Ukimuona mdada hapa jamiiforums kaweka tangazo anatafuta mchumba hata kama yeye kaishia darasa la saba utasikia elimu kuanzia form six na kuendelea unatafuta form six na kuendelea au unatafuta...
Mimi ni kijana ambaye niko katika michakato ya kuanza kuwa na familia yangu binafsi. Nimeshadate mabinti tofauti tofauti kiasi nina uelewa 'uzoefu' na mabinti. Ila ukweli ni kwamba dating ni...
Baada ya mahusiano ya miaka minne ya uaminifu na upendo kwa binti mmoja hivi jina kapuni, ndipo safari yangu ya kuto mwamini tena mwanamke katika mahusiano ilipoanzia kutokana na kile...
Kuna tatizo linalonisumbua katika mahusiano, ni kwamba kuna msichana nimetokea kumpenda sana lakini yeye hanipendi na hataki hata kuniona lakini mimi moyo wangu unampenda sana naona hakuna...
Why are today's young women so unashamed about being fat? Horrified by the rolls of flesh she's witnessed on show this summer, LINDA KELSEY takes no prisoners
Our writer is a self-confessed...
Sidhani kama nikitumia tafsida ntaeleweka vizuri, ni hivi, tabia ya kuanika chupi zenu kwenye kamba katika sehemu ambazo ni public sana si vizuri!
Sie wengine h tukishaona chupi tu tunahisi...
Unamkuta binti kijijini kachoka, kapigika hata mafuta ya kujipaka hana anavaa kandambili za kuunga lakini kwa kumuangalia tu ana sura nzuri japo haina matunzo.
Ukioa ukaja nae mjini ukamfungulia...
Habari zenu brothers and sisters,
Kumekuwa na ubishani ukiendelea kwamba nani kati ya mke au mume anaeongoza kwa kuchepuka ndani ya ndoa bila kupata majibu ya uhakika.
Wengine wanasema...
Dah!huu msemo wa mkeo mchepuko wa mwenzio kumbe kuna ukweli wajameni,
Wacha niwape habari hii bado ikiwa ya moto,tulikua tunapata lunch na best zangu hapa tabata bima kumbe kuna best yetu mmoja...
Anyeonghaseyoooooooooooooooooooooooooooooooooooo!
Hii wiki ni anivesary ya ndoa ya wazazi wangu kutimiza 28 years of Marriage! Nimeona nitoe machache kwa mlio kwenye ndoa, maana marriage is not...
Wazazi wa binti mmoja hapa Dar es Salaa wamezuia ndoa ya binti yao iliyokuwa ifanyike katika kanisa moja hapa Dar es Salaam kwa madai kuwa hawakuwa wamepokea mahari wala hawakuwa wamujulishwa...
Embu wajameni wakubwa kwa wadogo jiulizeni kam huu ugonjwa usingekuwepo leo hii ni yapi ambayo macho yetu yangukuwa yanayashuhudia! Je, ngono ingefanyika kwa kasi namna gani na kwa uwazi kiasi...
Kuna Jirani yangu kafanya jambo ambalo sijawahi kutarajia. Ni mtu tunakaa karibu hatujazoeana lakini salamu za haste haste huwa tunapeana halafu kila mtu na time zake. Leo nimegongewa mlango...
Habari wakuu,
Eti mwanaume anaehonga ndie mwanaume rijali kwa kuwa ana sifa ya kutafuta na kutumia? Eti mwanaume anaehonga ndio mwanaume anaekonga nyoyo za kidada na kina mama kwa sana?
Je...
Nimefurahishwa sana na ujumbe wa mheshimiwa JK, na huu uwe kwa wote sio kwa Januari tu, chochote unachotaka maishani usikilazimishe kabla ya wakati na pia unapokosa usililete Nongwa...
Kuna rafiki yangu alikua na mpenzi wake kipindi yupo chuo (mkoan), kiukweli walikula good tym sana rafiki yangu kamaliza chuo karudi kwao na yule mpenzi wake kamuacha hukohuko mkoani.
Sasa huyu...