Mahusiano, mapenzi, urafiki

Tubadilishane mawazo kuhusu familia, mahusiano, mapenzi, urafiki, n.k na kushauriana

On JF:

Natafuta rafiki wa kike wa kuchati nae. Awe na elim ya kawaida at least form four na kuendelea. mimi nipo chuo mwaka wa kwanza. nawakaribisha wote
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Until we take our final breath, you will live in our heart, your love will light our way. Your memory will forever be with us!
0 Reactions
7 Replies
1K Views
Habari zenu Naomba msipate tabu na neno Dr kwenye ID yangu, ni jina tu Mwaka 2005 nilipata ajali mbaya ya Gari nikiwa safarini kikazi, nilivunjika sehemu mbali mbali za mwili, nilikaa muhimbili...
4 Reactions
117 Replies
15K Views
Toka nazaliwa hadi nakuwa kijana hadi umri wa uzee wangu nimejifunza mambo mengi sana hasa ya kijamii pengine kuliko mtu mwingine yoyote na ndiyo maana Niko hapa kuwaulizeni team lightskin mko...
0 Reactions
11 Replies
2K Views
Mim ni Me nipo Dar, nahitaji binti mwenye kujitambua tuwe marafiki wa karibu na baada ya kufahamiana awe mke.
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Watu hawako serous so Imetosha. Thanx
0 Reactions
45 Replies
5K Views
Wapendwa na mimi najitokeza kujitafutia mwenza kama yupo anaye kidhi vigezo namkaribisha. - Awe Muislam wa umri wa kuanzia 35 hadi 45 hivi - Awe na Elimu kuanzia Diploma na kuendelea na...
2 Reactions
88 Replies
12K Views
Nimetokea kuchukiwa na wadada kwa kupiga push up mara 3 kwa siku na kila siku kwa wiki nzima.wengi wameichukia staili yangu. Naombeni msaada wenu kwa siku nipige push up ngap na kwa siku angalau...
0 Reactions
17 Replies
5K Views
Kwa wakazi wa mkoa wa Daresalama, Ni sehemu gani tulivu naweza kumpeleka huyu mtoto mzuri ambaye nina ndoto za kuja kumuoa awe mama watoto wangu nyumbani. Kesho tumepanga kuonana nae RASMI kwa...
0 Reactions
79 Replies
8K Views
Ndivyo Kasi Inavyozidi Kwa Wadada Wengi Sasa Mijini Wamekua Wakisaka Pesa Kwa Nguvu Ili Kuweza Kujinafasi Wkt Wa Ckuku Za X-mas Na Mwaka Mpya. Ivi Sasa Jamaa Ameamua Kujirudi Kwa Mkewe Ili...
1 Reactions
0 Replies
1K Views
Nahitaji mchumba aliyeserious na maisha na aliyekua na kuacha utoto,anasa na kufocus na maisha Hata kama ni jobles ntafungua biashara asimamie. Age 22-26 Asiwe mnywaji wa kilev chochote pls Mimi...
0 Reactions
14 Replies
2K Views
WANAUME TUNATIA AIBU. Unaenda kutongoza mwanamke ambae hana kazi lakini ana Galaxy s6 na iphone6 plus. Wigi la laki 3. High hills 150,000/ kucha anatengezeza kwa 50,000/. Gauni 200,000/ amepanga...
4 Reactions
71 Replies
10K Views
Nikipishana na mwanamke amevaa yale manguo yao wanayaita cjui madera halafu akawa kalichomekeza kwny chupi au taiti huwa wananipagawisha sana
1 Reactions
83 Replies
13K Views
Nipo Dar hata kwa marafiki wa mikoani mnakaribiswa wa jinsia zote ni pm tupeane namba.
0 Reactions
1 Replies
901 Views
Nipo na jamaa yangu kwa sasa hapa Moshi huwa naongea naye mengi sana, na hata nikiwa napitia habari kupitia jf hasa jioni, jambo moja ambalo limemvutia nimsaidie ni hili; Anahitaji wife friend...
0 Reactions
23 Replies
3K Views
Hapo awali nilikuwa na mwanamke akanitenda vibaya, miaka ikapita nikapata mwanamke mwingine. Tatizo nililokuwa nalo sasa ni inafika wakati, ninamchukia sana huyu mwanamke wangu, alafu inafika...
0 Reactions
14 Replies
2K Views
Ana sifa zote za kuwa mke bora mrembo, mpole, ana akili ya maisha ambayo wanawake wengi wasasa hawana, tatizo lake moja hapendi kabisa kufanya mapenzi kwa kisingizio kuwa kiafya mtu inabidi...
0 Reactions
109 Replies
16K Views
Habari zenu waungwana, Leo nimeona tushee utafiti nilioufanya kwa viumbe vinavyopotea kwa kasi sana maana naona serikali imekazia kwa tembo, twiga, na faru huku wakisahau ya kuwa kuna hawa...
0 Reactions
19 Replies
3K Views
Hi, members of jamiiforums in our society it have seen that many boys are more prefferer to have black girls because they are more attractive than white girls and that is rearity even in our...
0 Reactions
33 Replies
4K Views
Hii imetokea huko hong kong china fatilia zaidi kwenye hii link hapa chini kwa video matata ya huyu binti Hapa akipakwa hiyo rangi kama suruari ya jinzi ili aingie zake mtaani ...
0 Reactions
48 Replies
23K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…