Msaada: Siku hizi navutiwa sana na wanawake watu wazima

Sigara Kali

JF-Expert Member
May 28, 2017
3,623
8,428
Salaam wana MMU
Sio masikhara Jamani siku za hivi karibuni nimekua navutiwa sana na wanawake watu wazima

Yani nikikutana na mwanamke mtu mzima yani yule Mmama huwa nasisimkwa na kumtamani hasa nikionaga ile misambwanda yao

Mfano Jana nimekaa siti mmoja na mdada flani mzuri black beauty anaonekana ana familia na nilimtamani sana ila kuomba namba ili nianze kumtupia nyavu nikashindwa ,kila ninavyojisemea ntamwomba sasa kushtukia nishafika mwisho wa safari yangu
Kiukweli Yule mmama nlimpenda ghafla ila ndo hivyo nkakosa technique ya kuomba namba

Kuna kipindi flani nlikutana na jimama (Mke wa mtu) kwenye daladala nilikua Niko balimi mbaya nikapata na confidence ya kumwomba namba mmama akatoa na mwisho nikamla

Ila muda sasa sijampata mmama mwingine hawa mabinti ni stress tu nataka kuanza kuwa na mpenzi mmama ila nashindwa jamani namna ya kuomba namba

Humu najua kuna wakongwe wa kutembea na majimama basi sio vibaya mkashea nami mwenzenu mbinu mnazotumia kuwanasa kirahisi hawa watu wazima

Asanteni
 
ni kujiamini tu mkuu
mie toka nazijua mbunye ni za watu walionizidi umri tu(wamama) tena naenjoi burudani zao balaa maana kama ni kilio ni kilio kweli no kuigiza......unapendwa in reality sio kuigiza
hawa watoto wadogo mie hapana aiseee na hata ukisikia na mtoto jua nimezaaa ni mmama
alichofanya dogo janja namie naona kabisaa nitakuja kukifanya mbeleni
 
ni kujiamini tu mkuu
mie toka nazijua mbunye ni za watu walionizidi umri tu(wamama) tena naenjoi burudani zao balaa maana kama ni kilio ni kilio kweli no kuigiza......unapendwa in reality sio kuigiza
hawa watoto wadogo mie hapana aiseee na hata ukisikia na mtoto jua nimezaaa ni mmama
alichofanya dogo janja namie naona kabisaa nitakuja kukifanya mbeleni
Nilisikia sehemu una pipe ya maana endelea tu na wamama mkuu watoto hawafai ni wasumbufu kinyama
 
kabla ya kuomba namba vuta sigara kali itakutoa ufahamu na utaona unaongea na kabinti kadogo kadogo
 
"KWANI WANAWAKE KATIKA ZAMA HIZI NI DEAL YA KUUMIZA KICHWA?"
ajabu sana.
N.b.
Zama hizi ni kuambiana tu facts and truth / na senti zako kidogo mfukoni.
 
Ungetaja na umri (time frame) wa hao mamama ningekusaidia kwa moyo mmoja, Siwezi kukusaidia wakati haupo wazi isije kuta nakusaidia mpata mama yangu buree!!..
 
Nacho wapendea wamama ni kuwa wanajua maisha ni nini hata siku akikuomba sana hela sana sana ni hela ya vocha siku akikuomba vocha ukamwambia dear leo sipo ok... Atakujibu tu kiustarabu ok my dear usijali na maneno mazuri... Sasa kutana na kibaka kidemu uone moto wake

Hawa ma single mom hawajawahi kuniangusha...
 
jifunze kuwa mstarabu kwao, mjibu kwa staha, usiwe mkali mkali, akikuomba jambo au akikupa kazi msaidie, muonyeshe upendo,,,, kama ana mtoto au watoto onyesha kuwajali na kuwapenda pia uwe unawaulizia mara kwa mara wanaendeleaje... mara moja moja ukinunua kizawadi na kumwambia mpelekee dogo sio mbaya(sio lazima sana), kwa kufanya yote hayo ataanza kuwa huru kwako hata mambo yake ya msingi ataanza kukusimulia mfano mahusiano yake au ndoa yake kama ina changamoto ,mfano mume wake hajatulia n.k.....zingatia mpaka muda huu hujaonesha dhalili yoyote ya kumtaka, ukifanya hivo atakuona hufai na unataka kufaidika kupitia changamoto alizonazo, ukifanya mchezo atakuchukia sana........ taratibu taratibu ataanza kukuona mtu aliye karibu na wewe zaidi, ataanza kujisikia huru kukueleza jambo lolote.... huu ni wakati fasaha wa kuandaa date, huku ukimsoma saikolojia yake taratibu.... mara paaap kinaeleweka.....
onyo... unaweza kuzibuliwa mtaro au kutolewa roho kabisa kwa kutembea na mke wa mtu... kila la kheri
 
Jiandae kisaikolojia katika mawili unaweza kupata moja,
namba ya simu au vibao,endapo utampalamia mwenye
umri sawa na mama mzazi.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom