Mahusiano, mapenzi, urafiki

Tubadilishane mawazo kuhusu familia, mahusiano, mapenzi, urafiki, n.k na kushauriana

On JF:

Habari za muda huu wadau, Nimeonelea nilete huu uzi maana kuna mshikaji wangu mmoja tulikuwa tunapiga story na akanieleza how stressed he is kuhusiana na demu flani mpya ambae alimpata mwezi...
3 Reactions
26 Replies
4K Views
Wakuu nina mwanamke, akiwa period ananiambia ikifika siku ya mimba anapotea. Tumekubaliana kupata mtoto, ila anashida na pesa zangu. Nikimwambia mimi na wewe basi anaugua, hapendi nimuache...
0 Reactions
13 Replies
3K Views
Wakuu,kabla sjasafir ,singo maza amekuja kuniaga ,sasa weekend nzima nilikua nae,si kwa mapish yale na chezo lile,..(she is a squiter too..)..njia kuu alikuja wikend iliyopita,yaan wanawake achen...
9 Reactions
98 Replies
7K Views
Nimeajiriwa kwenye kampuni fulani hapa mjini. Jana alikuja mpenzi (mchumba) wangu kunitembelea ofisini kwangu. Alipofika alipokelewa na secretary na kumueleza kwamba anataka kuonana na bosi...
3 Reactions
124 Replies
12K Views
Habari za pirika wanajamii wenzangu. Naenda moja kwa moja kwenye mada. Kuna baadhi ya watu wana tabia ya kutowaamini wake/wachumba zao, hayo yote yanasababishwa na maisha wanayoishi huko mitaani...
1 Reactions
18 Replies
1K Views
Wakuu habari za asubuhi, Naombeni msaada nimfanyaje huyu mke wangu. Jana ameniaga anaenda town kupeleka hela mida ya jioni kwa mwanaume aliye mkopesha hela (hizo hela alikopa kwa nguvu bila...
9 Reactions
232 Replies
38K Views
Naandika haya ikiwa nina ushawishi wa kurudiana na mwanake aliyenisaliti kwa mwanaume mwingine. Muda si mrefu uliyopita niliomba ushauri kuhusu mwanamke aliyesilati na hatimaye kuweka ngumu...
1 Reactions
18 Replies
2K Views
Wadau nlikuwa njia nzima nawaza leo inakuaje na huyu mama wa kitasha huko bagamoyo. Maana hachelewi kuwa amekuja na Viagra zake akameza kabla ya mtifuano. sijui na yeye alikuwa anawaza nini njiani...
3 Reactions
47 Replies
4K Views
Aisee.... Ama kwel Ng'ombe wa maskini hazai, na akizaa anazaa dume, na akizaa dume linakuwa haligegedi. Huyu mmama tumefahamiana mwaka wa pili huu. Kwenye mitandao na kila siku alikuwa anasema...
20 Reactions
51 Replies
7K Views
Bila shaka mpo salama wakuu. Huko nchini Canada wataalamu wa afya ya mapenzi wamefanya utafiti ili kubaini Uwiano sahihi wa papuchi na dushe unaoweza kuwafikisha wahusika kileleni. Matokeo...
13 Reactions
264 Replies
95K Views
Jamani naombeni ushauri wenu, Mimi ni kijana ambae kwa namna moja au nyingine nahitaji kua na serious relationship, miezi michache ilopita miwili nilikutana na mdada fulani ambae kiukweli...
0 Reactions
75 Replies
10K Views
Wanaume wengi wanapofikia hatua ya kuoa si kwamba wanakurupuka tu na kuoa mwanamke yeyote mwenye sura nzuri, bali huchukua muda wao mwingi kuchunguza mambo mengi juu ya wake ambao wanadhani kwamba...
8 Reactions
71 Replies
19K Views
Habari wana jukwaa, Kama heading inavyojieleza, ninadhumunia kumshitaki mwanamke ambae ni mke wangu niliyenae. Nataka kumshitaki kwa kunifanya nisinenepe kwa kipindi cha miaka mingi kabla...
3 Reactions
25 Replies
3K Views
unampez wako Mara unaskia unaambiwa Wang nipe hela nilipie nguo nimeshona kwa fundi hata hujamtaarifu ,swali je?umeajuaje kama atakuwa nayo hiyo hela unayodaiwa na huyo fundi kwangu binafsi hiyo...
2 Reactions
40 Replies
3K Views
Hodi Wakuu ama hakika ninaamini Kila shetani analoshetani lake! Nakumbuka 2010 Demu Mmoja ivi aliwahi kukosea namba akanipigia baada ya maongezi nikagundua amekosea namba, Kama ilivyokawaida...
15 Reactions
48 Replies
7K Views
Hivi kati ya kuwa na mwanamke mwenye uwezo wa kutengeneza kipato chake mwenyewe ila hana heshima kivile, ana dharau yaani kukufokea haoni tabu na kuwa na mwanamke ambaye yeye fedha hana na uwezo...
0 Reactions
55 Replies
7K Views
Smartphone inawafanya wadada kuwa wendawazimu, kuenenda kama nyumbu (kuigana) na kufanya vitu vilivyo chini ya umri wao. Mdada ana mume wake na amebahatika kuzalishwa watoto 0, 1, 2, 3...
17 Reactions
177 Replies
20K Views
Wana JF wenzangu, Naomba mchango wa mawazo yenu juu ya swala hili. Kati ya mwanamke na mwanamume walio katika mahusiano ya kimapenzi ni nani anapaswa kutamka kwa mwenzie uhitaji wa kufunga ndoa?
1 Reactions
18 Replies
2K Views
Licha ya sasa nina mpenzi mwingine ambae tunapendana Kwa dhati na ninampenda na Ananipenda tuu Leo nimepata taarifa girlfriend wangu wa zamani ambaye tuliachana nikiwa bado nampenda, Na bado...
3 Reactions
50 Replies
10K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…