Mahusiano, mapenzi, urafiki

Tubadilishane mawazo kuhusu familia, mahusiano, mapenzi, urafiki, n.k na kushauriana

On JF:

Uzushi, husda na chuki vinaumiza sana – si kwa nguvu ya maneno yenyewe, bali kwa jinsi jamii inavyohukumu bila kuuliza. Lakini pia, hali hiyo inaweza kuwa chachu ya mtu kuamka, kujiamini, na...
5 Reactions
15 Replies
560 Views
Na huo ndio ukweli na hakuna kitu utamfanya
5 Reactions
54 Replies
2K Views
Mimi ni mwanaume, Natafuta rafiki mwanamke nina umri wa miaka 28 nipo dar es salaam nina stashahada ya ufundi mitambo, dini Mkristo, nicheki PM kwa namba ya simu nikupe
1 Reactions
0 Replies
337 Views
mke awe na umri wa miaka 25 - 33 dini mkristo kazi yoyote asiwe na mtoto awe na upendo wa kwel na hofu ya mungu.... mwenye vigezo karibu pm
0 Reactions
0 Replies
281 Views
Nahitaji mchumba tupendane kwa dhati, kwa idhini ya Mungu aniite mume nimuite mke Vigezo vya nimtakae ni hivi. 1 Awe anaishi dar 2 Asiwe na mtoto. Dini sibagui Mimi pia naishi dar Umri wangu...
16 Reactions
68 Replies
2K Views
Kaka naomba unisaidie mimi ni mama wa mtoto mmoja, mwanaume niliyezaa naye tulishaachana na hata sijui yuko wapi. Kuna mwanaume mwingine niko naye, ni kaka ana miaka 33 yeye hana mtoto na anafanya...
1 Reactions
26 Replies
2K Views
Kuna kitu ambacho sitakielewa hapa duniani basi ni hii tabia ya wanaume kuwaita wapenzi wao au wake zao mama! Hivi mpenzi wako anaweza kuwa mama yako kweli? Mtu ambae unalala nae uchi na...
8 Reactions
61 Replies
3K Views
Habari wakuu kuna hii kauli nilikuwa nimepita sehemu nikaisikia Hii kauli ina ujumbe mzito sana na ni ya kipekee kwa watu waliowahi kupitia hali ya kutumiwa au kudharauliwa kutokana na...
16 Reactions
26 Replies
1K Views
Hey wajaa!! Nimekuta hii story huko FB, kwa kweli nimeishiwa hadi nguvu, inawezekanaje? Watu wanawezaje kufanya haya yote? Ili iweje? Mbona sijioni nikiweza kabisa kuishi kwa style hii? Kijana...
7 Reactions
27 Replies
1K Views
Mungu ameshauri watu wasioe / kuolewa ili kuepuka matatizo kwenye kitabu chake kinachoitwa biblia 1 Wakorintho 7:27-28 inasema Ikiwa hujaoa, usitafute mke. Lakini ukioa, wala hujatenda dhambi...
1 Reactions
41 Replies
1K Views
Salaam! Kwangu mimi nimeshindwa kabisa, yaani msichana hata akiwa na uzuri kiasi gani, nisipompenda tu siwezi kusimamisha uume, ila nikimpenda daaah yaani kitu ngangari mwake mwake. Nirudi...
7 Reactions
101 Replies
11K Views
Dating for most people is something that is starting to get harder by the day, and believe it or not most people that struggle to find dates or meet someone are beautiful people. People usually...
1 Reactions
24 Replies
5K Views
Habari wakuu. Pamoja na umwamba wangu katika mapenzi. Nimekutana na binti mmoja ambaye tumekutana kimwili Mara 4. Leo kanichana wazi baada ya mchezo kuwa simridhishi na hajawahi kuridhishwa na...
9 Reactions
227 Replies
21K Views
Kama huna mtoto mpaka sasa, na hakuna mwanamke aliyekuja kukuomba uzae nae, juwa kuwa mbegu yako si nzuri. Ata kwenye mashamba, huwa tunachagua mbegu nzuri na kuiotesha, hivyo hivyo na kwenye...
3 Reactions
40 Replies
1K Views
Jamaa mmoja nimuite Marcus. Alinitangulia kuimaliza chuo kikuu nchini Uholanzi akarejea jijini dsm bahati mby hakuwa na makaz jijini kwa kuwa alikuwa akiish mkoa. Basi akaniomba makaz yangu akae...
17 Reactions
75 Replies
3K Views
Wakuu (kinadada) najua imeandikwa sio vema kwa mwanamke au mwanaume kuishi peke yake maisha ya ukiwa ikiwa dunia Inawenza ambao mnaweza kushare kile kidogo mnachopata na kutengeneza paradiso ndogo...
0 Reactions
0 Replies
259 Views
Shalom shalom Wakuu, hebu tuweke uswazi pembeni leo tuambiane ukweli kama wanaume. Hili jambo la kugongewa limekua kama janga la kimya – halionekani, halisikiki lakini linatokea kila kona...
4 Reactions
46 Replies
2K Views
Vyovyote mtakavyosema. Tangazo, mtego n.k sijali. Nachojali ni hisia zangu na uhuru wa mawazo kwa mujibu wa Katiba na bila kuvunja Kanuni. Najua na wanaume wenzangu baadhi wataunga mkono wanaweza...
7 Reactions
77 Replies
3K Views
Baba ni baba tu Baba ni kichwa cha familia, na mama ni shingo katika familia. Kichwa kazi yake ni kuongoza, na shingo kazi yake ni kuzungusha kichwa kutazama kulia, kushoto, mbele na nyuma...
16 Reactions
78 Replies
2K Views
Mtag member unayemkubali na kutamani uwe karibu nae! Labda kama marafiki,wapenzi au mzee/mzazi wako Kwa upande wangu napenda kuwa karibu na member hawa Tate Mkuu Ponjoro wa Kinondoni Fanton Mahal...
9 Reactions
65 Replies
1K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…