Mahusiano, mapenzi, urafiki

Tubadilishane mawazo kuhusu familia, mahusiano, mapenzi, urafiki, n.k na kushauriana

On JF:

Habari zenu, Nimejitokeza hapa kuomba ushauri wenu sababu naamini hapa kuna watu, wazima na wenye upeo zaidi yangu. Mwaka 2012 nilimuoa binti mmoja kutoka Kigoma tukabahatika kupata mtoto wa...
0 Reactions
36 Replies
3K Views
Salaam sana waungwana.. Last weekend nilipelekwa na mwenzangu ukweni kutambulishwa kua Mimi ndio Yule niliyesubiriwa kuvika pete chanda chema. At first tuliongea Mimi na mwenzi wangu juu ya...
1 Reactions
69 Replies
9K Views
Katika hali isiyo ya kawaida mzee mwenye umri wa miaka 75, Athuman Mchambua, mkazi wa Mtoni kwa Azizi Ally jijini Dar es Salaam amezua gumzo mtaani baada ya kuamua kutafuta mke kwa kuweka bango...
0 Reactions
1 Replies
2K Views
HII NI FAMILIA YA ZIONA MWENYE WAKE 39 NA WATOTO 94 WAJUKUU 33.. HII NDO NYUMBA YA ZIONA ANAYOISHI NA FAMILIA HII HAO NI WAKE ZAKE 39 MR ZIONA KUTOKA CHINA HAPA NDIPO WANAPOLALA FAMILIA...
0 Reactions
14 Replies
9K Views
Kwanza kabisa nianze kwa kuwasalimu ndugu jamaa na marafiki wa JamiiForums. Kiukweli ilikuwa ni ukakasi kwangu kuingia katika mahusiano lakini kadri muda ulivyokuwa unasonga nilijiona nazinyima...
3 Reactions
41 Replies
3K Views
SPECIAL KWA WADADAS...Ni ndefu lakini jitahidi kusoma...utajifunza kitu kizuri sana...... Jamani enyi wada nisiwafiche, watu wengi huchangia sherehe ili waje kula na kunywa na kuoneshana fahari...
11 Reactions
14 Replies
2K Views
Kumlazimisha mumeo au mkeo avae pete ya ndoa hiyo siyo kinga kwamba hawezi kutoka nje ya ndoa kwakuwa pete hairekodi matendo ya mtu. Nakukumbusha tu kwamba ndoa bora inajengwa kwa maombi ya...
2 Reactions
33 Replies
3K Views
Nimekuwa nikitafakari mara nyingi ninaposikia habari za kusingiziwa mimba watoto, kwangu mimi naona ni jambo gumu na linahitaji moyo wa ajabu kumsingizia mtu mimba au mtoto. Matokeo na tafiti za...
0 Reactions
11 Replies
2K Views
Nomba kujuzwa namna na taratibu za kufanya DNA test. kwa ufupi sababu ni kutambua baba wa kibayojia wa mtoto
0 Reactions
7 Replies
1K Views
Habari za weekend wana MMU. Natumai uko salama. Mimi ni kijana mjasiriamali, nafanya shughuli zangu binafsi. Katika pitapita zangu mnamo 27/2/2016 nilianza mahusiano na binti mmoja ambae kwa...
2 Reactions
119 Replies
12K Views
Habari wakuu, Mpaka sasa takribani mwaka mmoja tuianze safari yetu ya mapenzi aisee huyu msichana nilikuwa simpendi wakati wa kwanza kwani yeye ndo alianza kunichokonoa habari za mapenzi mi ndo...
0 Reactions
26 Replies
3K Views
Saddy HIV/AIDS day leo hapa kazini kwetu tunatoa elimu ya ukimwi kwa wanafunzi wa sekondari na vyuoni. nami na mimi niwape elimu hii itawasaidia wadogo zangu. Ukimwi unapatikana kwenye damu...
5 Reactions
17 Replies
3K Views
Habari wanajukwaa, Wana body habari za muda huu, ni weekend nyingine tena mwaka unakimbia speed mbaya, wanabody nimekuwa nikisikia watu wakiumizwa na kuumiza kwenye mahusiano Mimi sijui ni...
1 Reactions
115 Replies
11K Views
0 Reactions
12 Replies
1K Views
Hivi umeshawahi kujiuliza hata siku moja, kwa nini watu wengine ni walevi? Wengine waongeaji sana? Wengine wakimya sana? Wengine waongo sana? Wengine wana tamaa ya ngono kupita kiasi na...
4 Reactions
7 Replies
4K Views
kuna baadhi ya wanawake ambao ni waongo sana, na hiyo inajulikana, hata kuwashinda wanaume ambao inajulikana wao ndo wajanja katika kudanganya kuliko wanawake, lakini leo tutaangalie vile vitu...
10 Reactions
45 Replies
12K Views
Kuna jamaa kakosa demu kisa tabia yake ya kula chips yai Jamaa alikuwa na tabia ya kwenda kula chips yai hiyo sehemu ambayo kuna demu anafanya kazi hapo kwa lengo la kujenga ukaribu na huyo demu...
1 Reactions
18 Replies
4K Views
Nyie wadada huwa nashindwa kuwaelewa kabisaa! ni kwanini mnatongozeka kirahisi sana kwa waume za watu, boyfriends wa mtu mwingine au players? Utakuta ukifutwa na mtu ambaye hajaoa au hana...
2 Reactions
117 Replies
8K Views
Wana JF natumai mu wazima.. Na mnaendelea vyema kulisongesha gurudumu la taifa.. Ngoja niingie kwenye mada moja kwa moja... Wadungu kutokana na maendeleo ya kijamii na ukuaji wa miji...
0 Reactions
18 Replies
3K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…