Mahusiano, mapenzi, urafiki

Tubadilishane mawazo kuhusu familia, mahusiano, mapenzi, urafiki, n.k na kushauriana

On JF:

*Probability---Uwezekano wa mtu kuoa/kuolewa* Kama hujui hesabu hasa probability sasa iko hivi, probability ni uwezekano wa kitu fulani kutokea sasa leo tunaenda kuzungumzia uwezekano wa mtu...
18 Reactions
88 Replies
7K Views
Habari wana jukwaa, hizi zifuatazo ndio njia au dalili pekee za kumtambua mwanamke mwerevu na mwanamke mpumbavu MWANAMKE MPUMBAVU 1. Anamkomoa mumewe 2. Analala mapema kabla ya mumewe 3...
20 Reactions
154 Replies
20K Views
Habari zenu? Kumekuwa na tabia ya baadhi ya wanawake wa Kitanzania kutonyonyesha watoto wao hasa katika maeneo ya wazi/umma. Nimeshuhudia mara nyingi watoto wakilia sana kwenye daladala huku mama...
1 Reactions
8 Replies
2K Views
Unakuta mwanamke anademand sijui nataka mwanaume wa aina hii sijui awe hivi , mara awe anajiweza, sijui msomi, ana nyumba yake, ana kazi nzuri, anajua kutake care n.k Yaani list ya demands ni...
1 Reactions
17 Replies
2K Views
Miaka ya hivi karibu kumekuwa na wimbi kubwa la wanawake wa kitanzania kuhitaji kuolewa na kuishi na mwanaume ampendaye kwa dhati, hakika hiyo ni ndoto kwa kila mwanamke wa kitanzania, lakini...
0 Reactions
22 Replies
3K Views
Amani iwe kwenu wandugu! Ningependa kuongea na dada na wadogo zangu ambao hawajaolewa ama kwasababu hawajabahatika tu kuolewa au bado muda wao haujafika lakini wana matarajio kwa siku za baadaye...
17 Reactions
218 Replies
16K Views
Maisha ni magumu. Kuoa mzigo ni kujitakia tu! Maisha ya sasa yanahitaji combination ya pesa na pesa. Siyo pesa na zero. Huwezi kuoa mtu hana kazi au hana hela halafu utegemee mabadiliko...
0 Reactions
12 Replies
1K Views
Wakina dada mjitahidi basi kuvaa ata vitenge pale muamkapo au mnapoenda safari fupi fupi maybe sokoni au dukani mnatuumiza jamani. Kuna wapangaji wakike wamepanga hapo ninapokaa asee wakiamka...
4 Reactions
50 Replies
11K Views
Habarini wakuu, Wakubwa shikamoo. Niende moja kwa moja kwenye mada. Unapoamua kumpiga mwanamke ambae ni mama watoto wako, tena watoto wakubwa kabisa huku wakijua kuwa leo umempiga unajitafutia...
8 Reactions
42 Replies
4K Views
Wakuu kuna mtoto mzuri sana wa kinyarwanda nimemfukuzia tangu 2016.. Tukawa karibu sana kumbe nikajua mengine ataja kuwa Wangu wa maisha. Mwaka 2017 alisafiri akaenda kwao (upande wa mama yake)...
2 Reactions
87 Replies
8K Views
Mficha uchi hazai, wahenga walisema ni aibu, lakini si kwa kukwama huku! Nimeona niliseme hapa kwa great thinkers, ambapo naamini wanawake pia wamo, kwa msaada na mchango maridhawa najua wapo...
15 Reactions
351 Replies
39K Views
Aisee sisi jamaa wafupi na wenye vipara huwa tunapendwa sana na wanawake, sijui huwa wanadhani tuna hela? Au nadhani muonrkano wetu huwa mzuri sana.
0 Reactions
1 Replies
2K Views
Siyo kama enzi zile tena! Siku hizi wanawake wajawazito kwa kushirikiana na waume zao wanashirikiana na madaktari wasio waaminifu ili kujifungua kwa operation badala ya njia ya kawaida. Wanandoa...
2 Reactions
27 Replies
5K Views
Habari zenu wapendwa nina swali naomba kuuliza je kuna uhusiano wowote wa kipindi cha ujauzito na picha za kutisha, mfano utasikia watu wakisema ukiw na mimba utakiwi kutazama mazombi mtoto...
0 Reactions
4 Replies
4K Views
Mie ni msichana na umri wa 23 pia nina mtoto mmoja ana miezi 6, nimezalishwa tu na mtu alonizalisha hanitaki na isitoshe ameoa mwanamke mwingine. Kwa hiyo atakae kuwa tayari kunioa na tuishi kwa...
23 Reactions
182 Replies
38K Views
Kuna aina nyingi sana za uchangudoa ingawa wengi mmekuwa mkiwajua wale qa barabarani. 1. Wa kusimama barabarani na kusubiri wateja 2. Wa kukaa (kutega) bar ukijifanya unakunywa atakayevutiwa...
1 Reactions
22 Replies
5K Views
Wakuu Habari za mishale hii, Kuna jamaa yangu ameniomba nimuulizie sehemu wanakotoa huduma ya massage au barber shop zenye huduma Hizo hasa maneno ya Temeke au tandika. Yeye anatoke Mtwara, ni...
1 Reactions
29 Replies
9K Views
[emoji848][emoji848][emoji848]
1 Reactions
11 Replies
1K Views
USIMCHEZEE MTOTO WA WATU KWA KISINGIZIO CHA UCHUMBA, UTASHTAKIWA....... Watu wengi na hasa vijana wanapokuwa wameingia kwenye mahusiano ya kimapenzi, maranyingi uhusiano wao wa mwanzo huwa...
0 Reactions
17 Replies
2K Views
Niaje? ! Naomba twende sawa tu wanawake wenzangu: Ni lazima tukumbushane kuwa 1. Wanaume wakienda kujisaidia haja ndogo husimama 2. Wanawake wakienda kujisaidia haja kubwa hukaa kama sio...
13 Reactions
106 Replies
9K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…