Hellow
Ni kitu gani kilikufanya au kili mfanya x wako akutafute iwe kwa namba ngeni au namba yake shida ilikuwa nini?
Mimi nilimtafuta kwasababu ilikuwa mwezi wa Saba kama hivi baridi kalii af...
Naam mambo ya ndani ya nyumba,
Nimekaa kibarazani akaja na mkewe wakaniomba nisuluhishe hili jambo, mwenyewe bado natafakari ila nimewaomba warudi nyumbani na jamaa aendelee kwani yeye ndiye...
Kuishi Mbali na Mwenza wako ni tabu tupu..
Awe ni mke/mume , mchumba
au mpenz .
Kama kweli kuna upendo baina yenu basi jua kuna wivu. Maana kuna muda ratiba ya mwenza inaweza kwenda tofauti na...
Guys ninaandika haraka haraka maana nampepea bwana harusi mtarajiwa amezimia baada ya kukataliwa kuoa binti mzuri wa kizanzibar,
Huyu jamaa baada ya kuposa na kulipa mahari yote akapata mualiko...
Habari waungwana!
Namtafuta rafiki yangu kipenzi Rehema Abdallah Moris mara ya mwisho kuwasiliana nae ni mwaka 2011 kama sijasahu.
Tulikuwa na urafiki wa karibu sana mara nyingi nilikuwa...
Mbali na mapenzi na sogeza nikae,
Kwenye mahusiano nimegundua swala la Matumizi ya Pesa kama Familia lazima Tujadiri kabla ya Ndoa
bila hivo huko mbele ni rahis sana kushikana mashati...
Imagine...
Fahamu kuhusu "MAN-CHILD" au MWANAUME ASIYEWAJIBIKA, kwa mtazamo wa kisaikolojia, kijamii, kifamilia na kimahusiano:
---
🧠 MAANA YAKE:
Man-Child ni mwanaume mzima kiumri lakini ana tabia, fikra...
Mwaka 2006 nlitembelea tabora kwa mara ya kwanza nikiwa nmepangiwa kituo changu cha kaz. Nlifikia lodge flan mitaa ya town kwa siku kama tano nlikuwa nalala pale. Nakumbuka ilikuwa ni majira ya...
Ndugu zangu wana JamiiForums,
Mimi ni kijana wa miaka 23 , nimemaliza mwaka wa pili sasa chuoni, ninasikitika kuwa sijawahi kuwa kwenye mahusiano wala kujamiiana.
Safari yangu ya masomo...
Anaandika, Robert Heriel
Mtibeli
Mtafaruku ni Mkubwa. Huu mwaka naona unaisha vibaya Mno. Kama sitakuwa macho nyumba yangu inaweza kuvunjika.
Sorry nianze kwa Salamu maana Leo mtanifaa Sana kwa...
Wadau, nina mke niliyeanza naue mapenzi mwaka 2010 baadaye akaenda kusoma certificate na akamaliza Diploma mwaka 2015.
Wakati huo aliniomba nimusaidie karo na matumizi shuleni na wakati walikizo...
Habari ndugu zangu
Wakuu naombeni majina ya kikristo mawili ya mapacha, mtoto wa kiume na kike lianze na herufi "J" na mwisho liishie na herufi sound " N"
"Likianza na "Jo" lika sound mwisho...
Tarehe 22 Mei 2018 taarifa ilitoka kwenye vyombo vya habari kuwa mwanamke anayeitwa Berlina Wallace, mwenye miaka 49 amekutwa na hatia ya kumjeruhi mpenzi wake wa zamani Mark van Dongen umri miaka...
Katika maisha yangu sijui kama nimeumbwa na moyo ambao uko tofauti na wanaume wenzangu
Moyo wangu umeumbwa na asili ya kurizika
Kwasababu hiyo basi mimi sinaga uwazo wa kupenda au kutamani...
Faida za kuwa na mke ni nyingi sana.
Nakala ya 2023 ya Ufadhili wa Utafiti wa Afya (HRF) ilionyesha kuwa wanaume walioowa wanaishi miaka 17 zaidi ya wanaume wasio na wenzi.
Wanaume wasiowa...
Utaratibu wangu mimi ni huwa sikopi kwa mtu, wala kukopeshwa na mtu,kwa sababu huwa inapelekea urafiki kufa kabisa huko mbeleni,mimi huwa nanuna na mambo yangu mpka natatua changamoto zangu...
Kumetokea tukio mkesha wa mwaka mpya jamaa mmoja mkoa unahifadhiwa alikuwa akitoka kusheherekea mkesha wa mwaka mpya mida ya saa saba usiku akakuta jamaa wameweka magogo na kuchoma matairi...