Wakuu.
Kuna tabia za wanawake walio wengi kukataa kutembea na mpenzi wake mtaani
Mara nyingi utasikia "mtaa wa makumbusho me siendi huko labda tuende mtaa wa salamanda/ tutaenda siku nyingine"...
Kama umekizi vigezo hivo Kuna uwezokano ukaolewa kabisa kabisa muhimu uwe nasifa hzo, angalau mara 3 Kwa siku itakua vyema.
Kama UPO serious njoo pm mbwembwe peleka Kwa ma uncle
Kwenye mahusiano mengi wapenzi hua wanatamani kujua body count zao, sasa nilikua naulza je ni sawa ??
Kwa sababu mimi sioni umuhimu wa mpenzi wangu kujua body count yangu kwasababu haina msaada...
Habari wanajukwaa , Wana nzengo katika jukwaa hili ....
Leo tuongee jambo , ULIJISIKIAJE pindi una ANGALIA MOVIE / series za KUTISHA SANA yaaaani zile Kila dakika ni KUTISHA tuu
Mimi muda huu...
Katika maisha ya kila siku, huwa tunakutana na watu wa aina mbalimbali—wenye upendo, huruma, upole, kujali, na pia wale ambao ni wakatili kimya kimya, wenye kujipenda kupita kiasi, wasiojua...
Ila cha kwanza nipende kumshukuru Mungu kwa kunitwisha utu uzima. Mimi wa zamani humu ndani nilikuwa namiliki ma-Range, nyumba kali Sinza, Car Wash moja matata pale Madale bila kusahau mke mzuri...
Sijawahi kuona wanawake wa ajabu kama mkoa wa Tanga japo wanawake hawatofauti ila wanawake wa Tanga wamezidi huu mkoa bwana aisee unakera sana na una wanaume weak sana aisee wananikera na...
Nimepata mume na kwakweli kwa sababu nilikuwa humu kama mmoja wa wanajf napenda kutoa shukurani kwa wanajf wote, mie nimekuwa na familia ambayo inanitegemea kwa sasa.
Na kama hamtaniona hapa JF...
Wapo wanaosema hela ya mwanamke ni ya mwanamke, na hela ya mwanaume ni ya wote.
Kumekuwa na malalamiko kwa wanaume wengi, kuwa hawapewi huduma za msingi na wapenzi/wake zao wanaofanya kazi, na...
Katika jamii ya kisasa, masuala ya afya ya ngono yamekuwa yakiangaziwa zaidi, na watu wanapaswa kuwa na uelewa wa kina kuhusu jinsi ya kulinda afya zao na kufanya maamuzi bora kuhusu washirika wao...
Kumekuwa na sitofahamu kati yangu na mchumba ang, last dance ilikuwa kama miez 4 iliyopita.. na kila nikimpangilia kuja ghetto ni kipengele aisee nifanyaje?
Dah! Kweli mambo yanakwenda kasi sana yahani wanaume wa hiki kizazi hawana tofauti na wanawake.
Wanaume hamujiamini kabisa, sijui tatizo ni nini?
Yahani mtu unaona mpenzi wako amesimama tu na...
Habari wakuu,
Husika na kichwa cha habari tajwa, Mastar wanavyoteseka na mapenzi...
Tuanzie hapa BONGO kwetu, BONGO kama BONGO, yaani ukija kwa wasanii wakubwa kama ZUCHU analia jamani huko...
Leo hapa kijiweni NYASAKA CENTER. mzee wetu leo kaja na neno la kutuambia vijana kuhusu NDOA.
Ndoa ni mpango mzuri kwa mwanaume na ni fursa kwa MWANAMKE akiwa na maana ya kwamba Mwanaume ili aoe...
Dah kweli papuchi inalipa
Wakati wizara yetu ya maliasili na utalii kutangaza kuingiza 9bn mwaka jana kwenye sekta ya utalii, marekani wao waliingiza 97bn kupitia kiwanda Chao maarufu porn...
Ujumbe wa J2.
Mwanamke popote ulipo mruhusu Mume wako aishi mkumbushe kuishi hiyo ni haki yake ya msingi anastahili kuishi
Kuna wanaume wanatia huruma anakuwazia mema anatumia kila alicho nacho...
MTU MBINAFSI MWENYE KUJIPENDA PEKEAKE(NARCISSIST)
Narcissist ni mtu ambaye ana tabia ya kujipenda kupita kiasi na kujiweka mbele ya wengine. Watu hawa mara nyingi wana mawazo ya juu kuhusu nafsi...
Nakumbuka kipindi cha uchumba Kati ya mimi na Mke wangu mambo yalikuwa safi kabisa hususani swala zima la tendo, nilipata tendo kila nilipo hitaji na kupewa ushirikiano wa hali ya juu kabisa.
Asa...
Wakubwa, kuna kitu kinaninyima raha sana.
Nikiwa faragha na mke wangu, nikimshika uke ili niuchezee huwa anautoa mkono wangu, kwa kweli hii hali inanisononesha sana.
Nifanyaje wakuu, au nimuache tu?
Wakuu #noreformsnoelection
Kuna mdada mmoja nilikutana naye maeneo ya kazini nikamuelewa nikarisha ndoano akatick baadaye sana nilikuja gundua ni mke wa mtu kwa maelezo yake mumewe hakai wilaya...