Mahusiano, mapenzi, urafiki

Tubadilishane mawazo kuhusu familia, mahusiano, mapenzi, urafiki, n.k na kushauriana

On JF:

Ndoa ni ngumu wakuu! Hebu fikiria uungane na mtu ukubwani halafu uanze kumletea sheria zako na azipokee tu kirahisi, sio kweli! ni lazima kuwepo na jambo la ziada kutoka kwako kabla ya sheria...
22 Reactions
132 Replies
4K Views
Kwanza awali ya yote kwa heshima na taadhima huku nikizingatia itifaki nawasalimu sana vijana wenzangu Niruke kwenye mada moja kwa moja mimi ni kijana wa makamo nipo kwenye Mid ya 3rd floor...
6 Reactions
33 Replies
2K Views
Nilimuachisha chuo, Mke wangu kagundua, ana Mimba mapacha watatu! Msaidie afungue biashara huko kwao! Nahisi kuchanganyikiwa na sijui nifanye nini, kuna huyu binti niko naye kwenye mahusiano kwa...
1 Reactions
16 Replies
1K Views
Mnawezaje aisee mimi huo ujasiri sina. Nisivyopenda kugongewa na mimi sipendi kumfanyia mwenzangu huo unyama. Kwanza hamna hata huruma? Sometime wanaume tunaangushana
35 Reactions
131 Replies
10K Views
Naandika uzi huu huku nikiwakumbuka wengi waliokufa na gonjwa la hatari la UKIMWI kule kwetu Iringa Mafinga kwenye misitu mbao mji wa biashara mji wenye viwanda vidogo vidogo vingi vya mbao mji...
187 Reactions
813 Replies
78K Views
Wadau ukigundua mkeo ulioko naye sasa alikusaliti wakati mkiwa wachumba na ukagundua huyo aliyeku-cheat naye wanaendelea na mawasiliano japokuwa wako mikoa tofauti na wewe mume muko na watoto...
9 Reactions
57 Replies
3K Views
Huwa nikipenda nimependa ata nikiwa na wanawake wawili nyuma lakini ukija kwa style yako na nijue wewe sio pretender nakupa unachostahili.. Leo namtunuku mpnzi wangu ela nyingi sana ili akanunue...
17 Reactions
171 Replies
11K Views
Yaani dushe Lina rangi nyekundu ipi madhara yake? nisaidien wakuu Nimefanya mapenzi na mwanamke aliye siku zak. Je kuna madhara
8 Reactions
61 Replies
3K Views
Hebu wanaume leo mnipe ushuhuda, kama hamjawahi kukutana na hiki kizungumkuti cha wanawake. 1. Unakutana na binti anakuchangamkia na kila mnapokutana anakusalimia kwa bashasha huku akikupa...
21 Reactions
222 Replies
38K Views
Habari zenu wakuu πŸ‘‹πŸ½ πŸ‘‹πŸ½ Hivi ni kitu gani kunasababisha mmoja kati ya WANANDOA kulia machozi wakati wa HARUSI? Maana jambo hili limekuwa likifanywa na WANANDOA wengi tu.
5 Reactions
36 Replies
1K Views
Habarini, Mwanaume yoyote rijali, anaetafuta hela yake halali, kiasili anapenda kumpa hela mwanamke anaempenda.. Ila dunia ya sasa trend iliopo duniani ya umarioo (wanaume kuingia kwenye...
7 Reactions
36 Replies
1K Views
Nikipata nafasi tena bora nioe mke wa darasa la saba au form four failure, mtiifu na mnyenyekevu kwa mume kuliko kuoa mke mwenye kazi yake wa degree. Unatoka kazini umechoka unamuomba hata glass...
115 Reactions
287 Replies
16K Views
Tafiti za kisayansi zinasema Mwanaume mmoja anaweza kuzalisha wanawake 300 ndani ya mwaka mmoja . Wanaume wamepewa uwezo wa kumiliki wanawake . Kwa mwanaume ni halali kuwa na wanawake wengi ila...
0 Reactions
18 Replies
1K Views
Hamjambo! Zamani kidogo nchi yetu ilikuwa maskini Sana. Yaani ninaposema Maskini namaanisha Maskini Mno, fukara, apeche Alolo. Kama huelewi nazungumzia nini nasi nikusaidie kuunda picha kichwani...
4 Reactions
4 Replies
2K Views
Jana, nilikua sijisikii vizuri sikwenda kazini, na baba watoto akasema na yeye haendi atabaki na mimi afanyie kazi nyumbani, hali yangu haikua mbaya kivile, so nikashangaa ila nikashukuru basi...
15 Reactions
103 Replies
4K Views
Wakuu, Kuna binti kijiji jirani toka nilipo mimi,nilimpenda sana nae akanipenda sana, Ilifikia hatua nikamnunulia simu, tukawa tunawasiliana, mapenzi yakakolea wakuu,binti kila anaekuja kuchumbia...
4 Reactions
45 Replies
2K Views
Ukihitaji salamu subiri kwanza FaizaFoxy anikubalie ombi langu,tofauti na hapo utaambulia gunzi ukapikie Mapupu! Sometimes huwa nawashangaa baadhi ya wanaume kumtupia lawama kijana Harmonize...
10 Reactions
69 Replies
6K Views
Habari wa ndugu, Heri ya mwaka mpya natumaini wazima , Nimekuja na hii mada sio kwa lengo la kujisifia au kutangaza dhambi ya zinaa ninazofanya nimekuja na huu uzi sababu nahitaji ushauri pengine...
31 Reactions
201 Replies
10K Views
Wajuvi wa kupambanua njooni mtoe majibu kwa kutumia lugha za staha. Anayepata raha zaidi ni yule anayekunwa au yule anayekuna. Nyimbo zilipendwa ya Bi Shakira kutoka Tanga Nina jambo nataraji...
5 Reactions
24 Replies
1K Views
Mara nyingi nimewasikia watu wakisifia kula au kuliwa tigo, sasa kwa nini wanyama kama mbwa,mbuzi simba hawatumii tigo? Swali la pili ni kwa nini wanyama dume kwa dume hawafanyi mapenzi pamoja...
4 Reactions
6K Replies
1M Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…