Nikiwa mkubwa nitafungua duka niuze mapenzi

Nikiwa mkubwa nitafungua duka niuze mapenzi

Najiandaa kuwaleteeni huduma hii madukani kwenu jumla na rejareja,

Biashara hii itakuwa na mgawanyiko wa bei kama ilivo kwa bidhaa nyingine zote,

Nawakaribisheni ninyi wenzangu na mm wa KARIAKOO bei yetu inafahamika ila ninyi wa MALL nawaoneeni huruma bidhaa hii nitaiuza kwa bei ghari na hakuna atakae frahia kukuta penzi Lake limeibiwa au limetumika ndivosivyo kwani naamini wengi mnamiliki vyamoto, View attachment 915121
I like it
 
Back
Top Bottom