Habari ya jioni watu wangu wa nguvu JF
Kuna msaada nina uhitaji kwenu kwa wanaofahamu nini kifanyike ili kuwasaidia hawa watu wameniuliza maswali
1. Mmoja anasema ana kipaji cha kuimba ila hawezi...
Wakubwa heshima zenu na wadogo hi,
Kuna jambo limeniumiza moyowangu sana naamini humu nitapata mtazamo mwema na wenye hekima.
Nimelelewa kwenye familia ya kikristo ila siongelei dini ni yeyote...
Habar wana jf, jamani men msiwe na mazoea ya ku approach ladies kwa njia ya sms. ni siri nawapa mtakosa wake wema kwa uzembe wenu. Wanawake tunapenda vijana wanaojiamini, ukituma sms ina maana...
Kupenda kwa moyo na kupenda kwa akili.
Kupenda kwa moyo ni kumpenda mtu bila gharama yoyote japo aliye nje ya hapo atakuona unapenda sehemu yenye gharama...mfano, unaweza ukampenda mtu ambaye...
Ladies and gentlemen good evening,
This is Mambo No. 5! Lets go....
One, two, three, four, five
Everybody in the car, so come on let's ride
To the liquor store around the corner
The boys say...
Wasaaalamu,
Kuna best alikuwa anatupa story!
Kuna jamaa alikuwa amekutana na msichana mmoja mrembo sana chuoni kwao alipokuwa akisoma jamaa alikuwa mwaka wa pili na yule binti alikuwa mwaka wa...
Wanajamii
Naombeni kuuliza, hivi mnapokuwa katika mapenzi kati ya mwanamke na mwanaume lengo linakuwa ni nini hasa? Na kama lengo ni kushare katika mapenzi (kugegedana) na kila mmoja huwa...
Sasa nadhan kuna haja ya kuoa. Juz jioni nlipotoka kazini nikaona kusubiria subiria folen niende bar flan mitaa ya kijitonyama. Huwa kunakuwa na watu wengi sana na pamechangamka sana.pia pana...
Wasalamu!
Hahahah, jamani hii dunia haiishagi vituko asee, jana katika pita pita zangu nimekuta sehemu kunazogo kinoma, kama mujuavyo kwenye zogo hapakosagi mashilawadu, mashilawadu wakawa...
Sina uhakika sana kwa walio kwenye ndoa ila katika mapenzi ya boyfriend na girlfriend nguvu ya kumsamehe mpenzi wako mara nyingi huja pale unapowaza kuwa hata nawe huwa unamsaliti ni kwamba tu...
Wasifu wangu;
Age 30, Elimu chuo kikuu, kazi - nimeajiriwa, niko Dar,
Sifa za mchumba wa kike;
Age 22 and above. Sina ubaguzi wa kabila, dini , etc. Cha msingi upendo wa dhati.
Njoo PM mchumba...
Habari zenu wana jf.
Nataka wikiendi hii niende zangu mji mpya wa Kigamboni maeneo ya beach nikale raha na mchepuko wangu , naomba anayezifahamu Guest zenye gharama nafuu maeneo ya Mjimwema...
Kutoka na hali ngumu ya maisha ya kuna Daktari mmoja ameniuliza kama atapata vibari vya kuanzisha bank mayai na mbegu kwa wadada ambao wanataka watoto bila wanaume na wanawake wenye shida ya...
Habari zenu wanajukwaa, mimi ni kijana kutokea nyanda za juu kusini ni muhitimu wa chuo, moja ya vyuo vikuu hapa nchini, natafuta mwanamke ambaye atakuwa mke wangu hapo badae umri wangu ni miaka...
Ndiyo tu nimejiunga na najifunza jinsi ya kushiriki katika uwanja huu. Picha hizi pengine inabidi nizihamishie katika jukwaa la picha. Naamini hizi ni picha za kawaida tu na hazitamkwaza mtu ye...
Habari za mchana ndugu zangu.
katika mada ya leo, kuna kawaida ambayo si rasmi imejijenga kwa mtu akishagundua anapendwa. Anajaribu kumtikisa mwenzake ili kupima tu ule upendo kutoka kwa...
Mhhh
Wanaume na wanawake wanene jamani wengi sijui ni uchafu au miili ndio tatizo
Khàaaa!!! Utakuta upo na mpenzi wako alafu ham ya mapenzi inapotea ghafla ukijihisi kama upo na kitimoto vilee...
Ndugu zangu wa JF. Naombeni ushauri nipo njia panda.
Kwa shinikizo la wazazi na mimi mwenyewe kuona kuwa kunaumuhimu wa kuwa na mwanamke kwangu nimeamua kuoa ndani ya miez 6 ijayo. Mpaka sasa...