Mahusiano, mapenzi, urafiki

Tubadilishane mawazo kuhusu familia, mahusiano, mapenzi, urafiki, n.k na kushauriana

On JF:

Ndugu naombeni ushauri, Nimekua katika wakati mgumu sana kutokana na historia ya mke wangu kwani kabla hatujafunga ndoa alinificha mambo mengi sana ya nyuma kuhusu yeye. Sasa kila siku napata...
2 Reactions
130 Replies
14K Views
Tangu nitumie mitungi ya gesi sijawahi ona expire date kwenye mitungi hiyo je nani anawajibika ? Nimeona mtu kaandika huko Instagram hivi Hapa alimaanisha mitungi sio majiko na kama ni hivyo...
1 Reactions
7 Replies
908 Views
Wakuu nishaurini, Msichana wangu wa kaz housegirl anataka nisex nae anasema Ana nyege sana karibu mwaka mmoja Part 2 itafata hii itakua na muendelezo Part 3 Muendelezo Nimechukua ushauri wenu...
15 Reactions
152 Replies
8K Views
Daaah! Ama kweli hujafa hujaumbika Nilikutwa na shida ya figo na nikapata taarifa kwamba itafika kipindi mzuka wa kula papuchi utaisha. Jana nimepata demu pisi kali nakwenda nae ghetto mgejege...
19 Reactions
77 Replies
5K Views
Wakuu habari! Wanaume siku zote kazi yetu ni kutafuta pesa, kutatua changamoto na kuhudumia familia Ikitokea mtu anataka sex ya haraka basi wanawake wenye hasira za karibu na mdomo ndio chaguo...
6 Reactions
12 Replies
1K Views
Habarini, Ukichunguza vizuri mahusiano mengi sahivi, Mdada akiwa na birthday atategemea kupokea outing, lunch, and gifts toka kwa boyfriend wake, ila boyfriend akiwa na birthday mdada hatompa...
9 Reactions
13 Replies
1K Views
Mke alipekua simu ya mumewe akakuta haya majina; 1. Tender one (Mwangalizi mwema) 2. Amazing one (Mtu mwema) 3. Lady of my dreams (Mwanamke wa ndoto zangu) Akahisi ni michepuko ya mumewe...
8 Reactions
12 Replies
1K Views
Kuna rafiki yangu ameniomba ushauri nimekosa cha kumshauri Yeye ana mtoto mmoja ni single maza.kapata mwanaume ana watoto 3 .boys Anataka wafunge ndoa kabisa. Sasa anawaza Bora apambane na...
7 Reactions
33 Replies
1K Views
Wakuu, Hakuna siku imepita bila mke wangu kunifanyia huu mchezo, yaani yeye anaona ni kheri msifanye tendo la ndoa ila lazima abugie mdomoni. Kiukweli huwa sifurahii hali hii, na huwa namkatalia...
18 Reactions
121 Replies
9K Views
wakuu habari za uzima? Mimi na mke wangu niseme watu tunaopenda sana kusoma vitabu, sasahivi tuna mtoto mmoja handsome boy linanipa faraja sana na kunifanya niendelee kupambana. Niseme katika...
29 Reactions
241 Replies
31K Views
Habari wakuu,kama heading inavyojieleza msijesema sjawajuza kiufupi nirudie tena "Unayemwita mpenzi wako Kila mkimaliza kuchat anafuta chati zako ili asikamatwe na mpenzi wake"Tukutane site
5 Reactions
9 Replies
638 Views
AINA 4 ZA WANAWAKE AMBAO HUTAKIWI KUANZISHA NAO FAMILIA HASA UKIWA NA UMRI CHINI YA MIAKA 45. Anaandika, Robert Heriel Mtibeli. Umri wa 20-45 ni umri muhimu Sana kwako kama kijana wa kiume. Huo...
23 Reactions
103 Replies
7K Views
Na hii haichagyui jinsia, ni kwa kina baba wanaokimbia watoto na kina mama wanaoacha watoto kwa baba zao, Mmepata mtoto, halafu anakukimbia. Anakuacha na mtoto, mwingine hadi anamkana. Anajifanya...
3 Reactions
9 Replies
704 Views
Niko Njiapanda wadau, hapa naomba ushauri kwa wanawake na wanaume. Juzi asubuhi nakatisha mtaa wapili dukani nakutana na Mdada mzuri kwelikweli mtoto mrefu nyororo, mwili umepangika haswaa na...
14 Reactions
53 Replies
50K Views
Yani huu mto Niko nao hapa kila siku. Sikujua utumia. Haki Mapenzi ni Ubunifu. Sikuwahi jaribu hili... Hivi kumbe mwanamke anaweza banikwa zaidi ya kuku..!!!?? Ehh!!
5 Reactions
34 Replies
2K Views
Wakuu siku za hivi karibuni niliutaarifu umma wa JF kwamba niko penzini na single mama mwenye mtoto mmoja ambaye pia nimemkuta na mimba changa. Penzi bado ni tamu ila jana usiku kuna kauli katamka...
16 Reactions
66 Replies
3K Views
Ndugu zangu naomba msaada katika maisha yangu nimedanganywa mara nyingi lakini mara tatu nimefanywa mjinga hadi najiona sifai 1.nilidanganywa na mwanaume akanizalisha akaniacha 2.nilipata...
1 Reactions
65 Replies
6K Views
Mambo wakuu? Nina dada yangu mkubwa ana umri kama 38yrs hivi,sasa huyu dada alikua anaishi na mwanaume wake ila hawakua wamefunga ndoa,wameishi kama miaka 8 kama sikosei.wamebahatika kupata watoto...
40 Reactions
204 Replies
9K Views
Habar zenu wadau Naomba mnisaidie maana nipo njia panda sielewi nifanye nini. Waswahili wanasema mficha maradhi Kifo humuumbua. Mimi sitaki kusubiri Kifo kinikute. Ileweke nimekuwa humu JF kwa...
75 Reactions
1K Replies
261K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…