Kwa mwanamke ni jambo la faraja kupata mtoto baada ya kuolewa, lakini kupata mtoto kunaambatana na mabadiliko ya mwili kwa mwanamk. Ni wanawake wachche sana wanaobaki na miili yao mara baada ya...
Ni mwanaume mwenye umri wa miaka 37,natafuta girlfriend ambaye atakua mchumba na baadaye mke wa ndoa,awe na umri kati ya 26-35 asiwe kibonge wala mfupi saana,mkristo lakini kabila na rangi wala...
Tumekuwa katika mahusiano kwa muda lakini hatujafnya tendo zaidi sana ya kutoka out,kujuliana hali na kuwasiliana.
Sasa yeye msimamowake kuwa hataki tendo mpaka tufunge ndoa.
Cha ajabu ni kuwa...
Yaani imekuwa shida sasa mpaka najilaumu kwanini mke wangu niliamua kumnunulia smart phone.
Takriban miezi mitatu imepita toka nimnunulie simu aina smart kwa nia njema tu kutokana na kazi ya...
SHAHIDI wa kwanza katika kesi ya kulawiti na kutuma picha katika mitandao ya kijamii inayowakabili wakazi wawili wa Mbagala, Dar es Salaam, alidai kwamba alikuwa na mahusiano ya kimapenzi na...
Japo nı muda mrefu umepita lakini nimeoma nishee nanyi mkasa huu. Jirani yetu ambaye alikuwa na watoto watano wakike watatu na wakiume wawili. Hata hivyo baba akawa na uhusiano mbovu na...
Kuna jamaa alikuwa na demu wake mfanyabiasha ndogondogo. Katika mahusiano yao binti akapata mimba, jamaa kupewa taarifa na demu kakataa katakata kuwa sio yeye kisababishi na kumwambia amtafte...
Hii imenikuta mimi peke yangu.
Labda kama mtoto wa kiume uliokoka tangia ukiwa na miaka kuanzia 14 ndipo unaweza kuwa hukupitia masuala ya mahusiano.
Kutongoza kwa kuongea, kuandika barua simu...
Tangu nimekuwa nimeona mengi na kujifunza yaliyo mema na mabaya.lakini swala la mapenzi limekuwa likinitatIza sana kwani ni hali ambayo haina tafsiri sahihi.
Watu wamekuwa...
Habari zenu,
Mimi nataka kutoa talaka kwa mke wangu kutokana na sababu ambazo sitazitaja hapa, ila point ni kwamba ninataka kutoa talaka. Nimewahi kufanya jaribio hilo nikashindwa na kumrudisha...
Kuna watu akili zao wanazijua wenyewe, nilivokuwa chuo second year na third year nilikuwa na rafiki yangu wa kike.
Na to be honest nasema ule ukweli hakuwa mpenzi wangu ila alikuwa company yangu...
Let us share from different morals.
Huwa kama utani ila mwisho huwa ina mafundisho
Leta na yako tujifunze pamoja maana zipo nyingi na zina mafundisho tofauti
DEATH came to a guy and said, " My...
Kwa watumiaji wa whatsapp nadhani watakuwa wameshawahi kuisikiliza hii audio ya huyu pastor(am not sure if he is a pastor).
Katika hii audio anaelezea kwamba number one need of a male(not a man...
Wapendwa wangu habari za siku nyingi.
Nimekutana na hili andiko sehemu nikaona tushirikishane.
Nadhani itakuwa vizuri sana kama kila mtu atajisomea mwenyewe na kujielewesha kwa kadiri...
Habari wandugu.
Itakumbukwa siku chache zilizopita nilikuja humu kuomba ushauri baada ya kutoswa na mwanamke ambaye tulishafikia sehemu nzuri katika mahusiano yetu.
Kwanza napenda kutumia nafasi...
Mhindi aliyefahamika kwa jina la Abdulla Punathil Usman amepatikana akiwa mgonjwa hospitalini, nchini Dubai. Usman hakuwa na mawasiliano na familia yake na wala hawakuwa na habari zake tokea...
Wa jf heshima zenu.
Natafuta mchumba ambaye badae atakuja kuwa mke wangu.Awe ni binti mwenye heshima na upendo, awe na mwili kidogo, ila asiwe mfupi wala mrefu, asiwe askari wa jeshi lolote.Akiwa...
MWANAMUME mwenye umri wa miaka 30 amejinyonga kwa kamba ya katani hadi kufa baada ya kumuua mkewe kwa kumchinja shingo kwa kisu kutokana na kile alichodai kuwa ni kudharauliwa na mkewe.
Tukio...