Mahusiano, mapenzi, urafiki

Tubadilishane mawazo kuhusu familia, mahusiano, mapenzi, urafiki, n.k na kushauriana

On JF:

Habari za muda huu ndugu zangu Wana-JF, Kama ilivyo asili kwamba mwanadamu atazaliwa, atanyonya, atatambaa, atasoma na kufanya vitu vingine, lakini kwa mapenzi yake Mungu Muumba wa mbingu na nchi...
0 Reactions
25 Replies
5K Views
Habarini humu! Mimi Naitwa sky zone. Nimependa kujumuika humu! Nimeona nimtafute mwanamke asiye na mume na awe tayari kushare maisha pamoja bila kuchanganya mafiles (yaani Ajitahidi kutoruka...
0 Reactions
28 Replies
3K Views
Kusema ukweli Asee binafsi sinaga mudi na mademu wembamba ata kidogo kunako 6 kwa 6. Maana juzi kati hapo mzee niliopoa kademu flani hivi ni kasister du ukimwangalia kamejimodoa kenyewe basi...
2 Reactions
98 Replies
31K Views
Wadau, Hawa mashemeji zangu wa kike wapo kama watatu ambao tunaivana sana wawili tunakaa nao mmoja huja na kuondoka ni washkaji wakaribu lakini wamezoea chumbani kwetu na dada yao kupita kiasi...
12 Reactions
108 Replies
14K Views
Salaam wana MMU Sio masikhara Jamani siku za hivi karibuni nimekua navutiwa sana na wanawake watu wazima Yani nikikutana na mwanamke mtu mzima yani yule Mmama huwa nasisimkwa na kumtamani...
2 Reactions
43 Replies
10K Views
Kuna rafiki yangu x-wake kaolewa kama miaka tatu hivi. Kabla hajaolewa tuliwahi kuwa na mjadala na rafiki yangu pamoja na huyo binti kwamba nini maisha baada ya kuolewa. Nakumbuka tulikuwa maeneo...
10 Reactions
40 Replies
4K Views
1. Anakupigia simu mara kwa mara na kukuuliza siku yako imeendaje. Anafanya hivi kirafiki na kwa upendo, haigizi. Anakupenda kweli. 2. Anakutembelea mara kwa mara, anakuwa karibu na wewe kipindi...
4 Reactions
13 Replies
2K Views
Wakuu kuna siku nikiwa nachat na beibe, gafla nikaona mwenzangu amebadilika mood. Mara baada ya kama saa hivi huyo akatinga kwangu, analia, bila kujua nini kinaendelea nikajua labda amefiwa. Hee...
0 Reactions
16 Replies
6K Views
[emoji121] WAKUU, KUNA VITU KADHAA EPUKA SANA KUWA NAVYO UKIWA NI MTU TIMAMU. NAVYO NI; 1. UZWAZWA, 2. UBWATUZWAZWA, NA 3. UNYENYEMBWE. SASA *UNYENYEMBWE* NI NINI? *UNYENYEMBWE* NI PALE...
3 Reactions
25 Replies
3K Views
Nilimtongoza dada mmoja akanikubalia kwa sharti la kwamba atanipa mchezo akinizoea lakini baadae akaanza kuniambia ana bikra, kusikia hivyo nikampiga chini fasta sipendagi ujinga mimi...
4 Reactions
18 Replies
2K Views
Za mda huu wana jamvi,.. Niende kwenye mada yangu na kisha kila MTU atakuwa huru kuchangia, Kama tunavyojua kuwa kwa mwanaume mwenye akili timamu kuwa mke ndio namba moja na anatakiwa kupewa...
0 Reactions
0 Replies
2K Views
Habari zenu wadau Nilipata binti nikazaa naye badae kuamua kuishi naye , kumbe kipindi cha uhusiano wetu kabla ya mimba na kuzaa na kumchukua alikua na vitabia vya ajabu ajabu ambavyo alivificha...
5 Reactions
51 Replies
5K Views
Nafatauta mpenzi wa kike atakaye kuja kuwa mke. Sifa: Asiwe mwembamba :Asizidi miaka 30 :asiwe mweusi sana : Kabila lolote Kama yupo ani Pm
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Kuwa na mwanamke asiyependa gharama ni ndoto ya kila mwanaume katika sanaa ya kudeti. Kwa kawaida wanawake aina hii hawana drama wala stress. Lakini je ni muhimu kweli kuwa nao? Hebu jiweke...
0 Reactions
6 Replies
5K Views
Wadada wapweke njooni kwangu,umri,dini na kabila lolote
0 Reactions
5 Replies
2K Views
Wanawake sikuhizi mmekuwa wadokozi sana, imefikia hatua tukiwakaribisha maghetoni mnatuliza baadhi ya vitu. Juzi kati hapa nilimleta home sister duu mmoja mwenye quality zake, tukafanya yetu...
5 Reactions
112 Replies
8K Views
Unaweza kuwa na girlfriend kwa muda mrefu na usiweze kujua kama anakupenda au la. Wanawake wengine wanaweza kujifanya girlfriend wazuri kumbe wanakutumia. Na pia unaweza kuwa na girlfriend halisi...
7 Reactions
30 Replies
11K Views
Ndugu wana Jamvi , Je ni kweli Mwanaume mwenye Mke mmoja na tena bila mchepuko akili yake ina dumaa. Na wenye Wake wengi au michepuko Akili hufanya kazi vizuri na kuwa na mafanikio kimaisha ...
0 Reactions
7 Replies
1K Views
Hello guyz bila shaka hamjambo! Katika saikolojia ya mahusiano, mwanamke ndiye binadamu ambae ana uwezo wa kupenda sana kuliko mwanaume, mwanamke hupenda sehemu (mwanaume) mmoja kwa kiwango cha...
4 Reactions
36 Replies
25K Views
Naamini mko wazima hapa, Nianze hivi maana siwezi kusubiri, unakuta mdada labda mmekutana sehemu yoyote na akakupa namba na baada ya hapo mkakutana rasmi ili kufahamiana, maana mda mwingine...
5 Reactions
82 Replies
7K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…