Mahusiano, mapenzi, urafiki

Tubadilishane mawazo kuhusu familia, mahusiano, mapenzi, urafiki, n.k na kushauriana

On JF:

Wakuu, Heshima kwenu, moja kwa moja kwenye lengo la Uzi huu. Nina Mpenzi, tumekuwa pamoja for a while now, ila nagombana nae kitu kimoja tu, kila siku. Anapenda sana kuvaa pete kidole cha pili...
0 Reactions
103 Replies
10K Views
Nahitaji rafiki wa kike kwa urafiki wa kawaida tu. Madhumuni hasa ni kuchat juu ya mambo mbalimbali ya maisha kwa ujumla (opportunities, professional, biashara, kilimo hususan cha biashara...
0 Reactions
12 Replies
2K Views
Wakuu Salaam ni matumaini yangu nyote ni wazima. Back to the topic Leo kwenye pitapita zangu kwenye mitandao ya kijamii nikakutana na post moja iliyonifanya nijisemee maneno haya "wanawake...
2 Reactions
108 Replies
9K Views
Maisha bana yana raha yake na karaha zake, kwenye ujana nako kuna mambo haya pia. Leo nimekutana na mtu ambae alinisababisha nikakumbuka mbali sana,nimekutana na binti mmoja ambae alinipa "wehu...
14 Reactions
149 Replies
20K Views
kifaa kitakachosaidia kupunguza kasi ya kupata magonjwa ya zinaa kimetenegenzwa huko nchin marekani. kifaa hicho ali maarufu kama "Scroguard" kitakuwa kinavaliwa pamoja na kondomu ili kumuwezesha...
0 Reactions
22 Replies
9K Views
Rafiki yangu alitumia mbinu za kiimani kukupata tangu miaka ile pale Udsm,akakupenda kwa dhati bila dharati mwanamke wewe .Mwanamke usohaya kumbe watumia za giza kumpumbaza, amemwacha kwenye...
0 Reactions
20 Replies
3K Views
Nahitaji rafiki wa kike tujenge urafiki wa kawaida na ikiwezekana wa mapenzi kama itahitajika kuwa hivyo na kama tutarandana kitabia, kifikra na kimtazamo wa maisha kwa jumla. Sehemu kubwa ya...
0 Reactions
18 Replies
3K Views
Katika hali ya kawaida msichana au mwanamke hatazamiwi kuwa na ndevu kwenye kidevu, juu ya mdomo, kifuani, tumboni na mgongoni. Kwa kawaida mwanamke huwa na vinyweleo vilaini, ambavyo jamii...
0 Reactions
63 Replies
21K Views
Habari za asubuhi wadau wa jukwaa hili. Mwezi uliopita nilipata nafasi ya kukutana baba yangu ambaye mara ya mwisho tulikuwa tumeonana mwaka 2012. Tukiwa mimi, yeye na dada yangu mkubwa tukipata...
1 Reactions
225 Replies
24K Views
Tumekushauri kuvumilia umekataa katakata 'siwezi kuishi na huyu mwanaume, ni malaya sana, ataniua bure na maradhi'. Umeamua mwenyewe kuachika, tena kwa maneno ya kejeli eti najimudi kiuchumi so...
4 Reactions
155 Replies
14K Views
Jamani jamani, hivi kwanini wanaume baadhi yenu mnakosa heshima kwa wanawake? Achilia mbali matusi mnayotukanana nyinyi kwa nyinyi mkiwa serious au hata mkiwa mnataniana ambayo huwa mnataja tupu...
1 Reactions
91 Replies
11K Views
Assalam alykum MKE CHUKUA NASAHA (1)Usione Kumtii Mume wako kua Nikero Bali ni Dini na ndio Pepo yako. (2)Usjaribu Kujitokea Nje bila yakuomba Ruhusa kwa Mume wako. (3)Usitowe chochote...
5 Reactions
34 Replies
5K Views
Habari zenu wana jamvi.mm naitwa mlossy ni mwanachuo wa chuo cha kodi (ita)dsm,natafuta mchumba wa kumuoa kwani maisha ukapela yamenichosha.kwa aliye tayari tuwasiliane kupitia 0713153696/0754953637.
0 Reactions
0 Replies
2K Views
Wana jukwaa nimechoshwa na vitimbwi na kero za kudate wasichana wa kuanzia miaka 18-26. Yaani hilo kundi kwangu imekua ni kero kubwa, sana sasa nataka kuhamia kwa wamama yaani wa kuanzia miaka...
0 Reactions
144 Replies
20K Views
Jamani katika pita pita zangu nimengudua ya kwamba jamii ya kihindi, ni moja kati ya jamii haziwezi kuwaacha wake/waume zao kwa kisingizio cha kwamba eti hana uwezo wa kupata mtoto. Ndugu wana...
0 Reactions
36 Replies
4K Views
Mie naitwa john natafta mke,sijali dini wala kabila wala umri..... msichana yyte ambaye yuko tiari kua na mie anicheki kwa contact hiz... 0756763448 AU 0657035695 karibuni...........
0 Reactions
4 Replies
1K Views
  • Closed
Kijana mmoja mfanyabiashara wa aliminiamu wiliadi bewasi ameuwawa kwa kuchomwa kisu na mpenzi wake maeneo ya moshono.mpenzi wake anaitwa Rozi ndosi,picha ya marehemu hii hapa chini pamoja naya...
2 Reactions
89 Replies
22K Views
0 Reactions
22 Replies
5K Views
Ninatafuta marafiki humu jf wa jinsia zote kwaajili ya kubadilishana nao mawazo, kuchati, kutembeleana n.k Mimi nipo Singida, kwa aliye tayari anipm
0 Reactions
1 Replies
970 Views
Natafuta mwanamke wa kuoa awe na umri wa miaka chini ya 24 kabila lolote aliye tayari anitafute Kwa 0759941394.
0 Reactions
3 Replies
1K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…