Mahusiano, mapenzi, urafiki

Tubadilishane mawazo kuhusu familia, mahusiano, mapenzi, urafiki, n.k na kushauriana

On JF:

Wahenga husema ujana maji ya moto, japo sijui kuni na sufuria ni nini na nini kati ya uzee na utoto. Mwaka 2007 tarehe kama ya leo, mida ya saa kumi na moja nikiwa natoka kwa "mchomeshaji" kupata...
3 Reactions
40 Replies
5K Views
Heri ya xmass wapendwa husika na kichwa cha habar hpo juu .mi nakumbuka mwaka Jana kila nikitongoza nakataliwa mpaka nikasema mimi nitakufa kivyAngu...na wewe je??
1 Reactions
7 Replies
2K Views
Habar ya jion wana JF polen na mapambano ya mikazo ya vyuma, bila kupoteza muda naenda moja kwa moja kwenye mada pamoja na kutoa shukran zangu za dhat juu ya ushaur wenu mlionipatia katika uzi...
1 Reactions
1 Replies
3K Views
Kama wewe ni Tom boy njoo PM
0 Reactions
4 Replies
1K Views
Habari za jmosi ya leo tarehe 23 wandugu Kuna dada anamahipsi na chura wa haja halafu kiuno chembamba sana nimekutana naye sasa hv mbaya zaidi kavaa dela halafu linaonyesha ndani na chupi hana...
1 Reactions
16 Replies
2K Views
Habari? Katika pita pita zangu nimefanya kautafiti na kugundua kuwa wanaume wengi wafupi wanapenda kuwa na nywele ndefu..sababu kubwa ikiwa ni kuongezea kidogo urefu(wanaamini hivyo)..kama huamini...
1 Reactions
51 Replies
4K Views
Sisi wanaume tusio na pesa tumekuwa tukinyanyasika sana hapa mjini, tumekuwa tukinyanyapaliwa sana na wadada wazuri na hasa wenye makalio makubwa. Wanawake hawa wanatutenga kwakuwa tunaishi...
8 Reactions
203 Replies
22K Views
Kila mwanaume mwenye kuoa pamoja na wale waliokwisha kuwa na wake wana-stands zao juu ya mke ni nani kwao. Ifahamike kila mwanamme kabla ya kuoa ana taswira ya mke amtakaye kichwani. Wanawake...
15 Reactions
190 Replies
14K Views
Si watoto wote wa wafugaji lakini wengi wao hufanya mapenzi na kuku na hasa kuku wale wanaoatamia mayai kwani huwa ni rahisi kuwakamata na kubaka kuku hao. Ikumbukwe kuwa ni kosa kisheria...
1 Reactions
36 Replies
6K Views
Hiki kisa ni cha kweli kabisa, nimejaribu kusummarize sana baada ya kuandika mambo mengi na kugundua nitawachosha wadau humu. Mwanaume anafanya kazi nzuri, anapokea mshahara mzuri, mlitoka kwenye...
2 Reactions
9 Replies
1K Views
Udenda na mijasho yote iliyotiririka usiku kucha halafu asubuhi aanze kunilalia? Mswaki hajapiga, harufu mbaya inatoka kinywani halafu aanze kunipumulia mimi? Sitaki. Akitaka akaoge, apige mswaki...
15 Reactions
228 Replies
23K Views
Wakuu, Kama umeweza kuona uzi huu bila shaka uko mzima wa afya, ila kama una changamoto kidogo za maisha Mungu akufanyie wepesi. To the point, Nmekua na mahusiano na bint flani mwezi wa tatu...
5 Reactions
109 Replies
10K Views
Habari wakuu! Ngoja niende moja kwa moja kwenye mada,ningependa kujua hii hali inayonitokea ni ugonjwa au hali ya kawaida,wakuu yani Tangu ni meanza mahusiano kila ninapokutana na wanawake...
0 Reactions
25 Replies
3K Views
Hapo vip!! Mimi nikimtongoza msichana au mwanamke then akaniambia anamtoto huwa kuna namna fulani stim zinakata. Huwa naona kama yule mtoto ameshatoka na utamu wote, so kikigundua ameshazaa...
4 Reactions
47 Replies
6K Views
Heshima kwenu wote mliopita kwenye huu uzi. Bila kupoteza muda twende kwenye maswali ya msingi ambayo ni Jina gani huwa unamuita mpenzi wako mkiwa pamoja? Majina yepi huwa unayatumia...
1 Reactions
82 Replies
9K Views
Huu ni utafiti wangu binafsi na ni maoni yangu baada ya kuchunguza kwa muda mrefu nimekuja kugundua kwamba haya yanayoitwa mapenzi TZ yetu ni ya upande mmoja tu, yaani Mwanaume ndo anampenda...
6 Reactions
42 Replies
5K Views
Habari wakuu, hii huwa inatokea sana pale unapokutana na mrembo matata kwenye kituo cha daladala au ndani ya daladala, unaweza panda daladala ambalo hata kukupanga kulipanda au ukapitiliza kitu...
1 Reactions
27 Replies
3K Views
Kumekuwa na vijana wenyewe wanajiita vi Ben 10 kutwa kujisifu kuwa wake za watu watamu. Ikiwa na maana wake za watu mnachepuka sana kama si kidogo. Sasa basi ebu toeni aibu tuambieni ukweli...
0 Reactions
23 Replies
3K Views
Hee! Jamani! Ni hivi nilikuwa na bae wangu ambaye kuanzia leo namuita mshamba, tulipendana na kuahidi kuoana. Tulikuwa tunaenda vizuri tu. Sasa jana nilibadilisha profile picture kwenye...
14 Reactions
272 Replies
29K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…