stritglow
JF-Expert Member
- Apr 7, 2018
- 622
- 1,751
Unakuta mwanamke anademand sijui nataka mwanaume wa aina hii sijui awe hivi , mara awe anajiweza, sijui msomi, ana nyumba yake, ana kazi nzuri, anajua kutake care n.k Yaani list ya demands ni ndefu, lakini ukicheki what she brings to the relationship is nothing, nada, zero, ziltch.
Kwa hali hiyo you'll keep searching mpaka basi. Hata hao wanaume unaowataka wakikuevaluate na kuona you bring nothing to the table except an oversized purse/bag and a p*ssy full of headaches. Tegemea kuchezewa tu.
Badilikaneni. So ukitaka mtu mwenye vigezo fulani, be prepared to meet that person halfway, sio una demand tu huku you have nothing to give zaidi ya mwili wako.