Nikiwa napata lunch mahali, kwenye tv wanaonesha maandamano yanayoendelea huko Kenya, ila kilichonivutia sio hayo maandamano Bali wadada warembo wasioogopa hata risasi...nikajawa na hisia za...
Wakuu , Kutokana na Changamoto za Maisha nimefikiria kusogeza siku mbele hasa kuhusu kuoa.
Je umri wa miaka 32 ni rafiki na unafaa MTU kuanzisha familia au MTU anakuwa amechelewa?
Ahsante.
Hodii humu ndani !
Kama kichwa Cha habari hapo juu kinajieleza, ikiwa upo humu na huenda unawaza Kama Mimi unahitaji upate mme Basi karibu Sana.
Umri wangu 35 Elimu degree moja, nimejiajiri
Hela...
Salamu WanaJF!
Kakitaka kitu kitaniuma humu duniani nikusikia mke wangu kaolewa
Anatembea na nusu wa moyo wangu, kusema ukweli siwezi kuvumilia kuchukuliwa na mwanaume mwingine na kuanza kupigwa...
Jamii nyingi duniani zimeishi na zinaishi katika utamaduni wa kuoa au kuolewa [ ndoa ] kwa wake na waume.
Leo nita wajulisha kuhusu watu maarufu duniani ambao hawa kutimiza huu utamaduni ulio...
Mwanaume unaempiga vita asiwe kiongozi wa kwanza kwenye nyumba na jamii, ndio mtoto wako wa kiume anaekua kwa kasi ndani kwako, usisahau..
Ni ngumu kuwa juu ya mumeo, na ukatamani mtoto wako wa...
1. 💘❤️MWANAMUME HAPENDI KUFOKEWA
Hata Kama amekosea; jaribu kumuonyesha kosa lake pasipo kumfokea au kumvunjia heshima💘💞.
2. 💘💞MWANAMUME HAPENDI KUULIZWA MASWALI MENGI KWA WAKATI MMOJA...
Habarini wana JF, kiufupi nimeleta andiko hili humu ili muweze kunisaidia ushauri maana naanza kuona sasa hii sio hali ya kawaida maishani mwangu.
Tukiachilia mbali wale wapenzi wa kula...
Mimi hua na advocate mambo kadhaa kuhusu maiaha ya mwanaume, ikiwemo
mwanaume kuwa mzuri sio tatizo, and it is religiously accepted, mwanaume kunukia hakuna shida, mwanaume kukumbatiwa na mke...
Hello jamii Africa.
Kwanza niwe mkweli na muwazi, threads zangu nyingi zinamlenga masikini asiye na kipato cha kueleweka.
Ni jinsi gani mtu anapaswa kuishi vyema akiwa na Amani na Uhuru.
Watu...
Za ijumaa wakuu,
Mimi ni mwanaume mtu mzima wa 35 namshukuru Mwenyezi Mungu kwa kunipa uwezo na hekima ya kuyakimbia mahusiano na mapenzi kwa ujumla toka nizaliwe
Kwanza, Changamoto yangu kuu ni...
Mimi ni mwanamke, umri wangu ni miaka 25, ila sijaolewa na bado sijazaa.
Mwaka Jana nilikuwa na mpenzi, tulipendana sana, ila mimi nilimpenda sana kwa sababu alikuwa ananikimbiza kwenye mechi...
Hili ni swali naomba majibu.
Kwanini nguo za akina mama, yaani magauni, sketi, hijabu na zinginezo zinazofanana na hizo huwa zipo wazi chini?
Kwa asili, duniani kote, mavazi ya wanawake huwa...
Wadau kuna binti tumefahamiana kupitia mtandao wa kijamii Instagram ,ana miaka 17 yupo kisiwa cha Malta, tulianzisha mahusiano kupitia huo mtandao na hatimaye tukabadilishana namba za sim tukawa...
Wakuu nawasalimia wote, Jana jioni rafiki yetu Ms Leejay49 alitusambazia upendo na watu wengi tulifurahi pamoja na wengine wenye roho zao nyeusi wakaanza kuanzisha nyuzi za mafumbo kupinga kile...
Habari wana JF,mimi ni binti wa miaka 25, kila kitu kipo sawa ila nina tatizo moja,nina high s3x drive,yani kuna muda natamani hata nilale na wanaume wawili kwa pamoja,nina fantasies za ajabu...
Nimekua nikiichakata K ya demu mwenye asili ya Bukoba kwa Miaka minne sasa (2021-2025)AWAMU YA SITA nimeielewa na nataka kuoa. Ila nilipowashirikisha Nyumbani wameweka ngumu.saada tafadhali
Binafsi huwa sipendi kutongoza tongoza na hata nikivutiwa na msichana huwa sikurupuki kumtongoza hadi nione light flag kuwa nayeye anavutiwa na mimi lengo ni kuondoa kero na aibu za kutangazwa kwa...
1.RAFIKI YANGU,ULIMI WA SUMU
Ni Mkonze wilayani Nzega ni miaka zaidi ya 30 iliyopita.
Mimi nilikuwa na rafiki yangu ambae tulianza kidato cha kwanza pamoja,yupo hai hadi sasa na tunaendeleza...