Natafuta mke mwema

monde arabe

JF-Expert Member
Oct 22, 2017
8,486
13,017
Habari za muda huu ndugu zangu Wana-JF,

Kama ilivyo asili kwamba mwanadamu atazaliwa, atanyonya, atatambaa, atasoma na kufanya vitu vingine, lakini kwa mapenzi yake Mungu Muumba wa mbingu na nchi katika vitu atakavyovifanya mwanadamu katika uhai wake na ambavyo haviwezi kuepukika ni pamoja na 'NDOA AU MAHUSIANO'

Nisiwachoshe sana, ndugu yenu akili ipo tayari kumiliki familia kwa maana ya mke na ikiwezekana nimiliki hata watoto, nahitaji mke mwema atakaye kamilisha ndoto hii;

Sifa za huyo ninayemtafuta ni hizi hapa;
1.Awe ni mwenye kujipenda kwa maana ya kuwa msafi na mwenye kujijali
2.Awe dini yoyote lakini ni mcha Mungu
3.Awe anaishi maeneo ya jijini Mwanza au maeneo au mikoa ya Kanda ya ziwa
4.Asiwe amezaa
5.Awe na umri kuanzia 18-26yrs
6.Hata kama atakuwa anakunywa pombe basi asiwe mlevi kupindukia
7.Asiwe na magonjwa ya kuambukiza wala ya kurithi mfano Pumu, Kifafa, HIV/AIDS, nk
8.Rangi yoyote ila akiwa mweusi kiasi au mweupe/mweupe sana nitafurahi zaidi

Mwisho, nawashukuri ninyi nyote mtakaoungana na mimi katika kufanikisha hitaji langu na kwakuwa sisi wana-JF ni familia basi kwa yeyote aliye na ndugu yake au rafiki yake anaweza akaniunganisha naye.

Matusi, kejeli na dharau vyote nitavipokea na kuvibadilisha kwa shukrani

Asanteni sana!
 
Wewe umeweka sifa lukuki but Hujaweka sifa ulizinazo wewe, atavutiwa Kwa lipi jombaa? Acha Ubinafsi.
 
Ningeweka na sifa zangu andko lingekuwa refu na lingewachosha wasomaji...,si unajua ss waswahili huwa hatupnd sana ujumbe ulio ktk namna ya maandishi?
 
Habari za muda huu ndugu zangu Wana-JF,

Kama ilivyo asili kwamba mwanadamu atazaliwa, atanyonya, atatambaa, atasoma na kufanya vitu vingine, lakini kwa mapenzi yake Mungu Muumba wa mbingu na nchi katika vitu atakavyovifanya mwanadamu katika uhai wake na ambavyo haviwezi kuepukika ni pamoja na 'NDOA AU MAHUSIANO'

Nisiwachoshe sana, ndugu yenu akili ipo tayari kumiliki familia kwa maana ya mke na ikiwezekana nimiliki hata watoto, nahitaji mke mwema atakaye kamilisha ndoto hii;

Sifa za huyo ninayemtafuta ni hizi hapa;
1.Awe ni mwenye kujipenda kwa maana ya kuwa msafi na mwenye kujijali
2.Awe dini yoyote lakini ni mcha Mungu
3.Awe anaishi maeneo ya jijini Mwanza au maeneo au mikoa ya Kanda ya ziwa
4.Asiwe amezaa
5.Awe na umri kuanzia 18-26yrs
6.Hata kama atakuwa anakunywa pombe basi asiwe mlevi kupindukia
7.Asiwe na magonjwa ya kuambukiza wala ya kurithi mfano Pumu, Kifafa, HIV/AIDS, nk
8.Rangi yoyote ila akiwa mweusi kiasi au mweupe/mweupe sana nitafurahi zaidi

Mwisho, nawashukuri ninyi nyote mtakaoungana na mimi katika kufanikisha hitaji langu na kwakuwa sisi wana-JF ni familia basi kwa yeyote aliye na ndugu yake au rafiki yake anaweza akaniunganisha naye.

Matusi, kejeli na dharau vyote nitavipokea na kuvibadilisha kwa shukrani

Asanteni sana!
Unatafuta mke au mchumba? Mke ni mwanamke aliyeolewa.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom