Mahusiano, mapenzi, urafiki

Tubadilishane mawazo kuhusu familia, mahusiano, mapenzi, urafiki, n.k na kushauriana

On JF:

jaman inakera sana hasa pale uko online unaongea na msichana kwa foni, sauti kavuuu...... hakuna hata ile kunibania pua ,yaan kama naongea na afisa usalama wa syria vile mbadike jaman mimi...
9 Reactions
75 Replies
8K Views
WAJUZI NA WATAALAMU WA MAMBO WANASEMA FLOWER NI NJIA YA KUELEZA NA KUONYESHA FEELINGS ZAKO KWA MWENZAKO,NA WAMEGAWA MAUWA KWA RANGI ZAKE,NA KILA RANGI WANASEMA INA MAANA YAKE KUTOKANA NA CHEO NA...
1 Reactions
92 Replies
8K Views
Asalaam wana jf. Mimi ni kijana wa umri wa miaka 23,naishi kwangu ,sina familia wala mke wala grfriend,nafanya kazi serikalini,elimu yangu form 6 na nina certificate ya accounts ambayo...
0 Reactions
35 Replies
5K Views
hivi hapa wadau inakuaje? anyway sijui mimi ni mshamba au wa kale! hili tangazo la mama mjamzito halinifulahishi hata kidogo na mbaya zaidi linatoka saa mbilimbili umepiga pozi na familia...
2 Reactions
20 Replies
3K Views
Wiped It
0 Reactions
69 Replies
7K Views
Naomba #MODS msiiweke hii srdi kwenye JF Doctor, iache hapahapa ipate michango ya wadada,wakaka na madaktari. Nina rafiki yangu wa kike yaani anateseka sana akiaanza kuumwa. Sasa tangu anisumulie...
0 Reactions
52 Replies
6K Views
The term ''LOVE'' it has different meanings, can u please tell me on how u use that term?
0 Reactions
1 Replies
2K Views
tukifika... .tunashikana,vuana nguo tunanyonyana tuna'tumbukizana wengi tunasahau kuwa kujikinga ni hatua ya pili,tunavalishana condom baada ya kunyonyana weee na kuambukizana...
0 Reactions
21 Replies
3K Views
nimekua na mahusiano na mpenz wangu kwa muda sasa (takribani miez 5 sasa),,mwanzon tumekua tukiwasiliana kwa karibu sana na kunifanya nijiskie amani na kusahau kuhus wasichana wengne,,,,kifup...
1 Reactions
143 Replies
11K Views
habari zenu wakuu,nina rafiki yangu ambaye nimetokea kumpenda kimapenz bila woga ilibidi nimwambie yanayonisibu lakini kwa upande wake hajakubaliana na mimi ,amesema hatoweza kuwa na mimi kimapenz...
0 Reactions
7 Replies
2K Views
Love is illogical Love dont make sense Love has no formula Love is not permanent if u happen to find the love of your life GO WITH THE FLOW dont look for reasons JUST GO W/...
0 Reactions
0 Replies
840 Views
Habari wanajamvi... jamani i was in love na huyu jamaa bila kujali tofauti zetu za kielimu,dini wala kipato,yeye ni muislam mi mkristo,mimi nina Masters yeye kaishia form 4 japo alsma tourism...
1 Reactions
119 Replies
10K Views
Habari zenu wotee, Jioni hii nimefurahii kutokana na furaha zangu mwenyewe ila nimefurahi zaidi baada ya kuwaona wana MMU wakiwa katika mazoezi jioni hii, yaani wanatembea kwa miguu in sport...
0 Reactions
44 Replies
4K Views
jamani wana jf nawasilisha kwenu hili tatizo linalomsibu gal wangu maana iz too much nikiwa nasex naye huwa anaachia mizinga[mashuzi] si kawaida katka game anaweza hata akaachia mara 3 na zaidi...
0 Reactions
74 Replies
11K Views
jamani wakuu nimeshindwa kutoa ushauri kabla ya kukimbilia jamvini. Kuna jamaa yangu tuko nae hapo chuoni alikuwa na mpenzi wake ambaye wamedumu naye kwa mda wa miezi minne. Jamaa alikuwa...
0 Reactions
29 Replies
3K Views
Picha ya Msichana na Mvulana waliojinyonga Kwa Pamoja Juu ya Mti Baada ya Kukataliwa na Wazazi wao Wasioane Kisa ni Kutoelewana kwa Familia Hizo.....JEEEEE ____???? A)NDIO DAWA B)UJINGA C)NDIO...
0 Reactions
38 Replies
5K Views
Duu ndoa hizi bwana. Leo nimewahi kurudi home saa 11 jioni. Wife alikuwa ameaga kuwa atachelewa kurudi na siku zote huwa anarudi kabla yangu. Mimi narudi saa 2 hadi 4. Sasa kuwahi kwangu kurudi...
0 Reactions
14 Replies
2K Views
Ndugu yangu wa karibu ameniomba nimsaidie ushauri,nami nimelileta hapa jamvini tusaidiane kumshauri...............''Jamani hebu nisaidieni mwenzenu. Mimi ni mwanamke mwenye umri wa miaka 31. Nina...
0 Reactions
23 Replies
3K Views
Am ril thanx 2 jf member 4 moxtly 2 accept ma rquext ov bng ma frnd juxt continue wth that heart am ril hapy 2 gotta u az frndz 2gether ma man.phone me via 0763411331.
0 Reactions
46 Replies
3K Views
Nimeuliza swali hili sababu ya jambo ambalo ameniambia mchumba wangu kuhusu rafiki yake aliyepotoze mahusiano yake sababu ni bikira. Kijana alimuomba rafiki yake wa sex. Binti alimuambia kwamba...
0 Reactions
108 Replies
14K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…