Hivi mihemko huwa inawajia saa 24 tu baada ya kututongoza?

jannelle

JF-Expert Member
Feb 8, 2020
536
1,003
Utasikia yaani ninamuda mrefu sijaDo,Mara njoo unitembelee nyumbani,Mara kalikwenda kakarudi.

So mihemko yenu Ni day after kutuapproach?? Mbona sisi hatupropose huduma zenu masaa 24 tu baada ya kuonana, me kwangu naona Kama tamaa za kimwili zinatawala sana jinsia ME, bytheway me mtu akileta uswahili huu siwezi kuwa interested nae Tena.

Cheers kwa wale wavumilivu kiasi

Japo kwa tochi
 
Ameboost ziwe sasita amevua tu pwaaah pwaaaaah

Et mimi sijawahi mbona nimeweka tu pwaaaaah pwaaaaah !

Inshort tunaogopa hivyo vitu hapo juu ,
Tunawapelekea Moto instantly baada ya mtogozo ili kutest Kama yaliyomo yamo.
 
Utasikia yaani ninamuda mrefu sijaDo,Mara njoo unitembelee nyumbani,Mara kalikwenda kakarudi.

So mihemko yenu Ni day after kutuapproach?? Mbona sisi hatupropose huduma zenu masaa 24 tu baada ya kuonana, me kwangu naona Kama tamaa za kimwili zinatawala sana jinsia ME, bytheway me mtu akileta uswahili huu siwezi kuwa interested nae Tena.

Cheers kwa wale wavumilivu kiasi

Japo kwa tochi
Si kwa wote kuna wastaarabu wanavumilia hata mwaka na zaidi japo wachache
 
Si kwa wote kuna wastaarabu wanavumilia hata mwaka na zaidi japo wachache
Si rahisi kihivyo,km ukijua makeup Ya mwanaume na nafasi yake kwenye mahusiano wala huta doubts hizo Tabia inshort Mwanaume anachowaza baada ya mtongozo ni tendo tu mambo ya upendo yanafuata baadae ni asilimia chacha sana anatongoza akiwa anaweza upendo then sex!na hakuna wa kulaumiwa hapa ni nature angalia jinsi ME yeyote kuanzia wanyama mpk binadamu wate wana same characteristics
 
Back
Top Bottom