama huu probably wengine wanajiandaa kulala na wengine wameshalala pia ambao they need to wake up early thou pia kuna wengine like cnn ni kukesha tuu...
4 Reactions
50 Replies
4K Views
WanaJF Msaada Jamani! Mwenzenu mwanzoni nilikuwa naona raha ila sasa hivi sijielewi naona ishageuka tatizo natamani wanawake mpaka nahisi kuchanganyikiwa! Hii sio kawaida yani imefikia Kiungo...
2 Reactions
68 Replies
12K Views
Natafta girfriend badaye aje kuwa mke wangu,sifa... Awe, Umri; 19-27, Umbo; mwembamba/ mweupe asili, Eimu; yoyote, Dini; yoyote,ampende MUNGU, SIFA ZANGU, Jinsi; male, umri;31, rangi; maji ya...
0 Reactions
0 Replies
881 Views
Natafuta rafiki wa kiume, company tu nothing much. akiboreka and needs my company nitakuwepo na mimi nikiboreka nikimuhitaji awepo. ila strictly no jigjig. rafiki wa ukweli kama wa kike vile...
14 Reactions
102 Replies
15K Views
just a friend, wakubadilishana mawazo hasa yakimaisha na changamoto tulizo nazo vijana, Jinsia yeyote Umri wowote. 0757157725 sms, calls na whatsApp. juma.magombe@yahoo.com Email...
0 Reactions
0 Replies
917 Views
Jamani akinadada wa jf hamjambo? how good itz to share diffent ideaz? girlz ov all agez let us talk to exchange viewz!29
0 Reactions
3 Replies
892 Views
  • Closed
Msaada kujua tabia za wanawake kabila la wairaq wa huko arusha/moshi/manyara.
0 Reactions
56 Replies
47K Views
habari wadau, mimi ni msichana mwenye sura mbaya kadiri ya maoni ya wengi, umbo baya, lakini roho ya ukatili sina na ni mcheshi, kugombana na mtu sijui. nataka rafiki wa kiume awe na umri miaka...
0 Reactions
21 Replies
2K Views
Sorry message deleted
0 Reactions
0 Replies
768 Views
Wale wanaoitwa vimodo, ehee hao sasa, yaani nikiwaona tu huwa roho yangu inasuuzika. Napenda jinsi walivyo wembaba kwa juu halafu vinyama kidogo kiunoni, vimejaa kwenye hipsi zao kutengeneza umbo...
5 Reactions
76 Replies
10K Views
habari wakuu wa MMU Mwenzenu nina tatzo ktk mapenzi na mpz wangu. yaan n hv n mwaka wa pili kwny mahusiano mpz wangu hajawai shika cmu yangu kuikagua inaniuma sana yani hata umuachie makusud...
0 Reactions
89 Replies
7K Views
Ana miaka 16, mimi nina miaka 28. Can I date her? Kama mtakuwa amjapata point yangu, sizungumzii kufanya nae tendo la ndoa, Far from it. Point yangu ni kwamba, binti ni mwelewa kuliko wadada...
1 Reactions
99 Replies
10K Views
wana JF, ama niseme nimebahatika? Si kawaida kumpata mtoto wa kike asiyependa pesa. Pesa ndiyo zinaongoza kwa vifo vya wasichana na wanawake walio wengi. Ukimpata asiyependa pesa yakubidi...
0 Reactions
49 Replies
5K Views
Nna mpenzi anaitwa juma(sio jina halisi)tuko mikoa tofauti.Wikiend moja akaja kunisalimia. tukiwa wote akachukua simu yangu tukampigia kaka yake tukaongea vizuri nkatambulishwa ikapita.Namba mi...
0 Reactions
6 Replies
2K Views
Swl kwnu wdau wa LC.Hivi inkuwje wpenzi wanaishi kw 'tension' then waktosana tu unakuta kila mtu anmwingine immedeately?
0 Reactions
0 Replies
741 Views
Mwanzoni alikuwa akiamka anakusalimia vizuri,anakupigia simu,'Baby Umeamkaje jamani,umeniota??Nakupenda sana,karibu chai jamani,I missed u so much in my dreams jamani,umevaaje...
10 Reactions
50 Replies
6K Views
^^ Nimesikitishwa na madai ya rafiki yangu aliyenifuata kuniomba ushauri juu ya kuachana na mkewe aliyemuoa miezi mitatu tu iliyopita.Nilimtazama kwa huzuni na katika uchangamfu aliouzoea kuuona...
22 Reactions
33 Replies
3K Views
Hello! Wakati natafuta mwenza mama yangu na rafiki zangu kibao walinishauri familia zisizofaa kuoa! Sample space Nilichunguza mbili kwa makini yote: 1. Hii Mama wa nyumba alitengana na mumewe na...
0 Reactions
22 Replies
3K Views
Stress za week zimenichosha, kila siku kila saa foleni, nimepanga na mamsap tutoke kesho twende sehemu ilotulia. Mimi sio mtembeaji sana hapa dar, naombeni sehemu nzuri, imetulia iwe na mazingira...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…