Mahusiano, mapenzi, urafiki

Tubadilishane mawazo kuhusu familia, mahusiano, mapenzi, urafiki, n.k na kushauriana

On JF:

Wa kwanza ni The Main Guy – Yule ambaye anampenda na kuvutiwa naye. Huyo mara nyingi hajali sana kuhusu yeye. Kisha kuna wa pili, The Backup Guy – Kawaida ni mwanaume mzuri anayemtaka. Ni mzuri...
32 Reactions
105 Replies
5K Views
Karibu kwa website ya mapenzi ya kisasa. Ili uchapishe na kutoa maoni. Je niwape link?. Nasubiri majibu ntawapa link kwenye maoni mkiitaji
1 Reactions
1 Replies
284 Views
Uwe mrefu flani hivi, shep ya ki model mwenye nyama, rangi yoyote, kabila lolote, dini mkristo uwe mkoa wowote ila tutaishi dar, kama umebahatika kupata mtoto naomba isiwe zaidi ya mmoja, miaka...
2 Reactions
12 Replies
881 Views
Habari wapendwa Naishi Vikindu Pwani Umri 35 Nahitaji mwenza wa maisha Awe na umri 25-35 Ambae yupo tayari kutafuta wote maisha tuwe na familia Km yupo anicheki DM
3 Reactions
20 Replies
1K Views
While the idea of a nonchalant partner might initially seem appealing in certain ways, it's important to consider the potential benefits with a balanced perspective, especially in the context of a...
1 Reactions
4 Replies
524 Views
Hivi kwema humu jukwaani? Kufuatia uzi aliouandika member mwenzetu LIKUD hapa majuzi, kuonesha namna ambavyo anapenda kuwa na mahusiano ya kimapenzi na wasichana wadogo wa miaka 18-25, mimi nami...
9 Reactions
31 Replies
2K Views
Listen up kings, let’s get this real and raw—life ya ndoa siyo sinema, na hakuna mtu atakuja kukufundisha kuishi na mwanamke wako. Hii ni game ya akili, moyo na nidhamu ya hali ya juu. Ukiona...
3 Reactions
9 Replies
643 Views
Wakuu siku ya leo ipo na majonzi sana jamani mwanamke Wangu au mke wangu niliyekutana nae JamiiForums miaka saba iliyopita miaka miwili kwenye uchumba na miaka mitano kwenye ndoa aisee it so pain...
27 Reactions
169 Replies
6K Views
Ndio, umri wa mwanaume kuoa uanzie miaka 30. Ndoa sio jambo dogo, ni uamuzi mkubwa sana. Ndoa ni mkataba ule. Iwekwe kwenye sheria kabisa kama mwanaume hujafika 30 marufuku kuishi na mtoto wa...
2 Reactions
56 Replies
2K Views
Nilimuambia kama ukiondoka na huyo mtoto basi jua kuwa sitamhudumia kwa chochote. Mwanzo nilikua naongea kama utani kwani niliamini kuwa mke wangu hawezi kuondoka. Ni kweli nilishamfanyia mambo...
24 Reactions
28 Replies
4K Views
Siku za hivi karibuni nilishirikisha hapa kisa changu kuhusu changamoto niliyopitia na mwanamke niliyekuwa naye kwenye Mahusiano...
7 Reactions
18 Replies
1K Views
Aisee kuna demu nilikua nae kwenye mahusiano niliwekeza kwake kumbe mwenzangu yeye lengo lake ni kunyeteshana tuu hana mpango mwingine amekiri mwenyewe kuwa ametoa mimba zangu 2 na ya pili...
2 Reactions
15 Replies
890 Views
Nimepata msichana mrembo na anaonekana ni msomi tu maana kanambia kamaliza chuo mwaka jana, Sasa katika kuchat ili kufahamiana zaidi si nikamuuliza 'What your love Language? Mtoto si kanijibu...
8 Reactions
45 Replies
2K Views
Aliondoka nyumbani hapa na watoto na kila kitu chake tena kwa nyodo,akajiapiza hatokaa anitafute kwa lolote na number yangu ya simu anafuta. Sasa leo ktk kuperuzi huko whatsapp nakutana na status...
6 Reactions
31 Replies
2K Views
Mabinti, Madada na Mishangazi... Sikilizeni Kidogo Siku hizi mtu akikutambulisha kwa washikaji wake, usijidanganye kwamba kila mmoja atakushangilia. Hasa ukikosa kisura cha kuvutia, macho yao ni...
3 Reactions
7 Replies
561 Views
Nimekuwa inspired na Jesca Magufuli jinsi alivyoshare moments za baba yake enzi za uhai wake kwangu imenipa fundisho kuwa uwepo wa baba una maana kubwa kwenye ukuaji regardless financial status...
14 Reactions
56 Replies
3K Views
Inakuwaje mwanaume hutakiwi na mwanamke na bado unamlazimisha , Mwanamke akikupenda huitaji nguvu nyingi dalili utaziona, Hapa ofisini jamaa analazimisha penzi kashakataliwa mara nyingi bado...
6 Reactions
60 Replies
2K Views
Salamu wakuu! Twende kwenye mada husika, Hii imetokea kweli, Kuna bi dada mmoja alikuwa anajipitia zake barabarani, ghafla ikapaki gari pembeni mwa barabara, na ndani ya gari alikuwepo...
11 Reactions
53 Replies
3K Views
Yaani napitia sana matatizo mengi ikiwemo afya yaani humu kwasababu hata hatujuani . Mtu anafungukaga tu. Ila haya matatizo sijui nayatatuaje nimechoka nimezunguka miji yote sipati tiba . Yaani...
17 Reactions
187 Replies
8K Views
Kwanza nawaombe Mods msiufute huu uzi. Maana una umuhimu na mafunzo makubwa sana kwa sisi wanaume. Baada ya kutoa angalizo hilo, basi niende moja kwa moja kwenye kuzijadili sasa hizo kanuni moja...
33 Reactions
81 Replies
8K Views
Back
Top Bottom