Ambaye amesafiri kwa miles kukuona wewe
Ambaya anakuomba msamaha japo kuwa akufanya kosa la kuomba samahani
Ambaye analia sababu anakupenda/Amekumiss.
Ambaye anajaribu sana kukurudisha pindi...
Ni zaidi ya miaka 15 hatujaonana mimi na huyo mdada, kapita mji ninapoishi kaamua kunitafuta, bahati nzuri kafanikiwa kupata namba kwa ndugu zangu anaohishi mji mmoja naye!
Nikakubali kwenda...
Wasalaaaaaaaaaam wazee wa malavidavi mabibi na mabwana!
Naomba kufanya utangulizi kwanza kabla sijasadifu title ya uzi huu!
Kuna mshikaji wangu mmoja hv kaoa takribani miaka miwili sasa kaoa...
habari wana mmu leo katika pitapita zangu kwenye internet nimekutana na hii blog ya udaku http://www.udakuspecially.com yaani ni kwamba kilas stori ninayoisoma najikuta nimeshakutana nayo...
Ni kawaida kusikia Wanaume makazini au mahali popote pale pa mikusanyiko yetu kuwasifia baadhi ya wanawake wanaokatiza mbele ya macho yetu,kitendo hiki hutupelekea wakati mwingine hata kuingia...
Huwa nikisoma coment zake moyo wangu unalipuka, paaa! Nikizitafakari huwa nafikiria namna na yeye alivyo kiundani. Huwa nahisi ni mtu mwenye busara na hekima ambayo wengi wamekosa siku hizi...
hivi kwa nini mmekuwa na roho ya namna hii wanawake ? kwa nini hapendani kiasi hiki ?? inatia uchungu sana tena sana .
.Leo asubuhi nilikuwa kwenye daladala linalotoka Gongo la mboto-Msasani na...
Utengenezaji wa kucha na uoshaji miguu ni biashara inayokuwa kwa kasi hasa maeneo ya mijini ambapo wanawake wengi wanahusudu na kujihusisha na masuala ya urembo.
Biashara hii inazidi kukua huku...
MSHAURI HUYU.
Naitwa Janny,ninaishi jijini Dar es Salaam siku za hivi karibuni nimepata Mchumba ambae amepanga kunioa ili tujenge maisha na familia,lakini kuna mdada alinifuata na kuniambia kuwa...
habarin,
Pamoja na kuwa na wapenzi mbalimbali kwa muda mrefu nimegundua siwezi kutongoza kwani hata hao niliokuwa nao niliwapata kwa sifa za class akili hasa uwezo wangu wa hesabu na physics sasa...
Heshima kwenu wote wapenzi na washabiki wa jukwaa hili. Awali ya yote nipende kuwapongeza kwa jinsi mnavyotumia muda wenu kwa ajili ya kuwashauri ndugu zetu ambao huleta nyuzi za mambo magumu...
Naomba kabla ya kulala kama bado hujalala usome maandiko ya mwenyezi MUNGU. kama muislamu soma Quran na mkristo biblia japo aya moja tu hakika itakuwa kheri kwetu. kwa wakristo tusome zaburi...
Habari za asubuhi wadau
Kuna msichana ambaye ni rafiki yangu wa karibu ameniomba nimtoe out leo maeneo ya ufukwe na mimi sehemu nilizozoea ni white sand hotel , jangwani sea breeze na kunduchi...
Wadau,
mimi ni mdada wa miaka 27 nimemaliza chuo mwaka jana. Mweupe, mnene wa wastani, mrefu, sinywi pombe na sivuti sigara. Naishi maisha ya wastani. Mimi ni mkristo
Natafuta mwanaume wa...
Habari wana MMU!
Ningependa kujua hivi kuna uhusiano wowote wa muonekano wa mwanamke (hapa namaanisha mavazi, vipodoz anavyopaka,nywele) na aina ya mpenzi ambaye unategemea uwe naye?
Hapa...