1. Jifunze kuweka akiba ya fedha.
2. Tafuta mpenzi sahihi na tulia naye.
3. Acha kuishi na wazazi au kupanga nyumba na washikaji.
4. Achana na starehe zisizo na maana au showoff kwa wadada...
Nina mpenzi wangu nampenda sana bali hana anachojua kitandani,nimejitahidi kumfundisha zaidi ya miaka 2 sasa lkn hamna improvement yeyote ile.Nikimwangalia huwa namtamani sana lkn linapokuja suala...
Mimi ni kijana nina umri wa miaka 25 pia ni mtumishi wa Serikali katika sekta fulani natafuta msichana wa kuishi nae mwenye umri wa kuanzia miaka 18-22 awe tayari kuwa mama wa nyumbani mwaminifu...
Mkopoa Makaka zangu na Madada zangu
Natafuta binti wa kuoa au rafiki
Awe na elimu kuanzia OLEVEL na kuendelea
Awe mweusi asili ya Mwafrika
Maana sihitaji mweupe kwa sababu Mimi naishi...
Hi MMU;
kuna binti nimempenda sana na hatimaye nimechukua hatua ya kumtokea kwa namna hii; kwanza kabisa ni binti ambae hatufahiani kabisa ila tupo ktk eneo moja la utafutaji hatimaye nikaamua...
mimi ni kijana mwenye umri wa miaka 25... hapo mwanzo nlikuwa na mpenzi wangu bahati mbaya mwaka jana mnamo august tukaachana.. sasa kwa hasira nkaanza tabia ya kutembea na makahaba. siku ya...
HESHIMA PESA, NDEVU HATA MBUZI ANAZO.
Sio nia yangu kuponda au kusolola mtu kumdogofisha au kufanya ajiskie mnyonge. Ila haya mambo tusipoyasikia toka kwenye vinywa vya watumishi wa Mungu...
Siku hizi ndoa nyingi zinavunjika lakini chanzo ni wanaume kuendekeza demokrasia na diplomasia kwenye ndoa zao wanaume siku hizi hawana sauti kwenye ndoa zao hali inayofanya mwanamke kutawala na...
Nimeona sio vibaya tuka share hali ya kimahusiano niliyo nayo kwa sasa maana hapa Jf hukutana watu wenye mitazamo mbalimbali hususani katika suala la maisha kwa ujumla.
Weekend iliopita siku ya...
Mengi yatajulikana baadae ila kiufupi tu natafuta mwanamke mwenye maadili. Nitakuwa 50 yrs old December hii but mama atafutwae awe na umri kuanzia 30 hadi hapo kwangu ila ningependelea awe kati ya...
Mko poa wana JF?
Kama wewe binti na unataka mahusiano + mapemzi+ urafiki ?
Au Hujaolewa na elimu chini ya Masters au O Level.
Wasiliana nami kupitia Email Yangu
redsonrivard@hotmail.com...
Wanajamvi nawasalimia
Tarehe 10/08/2015 natarajia kufanya sherehe ya harusi yangu katika ukumbi wa ROYAL SKYLINE HOTEL Dar-es-alaam. Nawaombeni kushiriki kwa wingi hakuna kadi. Ni vizuri kuvaa...
Jana baada ya kutoka kanisani, nikiwa nimekaa home nikaanza kupitia pitia nyuzi mbalimbali nilizowahi kutupia hapa, pia nikawa napitia maoni yaliyokuwa yanatolewa kwny hizo thread.
Sapo...
Ulikua na mume au mke wako ukagundua amechepuka na kupata mtoto nje ya ndoa yenu na ukaamua kumuacha.Ukazidisha maombi kwa muumba ili akupatie wa kufanana nawe lakini kila ukionyeshwa na mungu...
Jamani, mnijuzeni mwenzenu mpenzi wangu tulikuwa tumeamua kuishi pamoja kabla ya kuhalalisha kwa watumishi wa Mungu.
Wakati huo tunasubiria tukawa tunamega taratibu tunda la mti wa katikati...
Habari za leo wana jf
Kuna kanafunzi fulani kako form four nimeshakatongoza kashakubali na hadi nimekaonyesha kwangu ninako kaa na huwa anatambiya ya kuja wikend yani siku ya jmosi na jpili kwa...