Mahusiano, mapenzi, urafiki

Tubadilishane mawazo kuhusu familia, mahusiano, mapenzi, urafiki, n.k na kushauriana

On JF:

Ni kweli kwamba wakina dada wanapenda kudangwanywa kuliko kuambiwa ukwel nisaidieni jamani.
0 Reactions
16 Replies
2K Views
Habari zenu wanajamvi! Wagonjwa nawapa pole na wale wote tuliokwazwa na maneno ya Mwigulu Nchemba tuvumilie tu huyu jamaa akili zake zinamtosha mwenyewe kama akili zangu zinavyonitosha mwenyewe...
2 Reactions
67 Replies
7K Views
Wana bodi niwasalimu... Nimeonelea nipate mawazo tofauti na mimi nnavyofikiri kuhusu mahali kwa mara ya kwanza umeonana na mpenzi wako, As to me naamini kuna maeneo kama club,kwenye daladala,bar...
0 Reactions
38 Replies
3K Views
Hello my dear brothers and sisters! I hope you are doing great, I have been receiving texts through my Facebook account like "My name is ......, i saw your profile today at /facebook.com/ and...
0 Reactions
13 Replies
2K Views
Ilianza kama utani kutumiana message za kirafiki,kuchekeshana hadi leo ninavyoandika hivi. Mwaka jana ilitokea nimetokea kumpenda mkaka ambaye tulikua marafiki na alikua ananishauri kwenye mambo...
0 Reactions
44 Replies
5K Views
Naombeni ushauri wandugu. Sijajaliwa kupata mtoto, lakini mume wangu amejaliwa watoto wa nje kibao. Natamani na mimi kuasili mtoto mume wangu kakataa katakata. Nishaurini jamani kwani mawazo...
0 Reactions
63 Replies
7K Views
Mmoja wa wenye hikma alisema: Jihadhari na kuwadanganya wanawake, kwani wana uhodari wa kujua ukweli, na uwezo mkubwa wa kujifanya hawajajua...! "Mwenye kupoteza penzi la mwanamke muaminifu...
1 Reactions
16 Replies
2K Views
Ladies… 1. Never depend on your boyfriend like he is your father, show him that before he met you, you were comfortable and without him you can still be comfortable. 2. Do not detest...
11 Reactions
40 Replies
4K Views
Habari zenu watumiaji wa JF wenzangu? Tupeane uzoefu kama ishawahi kukutokea, kwa wale tuliojaliwa kuishi na Mama. Mama anaomba kurudishiwa gharama zake anazotumia juu yangu, mf: kanitumia kitu...
0 Reactions
35 Replies
3K Views
Habari wa MMU,gf wangu kanipia cm kua eti kakutana na my x na kumpatia zawadi aniletee..lkn anataka kufuingua aiangalie..je nimruhusu?na huyu gf wang wa sasa ana wivu sana..Ushauri pl
0 Reactions
20 Replies
4K Views
Popote ulipo nichek facebook rahim chanzy
2 Reactions
209 Replies
21K Views
Gesti hausi zibadilishwe majina ziitwe nyumba za wenyeji manake watumiaji asilimia 90 ni wenyeji Halafu na rejista nayo ibadilishwe yani haiwezekani kabisa mtu ajaze hivi; Jina lako kamili: Mhina...
0 Reactions
31 Replies
4K Views
Hodi tena kwa mara nyingine wapendwa mimi ni mama wa mtoto mmoja ana 10 yrs na mimi nina 42 ninahitaji mtu wa kuwa nae kama mume awe nae labda ana mtoto angalao mmoja ili tuanzishe familia awe...
2 Reactions
27 Replies
4K Views
Natafuta rafiki wa kike wa kuchat nae(miaka 18-21)
0 Reactions
2 Replies
3K Views
nimeenda kanisani na furaha ile kuingia tu! namuona mpenzi wangu alieniacha kipindi kama hiki hiki mwaka jana. moyo umekufa ganzi miguu imenilegea na akili yangu imevurugika na hata kwa bahati...
0 Reactions
50 Replies
5K Views
Naomba kuelewa mchango wa nyakati katika uadilifu kwenye ndoa na mahusino?. Kwa upande wandu kama mwana mapinduzi wa kifikra ninaamini kuwa mapenzi ya zama zile za mababu na mabibi zetu...
0 Reactions
3 Replies
2K Views
Jamaa yangu kaja nimshauri lkn nimeshindwa naomba msaada wenu Tatizo lenyewe nikwamba jamaa anapokuwa na demu anakuwa na mzuka sana wa kugonga na akigonga kagoli kamoja tu mashine...
0 Reactions
2 Replies
937 Views
a lady for week end leisure is wanted. Get in touch
0 Reactions
4 Replies
1K Views
Habarini za j'pili, leo niko pande za Tanga atakae taka kampani yangu anipm karibuni.
0 Reactions
0 Replies
2K Views
Habari zenu Wanajamii. Kwa jina naitwa Rashid Ali Nyakunga,ni mwenyeji wa Tanga,nilizaliwa miaka 28 iliyopita katika familia ya watoto 5.nimebahatika kupata elimu ya Digrii ya kwanza katika Chuo...
1 Reactions
64 Replies
10K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…