Mahusiano, mapenzi, urafiki

Tubadilishane mawazo kuhusu familia, mahusiano, mapenzi, urafiki, n.k na kushauriana

On JF:

Hello,Jf members! Karibu tukutane tena hapa kwenye huu Uzi wa faida! Upendo unaweza kuelezewa katika namna mbalimbali sana kwamba ni deep feeling au hisia za ndani zaidi na zinakuwa na lengo la...
2 Reactions
66 Replies
5K Views
Kwa kifupi katika mapenzi inaboa sana eti mpenzi wako kukucontrol kama remote mara unaongea na nani, ulikuwa wapi na nani. Mara usiongee na mtu fulani mara ukipiga hata ka selfie na class mate ni...
0 Reactions
5 Replies
2K Views
Huu mtindo sijui umeanza lini ila naona mwendo wa her best pic, his best pic katika status za raia. Kunanini leo kinatokea duniani? Wadada ndio wako mstari wa mbele hebu tujuzane tafadhali.
2 Reactions
26 Replies
3K Views
Leo mitaa ya tegeta tulikuwa tunazunguka zunguka ,ghafla mchumba yangu ambaye mke wangu mtarajiwa akaniambia tuingie dukani la viatu kwa rafiki Yake tukamsalimie. Baada ya story n.a. shangaa...
8 Reactions
145 Replies
11K Views
Naomba niandike ya moyoni mwangu labda nitapata ahueni. Nimemiss kupenda kwa dhati, nimemiss kuenjoy mapenzi, nimemiss kumpenda mtu hadi unakuwa chizi na kumuwaza muda wote. Leo nimekumbuka sana...
16 Reactions
162 Replies
11K Views
Habari najitokeza kwa mara ya kwanza kutafuta mke wa kuoa nipo serious na ombi langu ninalo lileta kwenu. Naitwa Jackson mwenye umri wa miaka 34.Nina Elimu ya chuo kikuu,mimi ni mweusi ,kabila...
2 Reactions
17 Replies
9K Views
MUNGU ni mwema siku zote. Mchungaji wa kanisa la Christ Mercyland, Prophet Fufeyin amewashangaza maelfu ya watu nchini Nigeria baada ya kumuombea kijana mwenye matatizo ya kudumu ya nguvu za...
1 Reactions
57 Replies
9K Views
I Met a lady... kwa mara ya kwanza nikadhani she is just a woman to have fun with kwa hiyo haikua kitu serious, hakuna alietaka kujua situation ya mwenzake ya kimahusiano sababu we were just...
3 Reactions
34 Replies
3K Views
Leo jioni hii nilikuwa naongea na wifi yenu. Shida ikaja pale aliposema sjawahi kumbembeleza na mahusiano yana miezi kama minne. Sasa apa nlipo najiuliza mwanamke anabembelezwa vipi.
0 Reactions
30 Replies
3K Views
Jana hivyo Nimekaona Kurupshani kwa jirani Tokea jana sijapata nguvu ya kwenda kazini sababu chumba cha jirani mume kamcheat mkewe. Mkewe kakasirika kwenye maongezi yake akasema mume akiondoka...
9 Reactions
22 Replies
4K Views
Habarini za humu wadau, Kuna kaswali kananitatiza sana hivi uhakika wa kondomu kuukinga mwili dhidi ya gonjwa la UKIMWI ni kwa asilimia ngapi. Au niulize hivi labda inapotekea mtu ametumia kinga...
1 Reactions
71 Replies
21K Views
Wasalaam wakuu! Niko ova 30 now, Nimekua na mahusiano na wanawake wengi ila ukweli nahisi siko kama wengine naosikia wakilia mapenzi yanawatesa kiasi hata cha kutaka kujiua. Sijawahi kuwa na...
3 Reactions
23 Replies
2K Views
kwanza kabisa niseme sikuwa na nia hii ila itabidi, siyo kosa lake tatizo ni mimi. Huyu binti nilikutana nae mwanzoni, mwaka huu, nilitokea kumtamani na kutamani kuwa nae hata kwa usiku mmoja...
4 Reactions
85 Replies
6K Views
Kuna vijitabia kwa baadhi ya akina dada kujifanya wanawivu kama chui aliye kwenye joto! Hujitia kutuchunga maboyfriend zao mpaka sasa wanaboa. Raha ya mwanamke wivu uwe kwa mbali sana, ukijifanya...
10 Reactions
205 Replies
13K Views
Mwanamke aliambiwa atazaa kwa uchungu, huo ndiyo uhalisia. Hadi leo mwanamke anaendelea kuzaa kwa uchungu. Jukumu hilo ni la kwake, si la mwanaume. Mwanaume anatekeleza lile la kwake la kutafuta...
7 Reactions
33 Replies
10K Views
Habari za mchana wadau. Sitaki kuwa mzungushaji kwa kuandika maneno kibao. Mimi ni kijana wa kitanzania late 20's nimeishi nchi mbalimbali na sasa nimeamua kuhamishia makaz yangu Tz japo naona...
0 Reactions
15 Replies
1K Views
Nimelazimika kuandika hili kutokana na hali ambayo wakati mwingine nakutana nayo kutoka kwa jamaa zangu. ni miaka kadhaa sasa toka nimeoa na nimekutana na changamoto kadhaa mpaka kufikia hatua ya...
19 Reactions
106 Replies
11K Views
Nilikupenda miaka zaid ya 10 iliyopita wakati huo nipo Olevel nawe upo Advance ulivyofika chuo ukaniona mtoto kwa kauli yako mwenyewe ukasema tuachane leo baada ya muda mrefu kupita ukapata no...
12 Reactions
68 Replies
6K Views
Wahenga wanasema it's never too late! Hatimaye umepata kibali cha kukamilisha sherehe yako ya pili duniani, ni jambo la kheri sana hasa kwa dunia yetu hii ya leo! Vilevile nikupongeze kwa usiri...
15 Reactions
155 Replies
16K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…