Huo ndio ukweli usiopingika kwamba wadada wengi huwa hawafikirii au kutafakari kwamba wanataka waolewe na wanaume wa aina gani ?.
Utafiti unaonyesha kwamba kadiri umri wa mdada unavyozidi kusonga...
Salaam wanajamiiforums naamini mko poa, mimi leo nataka nishare kidogo experience yangu kidogo niliyonayo kwenye mambo ya mahusiano.
Naomba nianze na swali hivi wa dada siku hizi mmelogwa na...
HABARI WAPENDWA
August 30, 2013 kupitia jukwaa hili nilipost thread yenye title ya DUSHELELE LAKE, LINA NITIA HOFU.
Nilijitokeza kuomba ushauri kuhusu hali ya kuongezeka ukubwa kwa dushelele la...
Ukweli ni kwamba raha ya mapenzi ni pamoja na kupunguziana makali ya maisha. Na katika kupunguziana uko makali ya maisha ndio matumizi pesa yanapochomoza.
Kusaidiana ni kwa pande zote iwe kwa...
Baada ya kukaa Jamiiforums muda fulani, nimeshuhudia wadada wale wanaokaribia 30 ama wako above 30, wanaotafuta wenza wakidhihakiwa, leo nawauliza ina maana nyie mliooana mapema(mid20's) ndoa zenu...
Wasalaam wanajamvi
Kwakweli wano sema tembea uone hawakukosea kabisa.
Hakika wanawake wa vijijini wanapata manyanyaso sana kutoka kwa wenza wao kuliko tunavyo weza kufikiri.
Unajua hivi...
Enzi za urafiki wetu wa mwaka mmoja alikuwa ni msichana mwenye lugha nzuri,mnyenyekevu,mwepesi wa kuninunulia zawadi mbalimbali,aliwapenda sana ndugu zangu na zaidi alikuwa akinipa moyo wakati wa...
Dhana ya kumhudumia mwanamke ambaye si mkeo mimi binafsi naipa tafsiri tofauti na wengi hapa jukwaani. Mtu unapojibidiisha unakuwa na lengo fulani ambalo ni zaidi ya mwanamke.
Natambua kuwa...
Mpenzi wangu kanitamkia rasmi kuwa hanipendi nimeumia sana ninaujauzito wake wa miezi 7 na tulikua tunaishi pamoja anawiki sasa anarudi saa 6,7 leo nimemkalisha chini kanijibu.
Nilikua nakupenda...
Habari wadau,
Imekuwa ni habari ya kawaida miongoni mwetu aidha ndugu au marafiki kuongea mengi juu ya mwanamme ambae anaonekana kama anamsikiliza sana mkewe na pengine mwanamme huyu kukosa...
Rafiki yangu alikuwa na rafiki wa kike ambaye hajawahi kukutana naye kimwili hata mara moja! Rafiki yangu hunieleza kila yanayojiri maana anasema rafikiye wa kike alipata kumwona alipokwenda...
Kama nimekukwaza potezea lakini kipimo cha furaha ya mwisho cha mwanamke ni kulia au kutoa chozi wakati wa tendo la ndoa, kama wakwako hajawahi kutoa chozi au kupiga kelele za kuchizika ndoa yako...
Theres good news for the Casanovas of the world sleeping with numerous women could help to protect men from prostate cancer, according to a new study.
Researchers at the University of Montreal...