Habari wakuu,
Mimi ni mwanaume, nina miaka 37, nina watoto wawili, niliwapata katika mizunguko ya maisha, ninaishi nao.
Nilipanga kuwa na watoto wawili tu katika maisha yangu.
Kwa sababu hii...
Wakuu nisaidieni, mimi ni kijana mwenye miaka 27.
Nilikuwa na girlfriend wangu ambaye tulidumu kwa miaka mitatu, nilimpenda mno mwisho wa siku alinitenda, niliumia mno, nilichanganyikiwa kwa...
Habari za usiku huu wanajamvi? Poleni sana kwa mihangaiko ya siku nzima ya leo pia kwa wale wakazi wa Dar poleni sana kwa foleni ya siku ya leo. Hope baada ya kufika now tupo kwenye jukwaa letu...
Heshima mbele wanaJF,
Nina mwanamke wangu ambaye kwa kweli nimempata baada ya harakati za miaka mingi, nampenda na ananipenda, tukiwa katika hatua za mwisho za kufanya maamuzi magumu, anatokea...
niko serios nahitaji binti mweupe ,mrefu kiasi,mnene kiasi muajiriwa au amejiajiri kwa uhusiano wa kudumu,mimi ni mrefu kiasi , mwembamba kiasi,muajiriwa,maji ya kunde aliyetayari call me through...
Bahari za hapa ndugu wana MMU
Nimetoka kutafuta mkate wa kila siku nikawa nimekaa tu ndani uku nasoma JF kwenye huu mchina wangu, mara simu ikaita, aggggrrrr .. nani tena uyu anasumbua watu...
Wapendwa wana JF mwenzenu nimekwepa majaribu mara kadhaa kutoka kwa secretary wangu hua ananitega mara kwa mara, majuzi nilikuwa Iringa safari ya kikazi akanipigia simu saa tano za usiku baada ya...
Sifa zangu:mwaminifu,mchamungu,mvumilivu na msikivu,msafi,mtafutaj pesa wa kufa na kupona.mcheshi,kujali na kubembeleza kwa namna ya kipekee.napenda kudekewa.. umri;26...
Kwa sasa mimi ni kijana nina miaka 22 na hitaji mchumba ambaye tutaishi kipindi cha uchumba kuanzia sasa mpaka mwaka 2018 upweke umezidi kwa kweli.Mwaka 2018 nahisi nitakuwa nimemaliza kusoma na...
Ninachoka mwenzenu naombeni ushauri. kuna wakati natokwa na machozi ila namwambia mungu anisamehe maana nikilalamika wapo ambao wanalia hawana watoto. ukinikuta nimewabeba acheniii mmoja mgongoni...
Ama kweli kila janga lina wanaofaidi! Asubuhi hii nimekaa restaurant moja maeneo ya Knyama napata bfast, karibu yangu kakaa dada mmoja peke yake, sasa kuna jamaa kaja from no where naye kakaa...
Ama kweli hakuna masika isiyo na faida, kwa hii ma single wengi wamechemsha. Kuna waliotafuta wenza temporary, michepuko, madada poa na kikubwa zaidi wapenzi wengi ambao waliachana wamerudiana...
Kama kawaida najiandaa kutoka zangu ofisini nikaamua kupitia dukani kuchukua wayn yangu si unajua tena mvua?
Ile natoka tu nikakutana na classmate wangu yeye kwa sasa ni mwalimu ndio amekuja...
habari za sasa wakuu, ni imani yangu kuwa mu wazima wa afya kabisa,
kwa ndugu zangu mnaoishi mabondeni, naombeni niwape pole sana kwa maafa yanawayowakuta. kwa kipindi tulichopo sasa, jiji la dar...