Mahusiano, mapenzi, urafiki

Tubadilishane mawazo kuhusu familia, mahusiano, mapenzi, urafiki, n.k na kushauriana

On JF:

Nahitaji Mchumba waa kuoa awe mkristo na awe radhi kupima afya. Pia awe na miaka 25-30, urefu sm 130-150, asiwe mweupe, asiwe mnene, mcha mungu, msafi, anaejiheshim, elimu yoyote, mcheshi na...
0 Reactions
29 Replies
3K Views
Ilikuwa mida ya jana pale jamaa yangu aliponipigia simu nimsindikize akaonane msichana mmoja aliyekutana naye pale Girrafe hotel ambapo jamaa alichukua namba ya huyo msichana wakawa wanachat kama...
2 Reactions
41 Replies
5K Views
wadau naulizia mahali ilipo zizzy massage and spa iliyopo mbezi beach iko sehemu hapo mbezi beach mwenye direction plz..au kama kuna anafahamu massage nzuri hapa dar:A S thumbs_down::roll:
0 Reactions
1 Replies
4K Views
^^ Mshauri wa masuala ya ndoa na malezi Bi. Jennifer James aliwahi kusema kuwa "....Nusu ya kwanza ya maisha yetu huharibiwa na wazazi na nusu inayobaki huharibiwa na watoto wetu...." Ni kauli...
15 Reactions
60 Replies
7K Views
Kuna watu wengi ambao matarajio yao kwenye ndoa yamekwenda tofauti. Tafiti zinaonyesha kuwa hali imekuwa mbaya zaidi siku hizi, idadi ya ndoa inaongezeka. Huenda wewe ukawa ni mojawapo wa...
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Jamani nikaribisheni nimechoka kuchungulia dirishani kila siku.
0 Reactions
13 Replies
1K Views
Wadau ni matumain yangu mko salama kwenye mada,je kuna ubaya wowote wa kumuita mwanaume mwenzako baba flan,maana hlo jambo jana kidogo lilete ugomvi baada ya mtu mmoja kumlazmisha mwenzake...
0 Reactions
0 Replies
815 Views
je UTAFANYAJE PINDI UNAPOKUWA UMEISHA NA MWANAMKE AU MWANAUME AMBAYE UMEISHI NAYE KWA MUDA WA MIAKA 5 NA MNA WATOTO 2 NA ULIISHI NAYE KWA KUMVUMILIA SANA UTACHUKUA MAAMUZI GANI NA UMEJARIBU...
0 Reactions
16 Replies
2K Views
Habari wana JF, Shikamooni wana MMU. .. Kwani tatizo nini?... Story ni ndefu sema nimeifupisha.
4 Reactions
75 Replies
7K Views
Jaman msaada wana MMU nataka mniambie huu nilio nao ni ugonjwa au ni hali ya kawaida,mimi mwenzenu nikiiona tu chupi ya msichana iwe imeanikwa au kavaa imechungulia aidha iwe barabarani,mtaani...
1 Reactions
112 Replies
29K Views
Alieenda kwenye mkutano ya wafanyabiashara diamond jubilee atujuze yalioajiri huko
0 Reactions
7 Replies
2K Views
Ukimchukua kwa gari lako binafsi, ukampeleka Mlimani city akafanya shoping halafu ukalipia wewe... Ukamaliza ukamrudisha kwao atakwambia. "SEE YOU BABY TAKE CARE!! Ukifika pliz call me eeh!"...
2 Reactions
6 Replies
1K Views
  • Closed
Kwenu wote kina dashosty mnaojisifia digirii zenu ujumbe unawahusu. Digirii kajisifie nayo ofisini kwako au unapoomba kazi ya kuajiriwa ya kidigirii. Haihusiki kwengine. Ladha ya chumvi ni ileile...
13 Reactions
267 Replies
25K Views
Ndugu washika dau Ni Yule Yule kidume wa miaka 24, tangu nimetahiriwa miezi mitatu iliyopita nimekuwa na minyege balaa, sina muda maalum wa kugegeda, yaani muda wowote iwe asubuhi, mchana...
0 Reactions
41 Replies
5K Views
Amani ya usku huu iwe kwenu wadau!! Ivi unajisikiaje kila unapo mpigia mpenzi wako unakutana na call waiting!! haijalishi ni mda gani!!,, na utafanyaje ili hii hali uizoee!!
0 Reactions
27 Replies
4K Views
Mim ni kijana wa miaka 25 mhitimu wa chuo kikuu nahitaji marafiki wa kike umri kuanzia miaka 18 na kuendelea.cchagui dini,kabila,rangi wala umri..nahitaji tubadilishane mawazo na mungu akipenda...
0 Reactions
1 Replies
969 Views
Washika dau A town, Nipo Arusha tangu Jana jioni kwa ajili ya shughuli ya kifamilia, nimefikia nyumbani kwa mmoja wa wanafamilia, tayari nimeshamvaa demu mkali ambae kama Mimi nae yuko hapa A-...
0 Reactions
29 Replies
6K Views
Kwa wale ambao wapo kwenye uhusiano iwe wa kimapenzi au ndoa wana kumbukumbu ya ile siku ya kwanza ambayo walianza kuonana na mmmoja wao kuanza kumsemesha mwwenzake [mara nyingi ni wanaume] na...
15 Reactions
428 Replies
30K Views
Yamenikuta leo! Kuanzia kule kwa mzee Markzuuu, nikamsendia text mtoto wa kihaya, akajibu poa, uko wapi Mwanza wewe je Dar! Kila siku ikawa chat chat chat mpaka na kukeshaaa, natumiwa picha...
1 Reactions
37 Replies
4K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…