Mimi ni Binti ambae nikiwa chuo mwaka wa mwisho nilidate na kijana mmoja anaeishi ktk mkoa ambako nilikosomea..
Nilikuwa namchukulia kawaida sana wakati huo hadi nikahitimu na mawasiliano...
Wakuu,
Kuna mambo ni ya kushangaza na kustaajabisha, mtu una mahusiano nae takribani 2yrs, anakuhudumia kwa kila kitu(mbususu huwa naizagamua kwa sana),lakini kutokana na kumchunguza,nimetoka na...
Wakuu,
Kuna siku nilikuwa natembea pembezoni barabara naelekea kazini kwangu,ghafula nilimuona dada mmoja mrefu mnene na ni mzuri kumtazama,alivalia sketi moja flani hivi ambayo ilichora maungo...
Hodi jukwaa la malavidavi.
Nipo zangu kijiwe na mwanangu mmoja hivi ghafla anapigiwa simu na jamaa yake,
Mazungumzo yao ni kwamba, mke wa bakabaka amekubali ofa ya kwenda out kwenye makulakula...
Sometimes to understand others peoples point of view, you have to internalize theirs and then judging them accordingly.
kwa mfao we mwanaume ungekua mwanamke, je?
usingeomba hela?
ungetulia na...
Mke wangu aliniacha na kwenda Kuishi na X wake sasa anataka turudiane?
Mwaka 2017 nilimfumania mke wangu na X wake, mwanzo niliona meseji baada ya kumbana sana alikubali kuwa alikua na mahusiano...
Wakuu,
Siku ya pili baada ya ndoa mwaka jana,nilisitaajabu uwezo wa kuhimili tendo kwa muda mrefu zaidi,kama utani vile masaa manne ya bila kupumuzika! Ni kweli si utani mpaka nikahisi basi nina...
Kuna ndugu yangu anataka kuoa mpare anaimba kufahamu sifa za wanawake wa KIPARE
Japo binadamu Wana tofautiana ila Kuna vi tabia na damaduni vyao naomba kuwasilisha kwa wanao wafahamu wapare
Ili...
Wadau salaam,
Nina mpenzi nimekaa nae kwa miaka mitatu hivi. Nimetaka nimuoe lakini amemwambia dada yake anamwambia kuwa mimi ni mkubwa sana kwake kwa hiyo kwa umri huo nina familia nyingine...
Habari ya majukumu ndugu zangu,
Leo nimeamua kuongelea hili jambo ambalo limenitokea mimi kama kijana mwenzenu, mtoto wenu, mdogo wenu.
Nlikuwa na mahusiano na Binti mmoja mrembo kiasi na mwenye...
Siku kama ya 5 hivi mpenzi wangu simuelewi mawasiliano hafifu ubize mwingi si kawaida nikimuuliza ananiambia ni kazi za nyumbani maana ameenda kwao baada ya kufunga chuo so kazi za shambani ni...
Katika safari ya kutafuta mwenza wa maisha, jambo moja ambalo halipaswi kupuuzwa ni malezi aliyoyapata mwanamke. Ingawa kila mtu anaweza kujifunza na kubadilika, msingi wa tabia, maadili, na...
Ndugu zangu.
Nawashukuru Sana kwa ushauri na michango yenu mliyonipa kukabiliana na mtoto wa mpenzi wangu ambaye hapendi mahusiano yangu na mama yake.
Nimechambua ushauri wenu na nimefikia...
Bila kujijua ulirekodiwa kisiri hasa mkiwa lodge ukiwa na mchepuko au malaya
Unatumiwa video nzima unaambiwa utoe kiasi ambacho ni sawa na nusu ya kipato chako lasivyo video itavujishwa hadharani...
Wakuu,
Mapenzi ni ugonjwa,Kuna wakati unaweza ukapenda mpaka ukaona Bora watu wote wafe ⚰️ili Dunia yote iwe Yako peke yako
Kuna kipindi nilimpenda mdada mmoja hivi black 🖤 ❤️ sana nilikuwa nahsi...
Kila kukicha vituko havikwishi!
Huku mtaani kwetu kuna mpangaji wa kike (single) ametangaza vita ya kuiba waume wa wapangaji wenzake. Amewaambia wapangaji wenzake kuwa atahakikisha anaiba waume wa...
Kwa mtazamo wa sasa juu ya ndoa na mahusiano ya kimapenzi, kuna ukweli mchungu ambao wengi hawataki kuukubali hadharani: bila mchepuko, ndoa nyingi za siku hizi hazidumu kwa amani wala furaha...
Habari wadau wa jf
Hakika waswahili husema ukistajabu ya musa utayaona ya firauni
Sielewi baadhi ya wanaume wa siku hizi wamepatwa na nini
Miezi minne ilopita nilifahamiana na kaka mmoja jirani...
habari wandugu,nina mwaka wa tatu sasa nipo single lakini nahisi si dhambi kuwa hivi nilivyo,wakati umefika sasa wakumpata mke mwema.najua wapo wadada wazuri tu mbele ya mungu na wanadamu...
uzi huu nikwaajili ya watu wote yani wale waliopo kwenye ndoa na hata wale ambao bado hawajaingia kwenye ndoa hebu zingatieni vitu hivi ili kuifanya ndoa yako kuwa bora na yenye furaha zaidi, ndoa...