Siasa Hasa siasa za wakati wa uchaguzi ni siasa "SIASA NYOKO"
Enzi hizo nikiwa shababi bwana Mungu Barikiwa nilimpata Binti wa kimakonde
Penzini tukadumbikia mahaba ndindi ndindi tukazamia
Kwa...
Ukisikia hili neno utapata tafsiri tofauti na uhalisia, 'bustani zenye manukato' zinanukia vingine vya kihisia vya kimwili vya kushibisha moyo na nafsi na hisia na tamaa za mwili na chakula cha...
Kwa sasa nipo mkoani Tanga maeneo ya Muheza. Mimi ni mzaliwa wa jiji la Mwanza ingawa sijakulia huko
Hapa Tanga ni pazuri kwa kweli kutokana na ukarimu walionao watu wa huku hususan wazee (Kwenye...
Tukifika huko, ndoa nyingi sana zitavunjika.
Wife kaingia chooni kwa dakika chache.
Mme wake anainua simu haraka anafungua app ya DNA
Anatoa pipi mfukoni anamlambisha Junior ili apate mate...
Ni mimi pekee yangu hili linanitokea au hata kwa wanaume wengine/wababa?
Utakuta kwa mfano kuna socket haifanyi kazi nyumbani, baiskeli ya mtoto, mlango au kifaa cha umeme,-kinapoharibika mara...
Rejea somo hapo juu! Watu wa Mungu tusameheane!
Ee bana jana nimeenda kwenye madangulo fulani hivi yameezekwa kwa makuti na bati. Nikazikuta nyingi nikaita moja ikaja. Ikalala lakin mmmmmh harufu...
Ikitokea wewe na mke, mume au mchumba wako mmekwaruzana kidogo alafu kwa hasira akakutamkia kuwa kama wewe huoni umuhimu wake wapo wanaume au wanawake wanaoona umuhimu wake
Je hesabu za haraka...
1)WANAAMINI KABILA LAO NDIO BORA KULIKO YOTE
Wanaamini kabila lao ni bora kuliko yote na ni lazima kila Mtanzania ajue kabila hilo na kama kuna mtu ambaye halijui basi mtu huyo ni...
Hey people,
Leo katika pita pita za hapa JF nimekutana na moja ya nyuzi nyingi za marehemu,mwanaJF mwenzetu Mpauko ambazo kwa namna moja ama nyingine alizianzisha kwa lengo la kupata msaada...
Wasalaam tena,
1. Ninyi ambao mlijitoa kuwatunza watoto wa wanaume wengine — bila kinyongo, bila malalamiko — lakini mwisho wa safari mkalipwa dharau, kejeli na masimango...
Pongezi nyingi kwenu...
Wakuu wasalaam.
Moja kwa moja kwenye mada! Iko hivi juzi nilibutua pesa nikaamua kwenda Mwanza Kujipa pole nikatoka huku Geita vijijini Nikale Maisha kidogo.
Nikafikia kiwanja kimoja kinaitwa...
Adam aliumbwa kwanza. Kabla ya kuletwa kwa Hawa, aliishi peke yake kwenye bustani ya Edeni, akajifunza mazingira, kuishi na wanyama na namna ya kuyaendesha maisha. Alipokuwa tayari, ndipo Mungu...
Kwanza niwape pole wale wote tuliotaka kuandamana kwani Polisi wa Tanzania wamejaza njia zote tulizotaka kupita. Sio mbaya wakitulia na sisi tunalianzisha.
Nije kwa mada ya leo.Ishu ipo hivi siku...
Habarini,
Kuna huu ushauri unaotolewa na wadada humu jf na baadhi ya wanaume, kwamba ukitaka mdada asikupige vizinga mara kwa mara, usiruhusu mpaka yeye akuombe, mwanaume inatakiwa ujiongeze...
Nimemlipia pango Januari mwaka huu lakini hajanikaribisha kwake hata siku moja licha ya kumuomba mara kadhaa. Leo mkataba wake wa pango unakaribia kwisha, ananiomba nimlipie tena!
Kwenye title ni...
Habari humu nilimpata mtoto kwenye harus moja nikamdanganya nikaenda naye getto kilichonikuta asubuh. (Haisimami tena) nafkri mmenielewa NISAIDIEN NIFANYEJE
Ndoa zina mambo!
Mimi sio nabii ila usiku huu kuna mwanaume kaamua tu alale sebuleni kwenye makochi, amwache mkewe alale chumbani kwenye kitanda.
Ee Mungu nusuru ndoa za waja wako🙏
Mimi nimewahi kuokota laki tatu,..300,000 kwenye ukoka.Lengo langu halikuwa ovu kabisa nilitaka kuirudisha kwa muhusika.
Ilikuwa ni ofisini hotelini,,mimi nilikuwa mtu wa garden ila cha...
Naitwa John
Umri wangu 28 Kabila msukuma
Natafuta RAFIKI wakike Ambae Tunaweza kushare mambo Mbali Mbali awe na Umri kuanzia 23/35 Ambae yupo Tayari Aje PM