Siridhiki kimapenzi, naomba ushauri

cutelove

JF-Expert Member
Oct 3, 2017
3,317
7,509
Mimi ni mwanamke, umri wangu ni miaka 25, ila sijaolewa na bado sijazaa.

Mwaka Jana nilikuwa na mpenzi, tulipendana sana, ila mimi nilimpenda sana kwa sababu alikuwa ananikimbiza kwenye mechi hadi namkubali kuwa hadi nampongeza kuwa hii ligi ya bundesliga kumbe anaiweza sana.

Alichokuwa ananifanyia mpaka nafika peponi ni pale tulipokuwa tunaanza mechi, goli la kwanza na la pili alikuwa anaunganisha hadi nasema asante baba, ila bahati mbaya kwa tamaa zake akampa mwanafunzi mimba, yupo jela
Miezi mitatu iliyopita nilipata mwanaume mwingine yeye ana miaka 27, ila yule wa awali alikuwa na 35.

Huyu kijana mbichi, ananikera kwanza hawezi kuunganisha double goals na ili asimame lazima nibembeleze karibia dakika 15, akianza goli la kwanza hawezi kucheza hata dakika tano, dakika moja tu chali, hadi kesho yake tena na kesho yake ndo hivo hivo. Jamani naombeni ushauri, nimuache au ila hela kwake siyo tatizo, hata nyumba kanipangishia.

Naombeni ushauri jamani!
 
a6b3f820ccc2a5f7c09e7730af1044be.jpg


Wacha ujinga, wewe ME kwa mujibu ya maelezo yako, sasa sjui ndio wale wale
 
Kwa wiki unapigana miti mara ngap?! Na kwann uliachana na huyo aliyekuwa anakukaza vzr?!
 
Mwanamke anapokoswa akili sehem zake za siri ndizo huumia...

Mpaka unaolewa utakua umeliwa nawanaume wangapi ? Alafu miezi miwili ? Ushaliwa ? nabado Wewe ndo unawaza umuache ,,, Inamaana weee unachoangalia ni mb.oooo ????.

Nakuzengua mwaya ,,uchi niwako wasikupangie matimizi
 
Back
Top Bottom