Mahusiano, mapenzi, urafiki

Tubadilishane mawazo kuhusu familia, mahusiano, mapenzi, urafiki, n.k na kushauriana

On JF:

Jamani wadau naomba mnisaidie, Mpenzi wangu anapenda kula kuliko sex, Nifanyaje?
2 Reactions
32 Replies
5K Views
Kweli tunatumia ID tuzijuaxo ssisi wenyewe. Hivi km mpenzio nae yumo humu halafu anakutana na uzi ambao umemtokea wrwe ndio umeuandika atajisikia vp halafu reaction itakuwaje? Nisaidieni wadau...
0 Reactions
26 Replies
3K Views
Mambo mawili, moja hatari lingine mateso. Umemtendea mwenzio makosa na hujafanya jitihada za kumaliza tatizo. Huwezi kujua anachokiwaza juu yako. Je, anajipanga kulipiza kisasi? Amesamehe au...
5 Reactions
17 Replies
8K Views
Jamani wana JF, Habari zenu, Nimekuja kwenu kwakuomba ushauri. Mimi nikijana mwanaume, naishi na mwanamke ivi ni mwaka wa 3 sasa, tulibarikiwa kupata mtoto 1. Mwanzo maisha yetu yalikua yenye...
2 Reactions
113 Replies
12K Views
Wakuu nadhani mu wazima, Kila msimu na majanga yake, leo nilikuwa na vijana wangu fulani mtaani, sasa kijiwe chetu huwa kina story sana, nikianza kuziandika zote humu nitajaza server za JF. Leo...
5 Reactions
23 Replies
5K Views
Igweeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeee!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!! Hili swali linazidi kunimaliza na kuniletea utata day and night. Sio kwamba na justfy why i didnt try harder to...
14 Reactions
36 Replies
7K Views
Yamenifika kooni ndio maana nimeamua niseme! Hamjambo wanajf? Kila wakitembea barabarani, wakiwa sehemu za burudani, kwenye watu, utawaona wameshikana mkono, wanabusiana, wanadarana na...
1 Reactions
18 Replies
2K Views
Nina mpenzi wangu nina kama miezi miwili nae na namkubali kinoma,wakati tunaanza uhusiano nilikuwa namtoa kiaina kwasababu uchumi ulikuwa sio mbaya. Kiukweli wakati mwingine nilikuwa namtoa huyu...
1 Reactions
72 Replies
8K Views
Imekuwa kawaida sasa kila nikimtongoza mwanamke anaanza kuniogapa, unakuta kabla sijamtongoza tulikuwa na mazoea mazuri tu au hatukuwa na mazoea kabisa lakini nikimtongoza tu anaanza kuniogopa...
0 Reactions
30 Replies
3K Views
Aisee kuna vutu vinanishangaza sana ck hi I 1 Utakuta mdada ana wanaume zaidi ya m1 na pia amipata kazi kwa sababu anatembea na kibopa flani sasa akipata muda akapost pic kwenye mtandao wa kijmii...
0 Reactions
2 Replies
873 Views
Mpo? Mie na mke wangu tumetofautiana kuhusu umri wa kuwaachanisha watoto wetu.Kwasasa tunaye mtoto mmoja wa miaka 2 na nusu. Sasa mke wangu anataka kuzaa tena akisema anataka azae haraka na...
1 Reactions
27 Replies
6K Views
Mimi ni kijana na 28 tatizo nimeoa mwanamke mwaka wa 3 nilimkuta ana mtoto na mimi nilikua na mtoto wa nje sasa tatizo nilikuta anatumia sindano za uzaz wa mpango nilimsihi aache akaacha. Sasa...
0 Reactions
42 Replies
6K Views
Habari wana JF, Nimekuwa nikiishi na mshua na mama yangu wa kambo kwa kipindi kirefu sasa yapata miaka 14 sasa,tokea marehemu mama apate kufariki. Huyu mama amekuwa akifanya mambo ya ajabu ajabu...
1 Reactions
24 Replies
4K Views
Za masiku wana jamii? HIli swali huwa najiluiza sana muda mwingi na jibu muafaka huwa sipati. Unakuta ndani ya mahusiano hasa ya ndoa kuna siku mnakwaruzana na mnakuwa kila mtu kamnunia mwenzake...
0 Reactions
14 Replies
2K Views
Poleni na mishughuliko wana JF. Leo nimekuja huku kwa familia, naombeni msaada, Mwenzangu ni mkali na ana maneno makali, kwa mambo madogo madogo ni matusi (mbwa we, kichaa, chizi, mjinga we...
1 Reactions
27 Replies
3K Views
Igweeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeee!! Huu ubuyu wa leo si wa babu Issa wa sheikh Kiponda. Nimeupata kimagumashi magumashi kama bakhati tuuuu! Ilianza siku kama siku zingine tu...
8 Reactions
29 Replies
5K Views
Igweeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeee!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!1111 Nime wamiss sana watu wa nguvu! Ni maisha tu yamebana nakosa mpaka bundle la buku kuja kuwapeni ubuyu! Hata...
14 Reactions
54 Replies
14K Views
Kichwa cha habari chajitosheleza,yani msichana wa kizungu hata awe kimbaumbau vipi lazima tu atakuwa na mguu wa bia. Sijui hata ni kwanini wana F
1 Reactions
38 Replies
8K Views
Nimeisikia RFA sasa hivi, so imebidi nishare na wewe maana wengi wetu tuna mawazo kuwa ukeketaji hufanyika vijijini tu. Nairobi ni mji mkuu wa Kenya.
0 Reactions
4 Replies
2K Views
Naandika hapa kwa uchungu mimi binti kigoli tabia za wanaume wakirudi nyumbani ni whatsap tu inakera tena zile whatsapp za magroup zile ndoa zinaboa kabisaa Mara nachati wafanyakazi wenzangu Mara...
5 Reactions
89 Replies
15K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…