Mahusiano, mapenzi, urafiki

Tubadilishane mawazo kuhusu familia, mahusiano, mapenzi, urafiki, n.k na kushauriana

On JF:

Hodi humu mabibi na mabwana. Kwa heshima na taadhima naomba mnialike humu rasmi kwa maana humu ndimo kutakuwa makao yangu kwa asilimia nyingi. Nina ujumbe mzuri na mwingi kuhusu ndoa na...
1 Reactions
4 Replies
399 Views
Mwanamke, mwanamke, mwanamke, mwanamke, mwanamke. Kuna mamilioni ya wanaume ndoto zao zilikufa kwa sababu ya wanawake, na kuna mamilioni ya wanaume ndoto zao zilisonga na kufanikiwa kwa sababu ya...
17 Reactions
287 Replies
9K Views
Wakuu wangu mulibwanji..... Moja kwa moja kwenye mada iko hivi nilikutana na dada mmoja nikamuelewa sana nikarusha ndoano akatick. Nimeshalala naye mara 3 ajabu kila baada ya tendo ananambia...
7 Reactions
28 Replies
1K Views
Umekuta mwanamke ana mume wake na wanandoa halali acha kuivuruga . Maana kwa sasa utaona sawa ila kwa baadae wewe na familia yako , mtakipata pata , mtapata kijitoto kingine kimteke mume wako na...
5 Reactions
6 Replies
496 Views
Wadau ushakutana na mwanamke yaani ukituma message lazima apige na usipokea ni mzozo , mnachati message mbili ya tatu anapiga .. hii inakera saana Hawa huwa una deal nao vip maana nimeshaongea...
1 Reactions
19 Replies
830 Views
Nimeoa kwenye mkoa mmoja wa Kanda ya Kaskazini ambako huko kunatajwa na kuogopwa sana na watu wasio wa ukanda huo, kwani kunasifika kwa kuua mume akiwa na mafanikio. Hii sio mara ya kwanza...
36 Reactions
112 Replies
5K Views
Habari wadau. NIna baba yangu mdogo alikuwa bosi kwenye wizara moja serikalini. Alikuwa na cheo cha kamishna kwenye taasisi moja inayosimamiwa na wizara yake. Mwaka 2021 Bahati mbaya baba mdogo...
66 Reactions
215 Replies
9K Views
Ugonile, kwenye mahusiano usiombe ukakutana na kiboko yako, unaweza ukageuka mwehu.!! Kama ambavyo kwenye maisha kuna wale ambao Mungu kawapendelea yan kila wanapogusa panaitika kiufupi hawajui...
7 Reactions
55 Replies
2K Views
Ni mtoto wa sister, kwa umbo lake la ubaunsa videmu vya uswahilini vinammendea sana. Sasa akatoka kimapenzi na binti mmoja huko Yombo. Sijui walifanya kwa makubaliano ya cash au ni mahaba tu...
25 Reactions
96 Replies
11K Views
Ukiwa na mke ambae ameajiriwa au amejiajiri utapata faida kama kusaidiana kweny gharama za maisha mfano ujenzi, ada za watoto na mambo mengine mengi. Mke kama anaingiza kipato kimsingi maisha...
3 Reactions
21 Replies
1K Views
Saikolojia ya wadada wengi wenye makalio makubwa ni kufikiria kinyume nyume kama ilivyo minyama yao iliorudi nyuma.
2 Reactions
9 Replies
520 Views
Upendo imefanya dunia ikawa salama Karibu🤝
2 Reactions
11 Replies
588 Views
Ni Mikoa gani/makabila gani, Kuna uwezekano wa Kuoa/kuishi na wake zaidi ya mmoja bila ya watu kukutolea Macho? Mpango no huu, 1. Kununua Ardhi ya kutosha Kujenga Nyumba na kufanya ufugaji/kilimo...
6 Reactions
18 Replies
885 Views
Je ni vitu gani vinaashiria uanaume na ni vipi vinaharibu uanaume? Kwangu mimi naona mwanaume, pamoja na kua na maumbile ya kiume, mwanaume anathibit hisia zake na kutumia mantik/ akili yake. A...
2 Reactions
12 Replies
608 Views
Nahitaji mpenzi Umri wangu 33 Mpenzi ninayemuhitaji awe anaishi dar na asitoke familia ya kishua Nimeambatanisha picha ukiniridhia njoo pm
6 Reactions
40 Replies
2K Views
NRNE. kama ujumbe unavyosoma hapo juu.
5 Reactions
18 Replies
759 Views
Wakuu si ulonzi huu? Mshana Jr, embu tia neno hapa.
6 Reactions
24 Replies
980 Views
Hello wadau. Ukweli mimi binafsi sijawai kuona mwanaume wa kiislamu mwenye kipato hata cha milioni moja tu kwa mwezi amefikia miaka 35 bila kuoa. Yaani Kuwa bila mke halali. Ila nimeona...
7 Reactions
62 Replies
2K Views
Habari wapendwa. Leo naanza kwa kumshukuru Maxence Melo kwa kuanzisha hii platform ambayo leo nitaitumia kusema kitu ambacho nikikisema ktk maisha yangu halisi nitaonekana wa ajabu na nina hakika...
102 Reactions
987 Replies
30K Views
Kama kichwa Cha habari kinavyojieleza nataka mke wa kuoa na sio natafuta,ninamaana . Sifa zake ziwe; Awe umri kati ya 19-23 Muislam Kabila lolote Awe brand new (BIKRA) awe na uzioto 48-56 Elimu...
4 Reactions
29 Replies
2K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…