Eti wakuu mume aliyesahau kinga (kondomu) kwenye mfuko wa suruari yake ni wa kufokewa kweli?
Unarudi home mtu kaiona tu basi imeshakuwa nongwa anabwata siku nzima hadi majirani wanasikia.
Hivi...
Hallo.
Aah wana jukwaa baada ya celibacy ya muda wa miezi 9 bila sex. Toka December mpaka mosi August juzi amekuja mpenzi wangu wa muda since 2014. Nimeshindwa kukaza kumwambia nipo celibacy...
Katika Harakati za Kujamiana na watu mbalimbali kwenye mitandao basi nikapata binti mmoja nikamwelewa sana Ila siku ya appointment picha alizotuma na mwana dada niliyekutana nae ilikuwa ni ardhi...
Naona hii tabia imeota mizizi sasa.
Si kila mwanamke yuko humu JF kutaka mapenzi.
Usidanganyike na Profile pic yangu.
Ukikataliwa kausha na sio kutwa kucha ku-dislike comments au nyuzi zangu...
Katika kujaribu huko na mle duniani sikutaka kabisa kuhadithiwa tu.
Basi siku moja nikiwa kijiweni tunapiga story za mademu mara paap jamaa kaingiza kuhusu mkongo.
Jamaa aliunadi sana akisema...
Wakuu kumekuwa na malalamiko mengi kati ya jinsia me na ke kwa kila jinsia kuishutumu jinsia nyingine kutochukua hatua za kutosha kwenye suala la usafi hali inayosababisha harufu kali/mbaya wakati...
Yaan kunyimwa hela kidogo tu baada ya uombaomba kuzidi, tayari umeshamuweka mtoto wasapu sitatasi na ujumbe " furaha yangu ya kweli, wengine wote bagia tu nawanywea na chai"
Sawaa Mimi bagia...
Ivi unajisikiaje kumsalimia mwanaume mwenzako mambo afu umebinya sauti? Salamu za wanaume zinaeleweka (oi ni gani, inakuaje) na zingine sasa unakuta mwanaume unatext mambo! Wenye tabia hizi...
KWA WAREMBO:
♥️The more mwanaume anavyozisogelea pesa na mali, the more zipu yake inafunguka.
♥️Asili na chimbuko la ndoa halikuwa na kipengele cha feminism na mwanamke kuwa msemaji mkuu, thus...
Kwa wanaodhani wale wadada (plus plus) wamejikita sinza tu basi watembelee mtaa wa sikukuu kariakoo hasa pale palace hotel ni wnegi kama nzige sijui kwa nini uongozi wa hotel hauchukui hatua...
Wadau habarini,
Mimi nilioa mke akafuata ya Dunia starehe nilimtoa kijijini alitoka na vitu ving ikiwemo mimi kupata hasara na kuathirika kisaikolojia kwa muda mrefu. Nilirudi nyuma kimaendeleo...
🚨MWANAUME👂
1- Usilale na Mke wa mtu
Hili ni deni litakaloitesa damu yako milele
2 - Usiwe na mahusiano na Boss wako
Mkigombana utapoteza mapenzi & maisha
3 - Usije kupendana na EX wa mshikaji...
KUNIZUNGUSHA SANA SIO KAMA NDIO NITAKUONA WEWE SIO MALAYA AU SIO RAHISI.
Anaandika, Robert Heriel
Mtibeli
Moja ya mambo ambayo yananifanya nimshushe mwanamke nyota zake hasa za kiutambuzi na...
Siku hizi imekuwa kawaida kabisa kuona wanawake wa kilokole wakipost picha za wachungaji wao kwenye status huku wakisema “DADDY” – yaani “Baba yangu.”
Hawa wachungaji ni wale wa kilokole...
🚨MWANAUME👂
1- Usilale na Mke wa mtu
Hili ni deni litakaloitesa damu yako milele
2 - Usiwe na mahusiano na Boss wako
Mkigombana utapoteza mapenzi & maisha
3 - Usije kupendana na EX wa mshikaji...
Imeshakuwa kawaida sana kuona status za wanawake wa kilokole wakimweka mhungaji wao na kumuandika "DADDY" yani BABA YANGU.
Wachungaji wa kilokole ni hawa wanaosifika kwa miujiza ya Gesi, Keki za...
Kuweni makini sana aisee wake zenu wanaliwa sana tena sana halafu wanaliwa free bila hata thumni aisee wewe unahangaika Ku provide kuna washikaji wanawakula wanawake zenu sana na tena...