Sikumbuki kama niliwahi leta Uzi humu unao muhusu bro mmoja Hivi ni mtoto wa baba mdogo kiukoo ila ki umri ana nizidi kama miaka 9 Hivi.
Huyu bro mke wake (shemeji) amempa uhuru sana.Iwe kwenye...
MUME MWENYE MAHABA NI ZAIDI YA DHAHABU.
INAHUSU WANAUME
Sherehe ya ndoa ni ya siku moja ila maisha ya ndoa yanaendelea kila siku....
Kila kijana anaetaka kuoa hupenda aonekane bingwa wa mapenzi...
Mtu nakupa nafasi adimu kama hii udate na mimi, najua tumekutana tu mahali nikakuface nikakutongoza, si kwania mbaya lkn nimekuona tu jinsi ulivyomzuri unashape, kalio nakuona wife material...
jana nilipigiwa simu na mamangu mdogo kuwa yupo hospital karuhusiwa ila anaombanimfikishe kwake,Mimi naishi karibu na hospital, nikaenda tukatafuta usafiri ,nikamfikisha kwake, nimekaa kama dak...
Kama mwezi uliopita niliamua niende kanisani kuongea na mchungaji kumwambia nia yangu ya kuoa.
Mimi ni msabato mzuri sana. Mchungaji alinisaidia akanikutanisha na binti mmoja tuliyekuwa tunasali...
Koo zina siri nyingi sana, kuna siri ambazo hazitolewi kabisa nje ya koo husika, pia humo ndani ya koo kuna siri ya wahusika tu.
Nikimaanisha kua kuna siri ambazo zinafanywa na watu wa wawili au...
No reform no election
Habari zenu wana jf… hongereni kwa ibada kwa mlioenda na wengineo ambao mpo sehemu za starehe nawasalimia
Nataka nijue wasukuma ni watu wa haina hii au huyu wangu...
Washkaji zangu, hebu niwaambie kitu kinachoweza kuwachoma kidogo, lakini ni kwa nia njema kabisa, kama dada yenu ninavyowajali. Wakati mwingine, bila hata nyinyi wenyewe kujijua, mnaweza kuwa...
Wanajamvi kwema?
Kutokana na maudhi ya wife ya mimba. Nikajikuta nimezoeana na mdogo wa wife. Huyu dogo ana rafiki zake wawili mapacha.
So, kwa kuwa wife yupo kwao kwa likizo ya week 2...
Mwaka 2012 Janet Jackson msanii wa muziki, mwigizaji, na dada wa mwisho katika familia maarufu ya "The Jacksons" alifunga ndoa na Wissam Al Mana, mfanyabiashara tajiri kutoka Qatar, aliyezaliwa...
Jana ameufanya uanaume wangu uwe mnyonge sana mbele yake!, na hapa sasahivi najiuliza huu ujasiri ni wakwake pekee ama kuna wengine pia mpo kama yeye!..?
Ni mdada fulani hivi mweupe, figure no 8...
Kuna mama mmoja hapa mtaani yuko eary 50's mimi niko early 30's sasa weekend moja nikiwa bar ya mtaani nikajikuta nimekaa nae meza jirani kabisa anapata bia na wamama wenzake, mara wenzake...
Pale ofisini kuna dada mmoja mashallah huwa analeta chakula. Kaumbika sana yule, chakula anachokuletea hata akizidisha pilipili kama yupo mbele yako huwezi pata ujasiri au nguvu ya kumkosoa...
Ndugu Wanajamvi,
Leo asubuhi wakati nakatiza kwenye mtaa anaoishi rafiki yangu, niliona ni bora niende kumtakia hali rafiki yangu pamoja na familia yake, ila kwa bahati mbaya nilipofika nyumbani...
1. Wana nguo nyingi sana kuliko wanaume
2. Wanafahamu nani Baba wa watoto wao waliozaa
3. Ni wepesi kupenda,wakipenda wanapenda ukweli ukweli
4. Wanaoga mara nyingi zaidi kwa siku moja
5. Wana...
Habari za sahizi wapendwa,poleni na shughuli za kutafuta mkate wa kila siku na ninawatakia weekend Njema.
Huu hapa ni mtazamo wangu tu kuhusu baadhi ya mambo na jinsi ya kumfanya mpenzi wako...
ZIJUE FAIDA 17 ZA KUJAMIIANA
Kujamiana (ama tendo la ndoa) ni moja ya mambo muhimu sana katika maisha ya mwanadamu. Ni ukweli usiofichika kwamba wengi wetu tungependa kuwa na mwenza ambaye...
Wadau nipo nyumbani kwa takribani mwezi sasa baada ya kumaliza mkataba wangu na kampuni flani. asa hapa nyumbani ninaishi na wife na kidi wangu wa miaka 3 na nimekuta wife kamleta mdogo wake wa...