Mahusiano, mapenzi, urafiki

Tubadilishane mawazo kuhusu familia, mahusiano, mapenzi, urafiki, n.k na kushauriana

On JF:

Hey marafiki lets go somewhere tukae tuenjoy about life, anywhere Tarangire, Manyara, Seliani, Serengeti, Ngorongoro even for a week please members its fun we can share a lot about our differences...
4 Reactions
193 Replies
12K Views
Kuna rafiki yangu niliyemaliza nae chuo kikuu cha ardhi mwaka 2010, mimi na yeye wote tulikuwa tunasoma architecture baada ya kuhitimu rafiki yangu(jina lake naliifadhi) alifanikiwa kupata kazi...
1 Reactions
55 Replies
5K Views
Duniani kuna tafiti nyingi na mara nyingi wataalamu wa masuala mabalimbali huja na tafiti tofauti tofauti. Moja ya tafiti ambayo imenivutia kiasi cha kuja hapa jamvini ni utofauti wa ufundi wa...
22 Reactions
316 Replies
29K Views
MKAZI wa Igombe katika Halmashauri ya Manispaa ya Ilemela, jijini hapa, Tausi Juma (22) amelazwa katika Hospitali ya Rufaa ya Bugando baada ya kujimwagia mafuta ya taa na kujiunguza mwili mzima...
0 Reactions
59 Replies
6K Views
Nadhani hali hii inawatisha baadhi ya wanawake. Lakini tafiti nyingi zimebainisha kwamba, hili ni jambo linaloeleweka kitaalamu. Ni kwamba, wanaume wote wana kitu kinachoitwa korodani. Kazi ya...
4 Reactions
84 Replies
11K Views
Unaweza kukuta watu wana mazungumza yao halafu unakuta mtu anaingilia wakati mazungumzo wala hayamuhusu na kuzua ubishi usio na sababu. Kwa kawaida kila mmoja wetu anapenda kuona wengine...
13 Reactions
20 Replies
3K Views
Nimeishi kukatia mademu nikitaka kujua msimamo wao kimahaba lakini wote wananiudhi sana.Wana udaku sana na miaka yasonga
0 Reactions
34 Replies
5K Views
Hapa roho juu lakini ndiyo hivyo kama nimeiona manyoa ila atakuwa ameliwa tu Iko hivi nina demu mmoja wa kichafa hatuna muda sana tangu tuanzishe mahusiano, yeye yuko mikoa ya kusini mimi mjini...
0 Reactions
159 Replies
20K Views
Kwa kuokoa mda natumai wote msomao uzi huu mko poa, Jioni hii najitokeza tena kwa mara ya pili kutafuta mchumba wa kuwa mke na si girlfriend or otherwise, Hii inakuja baada ya kupitia hard time...
0 Reactions
38 Replies
3K Views
Wana MMU habari. Yamenikuta mie. Boyfriend wangu anatakiwa kuoa mchaga mwenzake na mie sio mchaga yaani ni shidaaa. Mchumba kapatikana uchagani na process zote ananijulisha. Ingawa anaoa hataki...
0 Reactions
139 Replies
11K Views
Jumapili iliyopita nikiwa nimejipumzisha nyumbani kwangu mara akatokea rafiki yangu ambaye ni jirani yangu, akaniomba niende kwake nikamsaidie kusuluhisha kwani kuna kasheshe limetokea kati yake...
10 Reactions
78 Replies
7K Views
Zamani bana kulikuwa hamna simu wala nini, nilikuwaga naogopa kutongoza mno nikikutana na binti nimpendae roho itanidunda weee kama nataka kupigwa risasi hata kusema nashindwa naishia kupiga...
1 Reactions
64 Replies
9K Views
Leo nilikuwa na rafiki yangu tukipiga stories za wanawake katika mahusiano akaja na hili, kwamba msichana ambaye amepitia mengi katika mauhusiano zaidi ya moja huwa anatulia katika ndoa kwa maana...
0 Reactions
21 Replies
3K Views
Habari zenu waungwana, Great Peoples, Great Thinkers ndani ya JF. Kwa kweli wiki hii mikono imeniwasha sana mpaka nimeona bora nifunguke tu juu ya jambo hili ambalo limekuwa likinikereketa sana...
1 Reactions
18 Replies
3K Views
1. Guys don't actually look after good-looking girls. They prefer neat and presentable girls. 2. Guys hate flirts. 3. A guy can like you for a minute, and then forget you afterwards. 4. When a...
2 Reactions
3 Replies
1K Views
Kutokana nawanawake wengi kutokuolewa, wengi wao sasa wamekuwa katika kambi ya wapingandoa, na wengi wao wamejizolea umaarufu kwa kufanya mashambulizi ya kutoshadhidi ya ndoa. Kunasimulizi nyingi...
3 Reactions
22 Replies
3K Views
Natafuta mpenz wa ukweli.
0 Reactions
0 Replies
722 Views
Ukweli napenda sana mke wangu anizalie watoto wa kike wengi tu. Wa kiume hata akipatikana mmoja siyo mbaya. Sababu wanapenda na kujali wazazi wao, wanaume wanapenda raha mjini wazazi wanalalia...
6 Reactions
98 Replies
8K Views
Mimi ni kijana mwenye umri wa 30yrs.....nahitaji binti sahihi .. kama uko tayari karibu tuongee. pm plz
0 Reactions
5 Replies
2K Views
Wanabodi, Moja ya vitendo vinavyotisha sasahivi hapa Tz ni tabia ya wanaume kufumaniwa na wake za watu na kupelekea kutokea vitendo vya aibu na vya kutisha. Wapo wanaume wanaokufa...
4 Reactions
58 Replies
10K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…