Swali langu ni umewahi kuwekeza kitu gani au shilingi ngapi kwa kukadilia katika mapenzi ili kudumisha mahusihano yako na mwanamke au mwanaume?
Ngoja niongelee kwa upande wangu,
Mimi nimekua ni...
Kama ilivyo maisha ya wakulima walivyomakini kuchagua shamba, kuandaa shamba na kujua muda sahihi wa kupanda mbegu.
Ndivyo maisha ya ndoa yatakiwa kuwa!
Siku hizi unaweza kuwatembelea watu...
Hili swala nilikuwa nalijua ila leo baada ya message fulani hivi kutumiwa na kijana mdogo ambaye nilizoeana naye ambapo alikuwa mfanya usafi ofisini, baadae alipata kazi sehemu nyengine ila kwa...
Mtu umeolewa unapangwa na vijana kama mmojawapo wa michepuko yake . Sasa ufumaniwe na,vitoto vya elfu mbili unapigwa kumia unaumia kuabishwa unaaibishwa.
Sasa jiulizee ukipigwa hadi uzirai...
Habari zenu ndugu zangu, jamaa na marafiki zangu,
Hoja iko hivi, nina mke ambaye nimedumu naye kwa mwaka karibu wa 10 na Mungu kanijalia watoto kadhaa.
Ki ukweli tunaishi vizuri mno ni...
Sio kazi ngumu sana kuelewa mwanamke anaekupenda kiukweli mwanamke anaekupenda kweli hawezi kukuomba wewe kitu chochote bali atachohitaji kutoka kwako sana sana ni muda wako na 'attention' yako...
Pamoja na yale maneno ya ushawishi ya shetani kwa Hawa au Eva ya kula tunda la mti ule. Haya ni baadhi ya mengine ambayo shetani alituambia ila hayakupatwa kuandikwa.
1. Huruma - mwanamke hupaswi...
Habari ya muda huu wanajanvi!
Kama mada inavyojieleza hapo juu, Miaka ya hivi karibuni kumekuwa na ongezeko kubwa la mahusiano au ndoa kutodumu na vijana wengi kuchelewa kuoa au kutooa
Je...
Katika hali ya kushangaza, mwanamke mmoja amemuacha mume wake na kuolewa na mfanyakazi wa benki aliyemuidhinishia mkopo kwa mahitaji yake. Mwanamke huyo, ambaye inasemekana hakuwa na furaha na...
Huu ni utafiti mdogo wanawake wembamba wanapenda sana na hawachoki kuliko wanene. Na wengi wao ndio wanaongoza kwa uhuni au kutoka nje ya ndoa sababu hawaridhiki.
Nadhani ndio maana hata miili...
Kuna ongezeko kubwa la mabinti kuzalia home kwa wazazi kabla ya kuolewa.
Nimefanya utafiti ,majibu yangu yamejuwa na ukweli, Lakini sababu kubwa ni kutokana na
1. wanawake wengi kukata tamaa...
1. Wadogo wa kike wa mke wangu Ni kama wamehamia kwangu kiaina. Walikuja kumtembelea dada yao toka Disemba 2023 Ila naona hawaondoki.
2. Vaa Yao ndo inaniacha njia panda, nawaza niruke nao Kama...
Tuambizane ukweli, kwa asilimia 99% ukimwambia Mwanamke nataka nikuoe atawaza zaidi siku ya sherehe itakavyokua jinsi atakavyo watambia marafiki zake, jinsi atakavyopiga mapicha, jinsi watu...
USIOE AU KUOLEWA NA MTU ASIYE NA KAZI.
Na. Robert Heriel.
Mimi Baba yako nimeyaona haya wala sijahadithiwa wala kusoma hekaya za wahenga. Nimeyaona kwa macho yangu mimi.
Mwanangu kamwe...
Wakuu,
Kuna muda nilitokea kumpenda mtoto mrembo sana, nikamtongoza akajaa mazima.
Siku ikapangwa kuwa tukutane wapi na sa ngapi! Mtoto akaitikia wito akajaa magetoni.
Wakuu omba...
Yapata wiki sasa Toka niamie mabibo azimio .uswahili aswa kwa waswahili.
Maisha matam kidogo .ukiamka saubuhi misosi yetu ni
Supu ya mapupu .bandama koromeo nyie kuleni minofu sie tupeni utumbo...
Uzuri huwa unabeba sana, watu wanakushobokea na kukukubali kwa kutumia nguvu ndogo sana. Sasa nikipoga ile mikato yangu, perfume kali, na muonekano wangu, hapo lazima wanikubali.
Kwanza...
SEHEMU YA KWANZA:NAANDAA ULIMBO
Wadau salama,hili tukio lilitokea miaka mingi iliyopita,kwenye ile wilaya ya mkonze mkoani Tabora.Kipindi hicho nilikuwa kidato cha kwanza na nimerejea kwetu kutoka...