Mahusiano, mapenzi, urafiki

Tubadilishane mawazo kuhusu familia, mahusiano, mapenzi, urafiki, n.k na kushauriana

On JF:

Hivi inakuaje mwanaume mzima unajisifia mbele za watu kua mpenzi wako kakupendea pesa? Hivi unaona raha gani upo na mwanamke ndani ndio anakupa kila kitu lakini unajua wazi kua pesa zako ndio...
3 Reactions
30 Replies
5K Views
Habari zenu ndugu zangu, Kwa madhumuni ya kuwa mwaminifu katika huduma ninayoiendea, sitaoa ila nitakuwa Padri ili niyatoe maisha yangu, akili yangu na vipaji vyangu kumtumikia Mungu na watu...
1 Reactions
27 Replies
4K Views
Leo nina kisa kimoja very interesting kuhusiana na hilo bango hapo juu.Kwenye miaka ya mwanzoni mwa 1980, nikiwa shule ya msingi alitokea kijana mmoja ambaye alikuwa ni mtupu kabisa darasani...
6 Reactions
13 Replies
2K Views
Nina mdogo wangu alizaa na kaka mmoja na kukataa ujauzito na hata alipojifungua kupelekewa mtoto akawa anajibu mtoto sio wangu,kamtafute baba yake,hana cha huduma walanini, mtoto akiumwa akipigiwa...
0 Reactions
6 Replies
1K Views
Bila kupoteza muda wala maneno mengi nina tatizo linaloendelea kunisumbua kisaikolojia.Ni kwamba siku za karibuni nimeanza kuchukulia mapenzi kana kwamba ni kitu cha kawaida tofauti na zaman...
0 Reactions
8 Replies
2K Views
Mimi ni kijana nina umri wa miaka 22, pia nipo chuo kikuu mwaka wa kwanza. Kuna dada ya shemeji yangu ambaye ameolewa ila katika kukua kwetu yaani utotoni wakati tulipokuwa shule ya msingi...
0 Reactions
21 Replies
3K Views
Zama zile napiga mabapa yangu ya konyagi Nilikuwa nasimamia show kibabe ile mbaya, lakini tangu niache pombe mtarimbo wangu umekuwa legelege kama yule Polisi aliyebebwa ili kuvuka mtaro...
3 Reactions
48 Replies
7K Views
Nilikutana na huyu binti nikiwa nchi za nje nasoma. Baba yake alikuwa balozi wa nchi moja ya Africa Magharibi. Huyu binti nilikutana nae akiwa na umri wa miaka 18 mimi nina 23 yaani baada ya Miaka...
0 Reactions
39 Replies
6K Views
Jamani mi na mme wa mtu sumu, ukintongoza its better not to mention if you are married, I feel bad pale mke anavyoteseka only because of me. Once upon a time I had this man alintokea bana, siku...
10 Reactions
148 Replies
23K Views
Namastee! Bado niko ugenini najiachia tu kwa mwanamke mwenzangu, najinyoosha tu kwenye balcony ya mama mkwe nikichoka nakaa kwenye front lawn sijui ndo nimepatia, potelea pote, leo jioni, huku...
40 Reactions
205 Replies
30K Views
Habari wanaMMU, Ni hivi, wakati nikiwa chuoni nilitokea kumpenda binti mmoja mzuri, toto la Kipare.Katika maisha yetu ya pale chuoni tulikuwa tukishirikiana kwa kila hali, iwe kimaisha na hata...
0 Reactions
100 Replies
11K Views
Wapigania haki za wanawake na ujinsia wapo mstari wa mbele kumtetea mwanamke katika mambo ya ndoa, mirathi, uongozi nk.Lakini sijui ni kwa bahati mbaya, makusudi, hawaoni jinsi wanawake...
0 Reactions
23 Replies
3K Views
Pia awe mfupi na aliyejazia
0 Reactions
7 Replies
2K Views
Natafta mke, awe na sifa zifuatazo; mref mweusi tii. Joking! hahahahahah
0 Reactions
12 Replies
2K Views
Natafuta mwanamke mwenye sura mbaya maana huyo atakuwa ni wa kwangu tu wengine hamtomtamani kama yupo katika jukwaa hili anitafute.
0 Reactions
4 Replies
2K Views
Naitwa Jayffa, nina miaka 22, natafuta girlfriend jamani. Awe; Na umri 18-22. Modo kidogo. 0752832215, utanipa hapo.
0 Reactions
1 Replies
837 Views
Katika mahusiano yoyote ya kimapenzi, lazima atokee victim wa mapenzi victim wa mapenzi ni yule mtu anaempenda mpenzi wake zaidi ya yeye anavopendwa. Haiwezi kutokea mkapendana sawa katika...
0 Reactions
31 Replies
4K Views
Kuna mtu amejaribu? 1. Download flightstat ili kujua hali ya hewa. 2. Lazima uwe sharp. 3. Hakikisha choo ni zaidi ya kimoja na mwanamke atangulie kabla yako kuingia chooni. 3.Jua muda...
0 Reactions
23 Replies
8K Views
hii ndio suluhu pekee iliyothibitishwa kimataifa. kama unaihitaji...njoo pm/inbox
0 Reactions
6 Replies
2K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…