Habari wadau,
Jana nilikuwa na shemeji yangu mke wa rafiki yangu. Katika kuogea akaanza kuniambia habari ya wadogo zake kike jinsi walivyo wazuri (sijaoa), mwisho tukaanza kupiga story za...
Wakuu,
Mke hanitaki nifanyeje?
Tayari tumejaaliwa watoto wawili, ingawa husema kuwa watoto siyo wa kwangu. Hua ananiletea kiburi na jeuri na hata hataki kufanya usafi wa mafazi yangu.
Naombeni...
Wakati mwingine nahisi kuchanganyikiwa lakini najikaza, mapenzi unayonipa ni zaidi ya pesa kwa wachaga wenzangu, mwanzo nilifikiri pesa pesa pesa, lakini nimegundua upendo wako kwangu ni zaidi ya...
Wengi wenu mkiolewa mnajisahau sana, mambo yakiwaendea kombo mnabaki kulaumu michepuko.
Mnafikiri baada ya kuapa kiapo mumemaliza yote, kumbe ndo kwanza kazi imeanza, yale mahaba uliyokuwa...
Tumekaa tu hapa tunatizamana toka saa 3 sioni lolote lile. Huyu dada ni wa Tanga huku huku. Yule demu wangu aliondoka jana kwenda Moshi anarudi kesho jioni. Alienda kusalimia kwao sikukuu akina...
Wakuu wanawake wana njaa Sana .
Na hawana akili za kuwaza mbali
Hajji Manara yupo sahihi , Wanawake wana tabia ya kuwanyima chakula watoto au kuwalisha makombo .
Mimi ni mtumishi na mke wangu ni mtumish wa umma,
Kwa hivi karibuni amekuwa akizungumza kauli zenye utata na dharau jambo ambalo linanikwaza pia.
Pia ni mbishi kwenye mambo mengi plus ujuaji...
Kutokana na msongo wa mawazo nilionao, nikaona wacha nikajichanganye na watu ili kuepusha kujitundika kitanzi
Nimejikuta naweka kituo kwenye kijigenge kimoja kidogo dogo. Kulikuwa na bodaboda...
Na Fred Putin.
Jambo moja ambalo mwanamume anayejiamini hawezi kamwe kufanya hadi kifo kitakapomchukua :
"KUFANYA PUSSY KUWA BWANA NA MWOKOZI WAKE BINAFSI. "
Wanaume wanaojiamini hawaabudu...
Kila nikitoka home nikirudi,huyu mke wa mpangaji mwenzangu ananiomba zawadi.
Nikasema ngoja nimtege kidogo,jioni hii nimepita duka flani la nguo za kike nikanunua chupi za kike kama 3 hivi...
Katika ndoa kuaminiana ndo nguzo kubwa ambalo linaleta mafanikio
Ila katika ulimwengu wetu huu tunasema kumuamni mwanamke ni kupoteza mda na mimi apo ndipo nimesimamia mimi ni kijana nimeoa...
Yoyote aliekaribu na huyu mrembo amfikishie taarifa kua kuna kijana handsome balobalo huko JamiiForums anataka kumchukua.
Mtoto mzuri kama yule anahitaji kua na kijana, sio mzee. Tena si kijana...
Mimi ni mwanaume mwenye umri wa miaka 35. Nina mtoto mmoja na nimfanya biashara wa mitumba.
Napatikana Mwanza Ilemela, natafuta mke wakuoa kwa ambae yupo tayari tafadhari tuwasiliane DM ipo wazi...
Wakuu, nimepasha kiporo leo!
Najuta kwa kweli, maana nimeanza kumpenda upya hata masaa ma5 hayajazidi tangu nikipashe...na yeye ameanza speed sasa kila dakika kunicheki...nahisi nimempa nafasi...
Ni kwamba......
1. Hata siku moja usije Kumuamini 100% kiumbe kiitwacho Mwanamke
2. Hata siku moja usipende Kujimaliza 100% kwa Mwanamke / Mkeo
. Hata siku moja ukiwa katika Public usipende...
Alikuwa ni mpenzi wangu, dem wangu, nilimpenda sana kwa ghafla, nilipoanza nae mahusiano muda mchache tu nikaanza kupanga plan nyingi za kutimiza nae malengo fulani katika maisha,
Nikaanza...
Heri ya Mwaka mpya wakuuu,
Nimeishi maeneo mengi hapa Dsm ila nina mwezi wa saba sasa since nihamie mbezi mwisho, mimi ni wale domo zege, yaaani kutongoza Mitihani, mimi ndo wale tunapata...
Utasikia yaani ninamuda mrefu sijaDo,Mara njoo unitembelee nyumbani,Mara kalikwenda kakarudi.
So mihemko yenu Ni day after kutuapproach?? Mbona sisi hatupropose huduma zenu masaa 24 tu baada ya...