Mahusiano, mapenzi, urafiki

Tubadilishane mawazo kuhusu familia, mahusiano, mapenzi, urafiki, n.k na kushauriana

On JF:

Habari zenu ndugu marafiki, mimi ni jamaa ambaye nimekosa rafiki wa kike kwa kipindi kirefu sasa, kutokana na wengi wao kuniogopa. Kwa hali hiyo nimeona nichukue fursa hii kutafuta rafiki wa kike...
0 Reactions
20 Replies
2K Views
Jamani nimeota nambusu Ex wangu ambae alikufa ila alikufa wakati tukiwa tumeachana tayari, alipata ajali wakati anakimbizwa hospitali akafia njiani miaka mingi kidogo ila cha kushangaza eti leo...
0 Reactions
39 Replies
14K Views
Habari za hapa? Imekua ikionekana kawaida kwa kijana wa kiume or mwanaume kukunja virago vyake na kuhamia mazima kwa mwanamke. From my point of view nahisi hii kitu haifai kabisa! kwani huo ni...
1 Reactions
129 Replies
13K Views
John ni rafiki yangu sana, anaishi Dodoma wakati mi naishi Kahama. Huwa nampa story kuhusu mchumba wangu. Pia mchumba wangu nshawahi kumwambia nina rafiki anaitwa John lakin hawafahamiani. Juzi...
0 Reactions
20 Replies
3K Views
.
1 Reactions
23 Replies
8K Views
Vitu nane vya kipumbavu ambavyo wadada hufanya katika mapenzi:- 1.Kuishi na mwanaume ambaye hajakutolea mahari au kukuoa 2.Kukubali kuwa mchepuko. 3.Kuvaa pete ya uchumba ya mwanaume ambaye even...
10 Reactions
149 Replies
16K Views
Habari zenu wapendwa,Mimi kuna jambo nahitaji mchango wenu na mawazo yenu kwa ujumla kwanza ningependa nijue hivi ni vitu gani haswa ambavyo mwanaume anaangalia kutoka kwa mpenzi wake ambavo ni...
0 Reactions
83 Replies
8K Views
Wapendwa, Nitakuwa mtovu wa fadhila nisipotumia wasaa huu kuwashukuru wanajukwaa waliochangia kwa ushauri na mawazo mbadala juu ya bandiko langu la awali "Natafuta mwanamke Mpweke" Hakika...
1 Reactions
21 Replies
3K Views
Nawasalimu wote, Mimi ni kijana wa kiume na Nina age 26 , tatizo langu ni kuwa mpaka sasa na miaka yangu hiyo sijapata mwanamke ambaye nimedhamiria kuwa nae katika maisha yangu. Nimesoma chuo...
0 Reactions
43 Replies
5K Views
Wakuu heshima zenu Ni muda mrefu sasa namtafuta mwenza bila mafanikio.Wakuu naombeni msaada wenu wa hali na mali Nawasilisha
0 Reactions
16 Replies
2K Views
Habari wana jf naomba munijuze kwamakini hili neno utamu lina maana gani na wap mahala sahihi kutumika, maana mtu akila asali husema tamu, akila ndimu husema tamu akifanya mapenz husema matamu...
0 Reactions
5 Replies
2K Views
KURINGARINGA KUNAVYOWAPONZA MABINTI. Kuringa kwa wasichana wa kibongo ni athari za malezi. Ulaya mtoto wa kike na kiume wanakua pamoja wanahug, wanajuana zaidi but responsibly.. coz...
5 Reactions
65 Replies
10K Views
MAPENZI YA BANDIA. Mara nyingi tumekuwa tukiskia neno bandia katika bidhaa,na vitu tofautitofauti,lakini katika mapenzi unaweza kuwa katika mahusiano yaliyotawaliwa na hisia bandia. Ukipata...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Kwa mujibu wa chapisho moja la World Health Organization (WHO), la hivi karibuni, limebanisha kwamba tofauti ya vifo vyamama wajawazito kati ya nchi zilizoendelea na nchi zinazoendelea ni kubwa...
0 Reactions
8 Replies
6K Views
Yapata mwaka jana nilikutana na mpenzi wangu huyu shoprite anauza nguo. Tukapendana mimi wa Kigoma yeye upareni moshi. Sasa mwaka huu mwezi wa nne nimepata kazi mkoani ya miaka miwili na kwakua...
0 Reactions
26 Replies
3K Views
Baada ya kutangaza kutafuta mke na kuambulia patupu, basi..... Natafuta angalau mwanamke/demu.
0 Reactions
13 Replies
2K Views
Natafuta mchumba(a girl) awe na mapenzi ya kweli....vigezo. Mkristo, mchamungu, mweupe naturally, mrefu wastani, mnene kidogo, hips za kubwa kmtindo, 18-20 in age, form 4-6 in education.if you are...
0 Reactions
4 Replies
1K Views
Kwa wanawake; Kama umeolewa lakini mara nyingi unatongozwa na watu wa rika zote wazee,size yako,vijana na hata wanafunzi. Tena wanaokufahamu kuwa umeolewa na mumeo anafahamika! Usifikiri...
2 Reactions
33 Replies
5K Views
wapendwa habari zenu,mie ni kijana wa kiislamu mwenye umri wa miaka 25,nilikuwa natafuta msichana wa miaka kati ya 2O hadi 23 awe ni mwislamu.Elimu kuanzia kidato cha nne au sita na awe na ujuzi...
0 Reactions
0 Replies
971 Views
Wanajamvi, Nimefanya kautafiti sehemu kama tatu hivi, mrejesho wa utafiti: Mchina ni mtu hatari sana kwa maendeleo ya jamii yetu ya kitanzania, ujio wa mchina umebadili sana mwonekano wa uhalisia...
1 Reactions
37 Replies
8K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…